Ni vile katiba hairuhusu mgombea binafsi lakini Lowassa baada ya kukatwa na CCM asingekwenda UKAWA angegombea kama mgombea binafsi. JPM ni mgombea binafsi aliyewahadaa CCM wakadhani na wachache...
Dkt. Hussein Mwinyi amefanya uteuzi wa Mawaziri watatu ambapo Nassor Ahmed Mazrui ameteuliwa kuwa Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto
Dkt. Saada Mkuya Salum kuwa Waziri wa...
Habari wakuu
Tufike muda tuache mihemko, kwanini tuanze kumpangia Mh Rais wa Jamhuru ya Muungano wa Tanzania Samia kuvaa viatu ambavyo wengine hawakuvaa.
Nani aliyevaa viatu vya Nyerere baada ya...
Tangu gazeti dada la The Citizen lichapishe mwishoni mwa wiki habari za upotevu wa Sh480 bilioni katika Wizara ya Fedha, Serikali imekaa kimya kama vile wizi huo ni tukio la kawaida, hivyo...
Wanabodi hii nimeikuta kundi Moja la UVCCM, Rais Magufuli kafa na uzalendo wake, wateule wake wameanza kupiga deal.Kufa kufaana
KASHFA YA UFISADI MKOA WA KILIMANJARO
Mnamo tarehe 19 March Mwaka...
Hawa maaskofu ndio wamepokea kijiti kutoka kwa Mtume Petro hivyo sauti na maono yao hutoka kwa Mungu.
Kardinali Pengo ndiye pekee hapa nchini Tanzania mwenye kura ya kumchagua Baba Mtakatifu...
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa, ambapo taarifa zinadokeza kwamba bunge zima limelipuka kwa shangwe baada ya kula kiapo.
Nachukua nafasi hii kumpongeza Mh Balozi Bashiru kwa hatua hii mpya.
Mungu...
Kwa wakongwe wa hapa Jamiiforums wanatambua mapambano ya hoja na matusi yalivyokuwa yakirindima hapa jamiiforums hasa wakati wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu mwaka 2015.
Mimi nilikuwa ni mmoja wa...
Kulingana na muundo wa serikali ya awamu ya tano,ninashauri serikali ya awamu ya sita ichague upya viongozi wafuatao, kwani waliopo wameteuliwa kutoka mikoa ya kanda ya ziwa tu.
2. MaRAS
3...
Ilikuwa mwaka 195* ambapo mama yake alijaribu kutoroka burundi kuja Tanganyika wakati
Lakin kutokana Na uchungu juu ya mimba alokuwa nayo akashindwa, lakin miaka miine baadaye akafanikiwa kutoka...
Kumekuwa na minung'uniko na misononeko mingi kwa wanufaika wa huduma zinazotolewa na mitandao ya simu. Chanzo cha ming'ununiko hiyo ni kupanda kwa bei za vifurushi.
Ni ukweli usionpingika kwamba...
Na Alfred Lucas - Imechapwa 20 June 2012
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema njama za kuiba mabilioni ya shilingi ya safari za Rais Jakaya Kikwete...
Hii tabia ya baadhi ya watu kujisahau katika mamlaka kutaka kujimilikisha chama kutokujali kwamba vyeo ni dhamana ndio tatizo.
Nimeshangaa sana CCM ya JPM kila kilichofanyika walikua wanapongeza...
Wakuu,
Zimechapwa zaidi ya Bilioni 480 kutoka Hazina na wapinzani wamekaa kutimuana timuana na kumalizana wao kwa wao wakati Taifa likielekea kwenye janga kubwa.
'Vijana wa kazi' wamewapa kila...
Kwanini Kikwete kamteua Lawrence Mafuru kuwa Msajili wa Hazina? Penye moshi???
stay tuned
======================================
UPDATES
RAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI MBALIMBALI...
Wanajamii kichwa cha habari cha jieleza, nimeshitushwa na kichwa cha gazeti hili na maneno ya chini yake maana kwa kiasi kikubwa yanamuhusu Rais mstaafu, Je! Yana ukweli wowote, vipi jawa jamaa...
Mheshimiwa Zitto Kabwe, amemtaja aliyekuwa naibu waziri wa Sayansi na Teknolojia katika awamu ya nne ya Serikali ya JMT iliyoongozwa na Jakaya Kikwete, Mhe. January Makamba kama mwanasiasa pekee...
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kujiwekea malengo ya kutwaa tuzo ya Mo Ibrahim ya utawala bora kwa kurejesha utawala bora unaojali msingi ya...
Habari wanajamvi !
Awali ya yote poleni kwa msiba! Niende moja kwa moja kwenye mada. Wanyonge wana shida tena kubwa sana. Twendeni pamoja taratibu mtajua shida ilipo. Siku moja nikiwa mahali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.