Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hayo madini tulionayo , Tafuteni kodi huko Punguzeni mishahara ya Wabunge Sisi "Wanyonge tumewakosea nn mpaka mtufanyie hivi .?
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la waandishi, wanasiasa na raia wengine ambao inaonekana wamekunwa haswa na hatua au mwelekeo mpya chini ya Kiongozi mkuu mpya. Mjadala mkubwa umetokana na...
0 Reactions
0 Replies
760 Views
Jana nilimuelewa sana Katibu mkuu Kiongozi balozi Katanga. Hakuna mafanikio ya serikali kama kila wizara itatenda kivyake na kutafuta sifa binafsi. Ni lazima pawepo coordination baina ya wizara...
9 Reactions
50 Replies
4K Views
Binafsi nampongeza aliyekuwa mbunge wangu wa Iringa mjini mchungaji Msigwa kwa kutoyumba wala kuyumbishwa na siasa za kutamani madaraka. Pamoja na kufuatwa jela na Mwenezi Polepole na kulipiwa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Hayati alimteua na kumpa ubalozi lakini baada ya utawala mpya ametenguliwa kutoka katibu mkuu kiongozi Je amevuliwa na ubalozi au bado ni. Balozi? Wenye uelewa
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Askafu Malasusa ameliongelea ilo leo katika misa ya ijumaa kuu huku akitolea mfano wa Hayati Magufuli kuwa hakuwa mwanasiasa bali alikuwa kiongozi na kama Taifa tuna chakujifunza, ameeleezea zaidi...
0 Reactions
4 Replies
759 Views
Jana ulisema akili itumike kukusanya mapato na si nguvu. Hili suala la ongezeko la gharama za vifurushi vya simu nadhani ni nguvu imetumika si akili. Kuna sababu nyingi za kuthibitisha kuwa ni...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
ACT Wazalendo kusema watashiriki uchaguzi Kigoma kumpima Rais ni kuuadaa Umma wa Watanzania. Juzi wameshiriki uchaguzi Zanzibar, je walikuwa wanampima Rais? Je, Rais ni msimamizi wa uchaguzi? Ni...
2 Reactions
2 Replies
962 Views
Huenda uchaguzi mkuu wa mwaka jana umeleta funzo kwa vyama vya upinzani. Maana sasa wanaonekana kupata funzo. Jambo ambalo wanatakiwa kutambua ni kuwa tume huru ya uchaguzi ambayo itaendesha...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Maajabu haya! Mtu ambaye walitaka kutuaminisha kuwa hakuwa anastahili kuwa mkuu wa majeshi... Mtu ambaye tuliambiwa kapewa hiyo nafasi kwa sababu ya kabila lake la Kisukuma... Mtu ambaye...
50 Reactions
209 Replies
22K Views
GWAJIBOY AKIMKARIBISHA JPM: Mheshimiwa Rais karibu sana jimbo la Kawe. Watu wa Kawe wamekusanyika hapa kwa wingi kukupongeza kwa kazi kubwa uliyowafanyia. Kwa miaka mitano ya uongozi wako umetatua...
67 Reactions
163 Replies
16K Views
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde ameishukuru Serikali kupitia Wizara ya Nishati kwa kuanza rasmi kwa utekelezaji wa miradi ya usambazaji wa umeme kupitia miradi ya PERI URBAN...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Naanza kujiuliza upi msimamo wa Waziri wa Fedha kwenye kukusanya mapato? Bado ataendelea kusimamia mfumo wa mabavu? Makamu wa Rais pia alikuwa Waziri wa Fedha wakati wafanyabiashara...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukiwa unasafiri hujui unakokwenda na muda utakaotumia kufika utachoka mapema sana. Katika mikakati yote hakutupa timing ya lini tutafika anapotaka ili walimu waanze kuajiliwa kama zamani...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Kijana mmoja maeneo ya Tabata Liwiti amepigwa na wananchi wazalendo baada ya kuongea maneno mabovu kuhusu viongozi wa nchi. Moja ya maneno aliyoongea kuwa "hawa viongozi ni manunda hawajielewi...
10 Reactions
56 Replies
3K Views
Chama cha ACT-Wazalendo mkoani Lindi kimesitisha shughuli ya Maombi ya kumuombea alieykuwa mwenyekiti wao ambaye alifariki Februari 17, 2021. Hali imetokea baada ya kuomba kibali kwa Jeshi la...
0 Reactions
87 Replies
7K Views
Wanajukwaa, Miaka ile wakati baadhi ya watu tukishiriki kwenye elimu ya Tanzania ilikuwa ni migomo kabla hujaingia chuo,ukiingia mpaka siku unaondoka chuo. Tangu Rais Magufuli aingie madarakani...
5 Reactions
62 Replies
8K Views
Hawa watu wasikutoe kwenye reli, hawa watu wasije kukuchanganya kwa sauti zao ambazo muda sio mrefu zitaanza kukupamba kwa maneno matamu kila kona, tafadhali wapuuze. Nawaongelea waimba mapambio...
3 Reactions
1 Replies
739 Views
Tushindwe sisi tu, kazi ni kwetu.! Waafrika sasa tumekombolewa kifikra Tuuche mawazo mgando kaamini kwa 100%,sera maagizo miongozo na tabiri mbalimbali zinazotolewa na mashilika au mataifa...
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Mhe. Rais anatumia akaunti zake za mitandao ikiwemo Twitter kuweka video na maelekezo mbalimbali kwa ajili ya wananchi hasa wale ambao hawakupata muda kumsilikiza live. Ili tupate taarifa hizi...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom