1. Lengo la kukabidhiwa dola sio kufanya maisha yetu kuwa magumu kwa makusudi.
2. Hii nchi ni yetu sote, kuwa katika nafasi mlizopo ni kwa mchango mkubwa wa raia ambao mmeamua kuwafanya wanyonge...
Wana JF,
Nimepatwa na mshangao kumuona Mama Samia Jana anaongelea changamoto za Muungano kwenye masuala ya fedha, nilidhani ni masihara nashangaa leo tena yameibuka kwenye speech ya Makamu wa...
Wadau wakati tunaendelea kuomboleza, nimeona leo nije na hili na tuweze kubadilishana mawazo.
Baada ya kifo cha aliyekuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dr. J.P.Magufuli, wote...
Yaani kila nikiiangalia CCM kusema kweli hawana anaeweza kumrithi Magufuli, hamna nikiwaangalia naona hawaiwezi kazi ambayo Mheshimiwa anaendana nayo, Sasa hata kule kwa wavaa makoti wala bata na...
Wakuu Naomba Kujua Jambo Moja Kwamba, Nimekuwa Nikiona Viongozi Wengi Wanaoteuliwa Na Rais Ambao Ni Waislamu Wamekuwa "wakiapa" Badala Ya Kuthibitisha. What I know ni Kwamba Waislamu Hawaapi Bali...
Ati kumefanyika uteuzi wa baraza la mawaziri. Ningekuwa Rais. Waziri kashindwa kuleta tija katika muda alokaa katika wizara ni kumuondoa na kuweka mtu mwingine. Tanzania ina wabunge 300 na kitu...
Nianze kwa kumpongeza Mh Rais Samia kwa jinsi alivyoisuka Wizara ya mambo ya nje kwa mustakabali diplimasia ya taifa letu. Lakini Jana baada ya kutangaza uteuzi wao aliahidi kuwaapisha leo saa 4...
Wengi tunajua kuwa Balozi Bashiru Ally Kakurwa alikuwa kipenzi cha Mwendazake. Alianza naye kwenye ukaguzi wa mali za CCM na baadaye kumteua kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa. Na mwishoni, akamteua...
Poleni na Maombolezo
Mungu hadhihakiwi Kitendo kilichofanywa na Serikali ya CCM Cha Kuwaibia Haki Watanzania ya Kuwachagua Wawatakao na kutumia Vyombo vya Dola na TUME ya UCHAGUZI ndio DHAMBI...
Halo JF siasa.
Ktk pitapita zangu nimefika Singida mjini. Kuna jengo refu zaidi ya yote hapo mjini lina ghorofa zaidi sita.
Jengo hili naambiwa ni Mali ya CCM na lilianza kujengwa mwanzoni mwa...
Ni jambo la kushangaza kwa kiongozi kuona kuwa status yake ya kuwahi kuwa masikini ndiyo sifa KUU ya yeye kuwa kiongozi mzuri kwa WANYONGE. Hii ni kauli ya ulaghai kwa umma, hata marehemu...
MATARAJIO YA WATANZANIA KWA MHE SAMIA, RAIS WA JMT NI MAKUBWA
Na Elius Ndabila
0768239284
Jana Mhe Samia Samia Rais wa JMT amefanya mabadililo madogo kwenye Baraza la Mawaziri yaliyotanguliwa na...
TUSICHEZE NGOMA YA KIGOGO WALA CHADEMA.
Kwa namna yoyote ile tusiingie katika mtego wa dhihaka kwa wanaccm wenzetu,tuamini kila mwanaCCM anastahili kuwa mahali fulani kwa wakati wowote,
Leo...
Hii ndio taarifa mpya kwa wakati huu inayozunguka dunia nzima , kwamba Chadema yenye Makao Makuu yake Kinondoni , Nje ya Jiji la Dar es Salaam itakuwa na Mkutano na waandishi wa Habari Tarehe...
Tuelewane vizuri hapa, tusilazimishane. Sisi tulioguswa na JPM tutamchagua tena Oktoba 28.
Tutamchagua JPM tena kwakuwa SABABU tunazo, NIA tunayo na UWEZO tunao; #SisiTumeamuaKumchaguaTenaJPM...
Rais, Dk John Magufuli amemuagiza Waziri wa Nishati, Medard Kalemani kuhakikisha ifikapo mwezi wa saba mwaka huu, kiwanda cha ‘Kom Group of Companies’ kitakapoanza kufanya kazi umeme haukatiki...
=== TAARIFA MUHIMU ===
Inatoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu CHAMWINO jijini Dodoma
Inahusu Kiapo cha Katibu Mkuu Kiongozi, Mawaziri na Manaibu Mawaziri walioteuliwa na Rais Samia jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.