Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watanzania, Salaam! Nianze kwa kuwapa hongera nyingi sana kwa jinsi mnavyopambana kila siku, kila wiki, kila mwezi na kila mwaka kuhakikisha mnayakabili maisha. Kwa wale mliokutana na vikwazo...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Kwa Mambo anayoendelea kuyafanya Rais Samia Sasa hivi,mfano kutokutumia nguvu kukusanya Kodi,kupokea ripoti za CAG zisemazo ukweli,ukaguzi wa BoT na kadhalika. Hakika nakuambieni akiendelea hivi...
13 Reactions
40 Replies
4K Views
Kwanza nianze kwakumpongeza mh Rais wetu mama Samia kwani zipo dalili zote kwamba ameanza vizuri kwenye mambo ya kodi hatahivyo yapo mambo lazima yatizamwe vizuri. Ni wazi kwamba kwa namna TRA...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Mimi sio mtu wa kufuata mkumbo hua nafuata akili yangu zaidi. Kama mwanzoni akili yangu haijamkubali mtu basi haijamkubali ila bado haina maana kua sitamkubali huyo mtu siku zote kama kuna kitu...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Shalom from Jerusalem. Mara nyingi viongozi wa serikali mmesikika mkisema na kuona fahari kuwa mko kwa ajili ya kuwatumikia wanyonge kama vile wao pekee ndiyo wenye haki ya kuishi. Pia mmekuwa...
8 Reactions
9 Replies
1K Views
Naomba kumshauri Mhe. Rais aache utamaduni wakujiwekea ratiba ya kutembelea majibo kuwashukuru Wananchi maana muda ni mchache na Miradi ni mingi. Akitulia jikoni akapika sisi huku tungependa...
1 Reactions
6 Replies
736 Views
Mara kadhaa nawasikia viongozi wetu wakitamba kwamba wameuishi umaskini wa watanzania hivyo wanajua cha kufanya ili kuwatoa watanzania kwenye huo umaskini. Ndipo najiuliza kwani aliekulia maisha...
0 Reactions
5 Replies
878 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mujibu wa katiba haifungamani na dini yeyote Kama inavyo ainishwa kwenye ibara ya 3 -,(1) Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokirasia na ya...
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Mnamo tarehe 19 Machi 2021, aliyekuwa Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, aliapishwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, kufuatia kifo cha...
77 Reactions
456 Replies
53K Views
Mheshimiwa Rais Samia leo amemwapisha Katibu Mkuu Kiongozi na baadhi ya Mawaziri na Manaibu wao. Hii ni kufuatia mabadiliko madogo aliyoyatangaza jana tar 31 March 2021. Baada ya kuwaapisha, Rais...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Napongeza uteuzi wa Dk. Bashiru kuwa Katibu Mkuu kiongozi kwa sababu moja. Nilipokuwa mhadhiri wa business administration mahali nilifundisha sana juu ya teamwork. Kuna nadharia nyingi. Lkn...
14 Reactions
81 Replies
10K Views
CCM imekuwa madarakani kwa takribani miaka 50 shida ambazo watanzania wanazo ni zilezile chini ya utawala wa CCM. Imefika wakati viongozi ambao ndio dira ya taifa kutoa majina ya ajabu kwa...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakati wa Mwalimu Nyerere kulikuwa na Waziri asiye na wizara maalumu na mara nyingi hapa aliwekwa Mzee Kawawa Hongera mh Mkuchika wewe sasa utakuwa Waziri "kiraka" Kila zama na kitabu chake...
2 Reactions
107 Replies
12K Views
Amani iwe nawe Mama yetu, Napenda tu kukwambia, kati ya mambo ambayo wadau wa kimaendeleo wanayaangalia juu ya kiongozi ni maoni ya wapinzani wake juu ya utawala wake. Maoni ya mpinzani wako...
21 Reactions
53 Replies
5K Views
ITV imemuonyesha Katibu Mkuu wa CCM ndugu Bashiru Ally akitajwa kuwa mgeni rasmi kwenye mazishi ya watoto 10 waliozikwa leo huko Kagera, sina shida na mtu yoyote kuhudhuria mazishi yoyote popote...
8 Reactions
69 Replies
6K Views
Makamu wa Rais Dkt. Mpango amemtaka Katibu mkuu Kiongozi Balozi Hussein Katanga kuwaangalia kwa makini Makatibu Wakuu wa Wizara na Manaibu wao kwani kuna kutoelewana kwingi. Dkt. Mpango amesema...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Kesho Lissu yupo Straight talk Africa na gwiji la kupinga ufisadi Afrika PLO Lumumba, mada ni legacy aliyoiacha shujaa wa Afrika, JPM. Tuungane. Lissu kampeni yake ya kuzunguka dunia nzima...
31 Reactions
207 Replies
16K Views
Leo spika Job Ndugai amewaapisha wabunge walioteuliwa jana na Rais Samia Suluhu na kuahirisha Bunge kwa ajili ya hafla ya kuwaapisha mawaziri jioni ya leo. Pamoja na mambo mengine, Spika Ndugai...
5 Reactions
45 Replies
7K Views
Kama mbunge halali analipwa zaidi ya shilingi milioni 13.8 kwa mwezi basi wale wabunge 19 wa Ndugai ambao hawana chama chochote kilicho waidhinisha kuingia bungeni bali kwa ubabe na kiburi cha...
12 Reactions
60 Replies
4K Views
Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya mwaka 1977 imetengeneza mianya na utata ambao tafsiri yake isipozingatiwa inaweza kuleta taharuki. Kwa mujibu wa katiba hii Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
1 Reactions
5 Replies
859 Views
Back
Top Bottom