Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nawaza kwasauti kwa mujibu wa takwimu watanzania tupo milion 60 katika kipindi Cha miaka 5 tumepoteza Bilion 60 kwenye shirika la Ndege Hizi Pesa Je zingegaiwa kila mtanzania angepata bei gani?
4 Reactions
61 Replies
4K Views
Nashauri kupelekwe mswada bungeni kuhusu hii sintofahamu ili wafanyabiashara wawe na imani na serikali yao. NGOJA NITOE SCENARIO: TRA imefanya uchunguzi wa mahesabu yangu na kugundua nililipa...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Tumezoea kuona viongozi wakubwa wakipokelewa kwa mazulia mekundu, kwanini kwa mama yetu haikuwa hivyo? Kiprotokali limekaaje hili wanabodi?
4 Reactions
93 Replies
11K Views
Salaam! Nawasalimu kwa Jina a Jamhuri ya Muungano wa Tanzania enyi watanzania wenzangu. Naomba kuuliza kuhusu chama cha Scout. Kwanza ni chama kinacho jihusisha na nini? Pili ni nini madhumuni...
0 Reactions
5 Replies
986 Views
Katika ya Makatibu Wakuu waliopo ni yupi anaonekana anafaa kubaki. Kumbuka mpaka Mpendwa wetu Rais Hayati JPM anaondoka ilikuwa bado hajateua hata Katibu Mkuu mmoja. Je kwa kuangalia kati yao ni...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Kanali Massawe aliwahi kuwa DC wa Kinondoni pia. Alikuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Jitegemee kuanzia mwaka 1986 hadi 2002. Pia, alikuwa Mkuu wa Chuo cha NDC Kunduchi kisha Arusha. Kanali...
24 Reactions
138 Replies
25K Views
Mh. Tundu Lissu kwi,kwi, kwi kwi ,kwi, kwi. Mabadiliko ni lazima hata Ombeni Sefue alibadilishwa fasta; Vyeo sasa vinaanza kusambaa nchi nzima, kanda ya ziwa hehehehe, huhuhu.
2 Reactions
3 Replies
846 Views
Nalisema hili isitokee kama wale wanaoshtukizwa na teuzi,tumesikia wakipashana kuwa wale wanaojipanga kwa nafasi ya Uraisi hapo 2025 wasahau !!! Hili la wanaojipanga kugombea 2025 waache tabia...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Huenda Wadanganyika ndo raia pekee chini ya Jua wenye upeo mdogo sana chini ya standard ya upeo unao takiwa Duniani. Wanacho Fanya watawala huwa ni kucheza na akili za Wadanganyika tu, hakuna...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Wabongo tuache kujipumbaza kwamba sisi ni taifa special sana linalotazamwa na Mungu kipekee ndio maana tumekuwa na rasilimali nyingi, maziwa, mito, bahari, hali ya hewa nzuri n.k. Mataifa yote...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwanza kabisa niwaombe msiwe waongeaji sana hii itaanza kushusha heshima yenu maana kupitia kuongea sana ndipo watu hupima busara zenu na kila neno litokalo vinywani mwenu hubebwa kama hoja na...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanachama wa ccm wenye nafasi za uongozi ni wanafiki sana,kama kuna PhD ua unafiko na uongo basi ccm wanayo! Ni wazi kuwa chama chao.kinazalisha wanafiki na waongo,vijana wadhaifu,goigoi na...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Yaani mmemkosea mheshimiwa, mmemsingizia kwa ku-edit picha za 2018. Kwanini hamkuchukua picha za tukio la leo? Hii picha waliyoitumia CloudsMedia, ni picha ya 2018 na tukio lilikuwa tofauti na la...
6 Reactions
53 Replies
6K Views
Hawa ndugu zetu wa huko Denmark, yaani wabeba maboksi wa huko, siku ya mazishi ya hayati Rais Magufuli, waliacha kufanya kila kitu na kufuatilia kwa umakini sana shughuli za mazishi za mpendwa...
14 Reactions
129 Replies
11K Views
Mh. Rais Samia Suluhu Hassan Mwenyezi Mungu muumba wa mbinu na dunia amekuinua machoni pa wanadamu na kukupa Ukuu ili uliongoze taifa lake. Taifa la Mungu lilipoteza ibada takatifu ya na utukufu...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Nikirejea Historia ya Jimbo la Karatu chini ya Mbunge Dr Wilbrod Slaa alikuwa ni mpinzani aliyeweza kuonesha ubora wa upinzani kushika jimbo kwa kuleta mabadiliko na moja ya alama ya mabadiliko...
10 Reactions
89 Replies
6K Views
Haka ni kakikundi ka watu ambako Rais Magufuli alikuwa nako pale Tanroads na amekuwa akikatukuza sana. Imefika hatua hata wakitumbuliwa huku wanapelekwa kule. Aidha wengine nimeona wakipewa hata...
40 Reactions
102 Replies
17K Views
Ni mapema mno Kujua Samia atatufikisha wapi,lakini kwa hizi siku chache tu,tumkosoe akikosea na pia tumsifu akipatia. Kwa siku hizi chache Mimi nasema tunaweza angalau kumsifia kwa kuwa ameagiza...
52 Reactions
141 Replies
13K Views
Kwa mwenye CV ya Bw. Alphayo Kidata tafadhali.
2 Reactions
102 Replies
54K Views
Haiwezekani waziri unakaa na wamiliki wa mitandao ya simu mnakubaliana kitu ambacho unajua kabisa kitaiumiza jamii hasa wananchi wa hali ya chini tena zaidi wewe kama kiongozi unapigilia msumari...
24 Reactions
70 Replies
5K Views
Back
Top Bottom