Habari za wakati huu;
Madam President,Hongera na Pole kwa Kazi. Najua unajua kwamba wapo watu ambao kazi yao ni kuhakikisha kwamba unafeli.Pia wako watu ambao wanataka nchi yetu ifaulu hata kama...
Baada ya masaa kadhaa ya kikao cha ujenzi wa chama, shangazi na mjomba wa taifa waliamua kupata vikombe vya kahawa na kuamua kupiga picha hii.
Picha hii ilipata pongezi nyingi mitandaoni ambapo...
Huwezi kutaja Sserikali ukaacha kuitaja CCM, CCM na Serikali ni pande mbili tofauti zilizo kwenye sarafu moja, Dkt. Bashiru hakukosea kusema "mwenye dola atabaki madarakani", hiyo kauli ni halali...
Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo...
Kuna Jambo halipo sawa ofisi ya Mhe. Rais. Kwanza huyu kwa cv yake alipataje kuwa DSO? Na Kama Mwesiga jalada lake limeingia ikulu Hadi likafika mikononi kwa Mhe. Rais Kama moja ya mtu anayefaa...
Kutokana na ugumu wa ajira kwenye nchi hii naomba Mh Rais urahisishe mchakato wa watu kwenda nje ya nchi kutafuta ajira na kazi.
Kikwazo kikubwa cha watu kwenda nje ya nchi ni passport na...
Nimemsikiliza sana Mh Rais Samia akisema kuwa TRA watanue wigo wa walipa kodi na wasitumie nguvu Kudai kodi. Hili ni jema sana.
Lakini Huwa najiuliza kuwa kati ya wafanyabiashara na mfanyakazi...
Kuna Tofauti kubwa sana kati ya kuwa Msemaji wa Ikulu na kuwa Msemaji wa Serikali ama kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo , Ikulu unaongea wewe tu na wala huhojiwi na mtu yeyote , kuna...
Je, zina faida gani economically?
Hizi hela ni zaidi ya mtaji wa viwanda vya Bakhresa. Angalia impact ya viwanda vya Bhakresa na ndege za Magufuli in terms of mzunguko wa hela, ajira na services...
Wakurugenzi 6 walioteuliwa na Rais Magufuli waingia mitini, mmoja atumbuliwa kimya kimya. Aliyetumbuliwa ni Mkurugenzi mpya wa wilaya ya Tarime mkoani mara bi Hidaya Sanga ameenguliwa katika safu...
Mheshimiwa tunakuomba usimame kwenye safu yako.
Mwache mh Suluhu afanye kazi aliyotumwa.
Usilete mfumo dume utakao mmeza Rais Mama Samia akashindwa kutekeleza yampasayo.
Nimekuona na...
Wasalaam wapendwa!
Kila mara humu mtu ukisoma vizuri comments za kila mada huwezi kupita bila kukutana na neno UNAFKI. Hili neno linasemwa kulingana na sisi wenyewe tulivyo na vitabia vyetu...
Habari zenu wakuu.
Leo nina dukuduku ambalo nataka kulitoa. Sijui kama wenzangu linawatatiza pia. Hivi jamani makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana kazi gani haswa?
Nauliza hivi...
Imeandikwa na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Jumanne, Januari 15, 2013 05:20
Kanali mstaafu Nsa Kaisi, ambaye amekuwa Msaidizi wa Rais Benjamin Mkapa kwa miaka mingi, amepokwa shamba...
Katika mabadiliko ya nafasi za kisiasa tumekuwa tukishuhudia kila Rais mpya anataka kuteua safu yake ya uongozi kuanzia wa kisiasa na kiutendaji kwa mujibu wa maelekezo ya kikatiba na kisheria...
Mahakamani ambao huwa Majaji asilimia kubwa ni Mahakimu.
Kwenye Mawizara kuna watendaji wazuri tu katika nafasi za ukurugenzi n.k lakini zoezi la kuwapandisha hadhi kuwa Makatibu Wakuu au...
Pole kwa msiba mzito wa hayati baba yetu.
Naomba kudeclare interest. Mimi ni Tour Guide nipo Arusha.
Katika kikao Cha Bunge lililopita kwa Mara ya Kwanza nilimsikiliza Waziri wa Maliasili na...
Hawa wameleta chuki sana katika nchi yetu - kwani waliibia CCM Uchaguzi waziwazi. Mf. pale Mbeya Mjini hata Tulia mwenyewe alikiri kuwa walishinda lakini sio kwa kura nyingi vile. JPM mwenyewe...
Mama Samia Suluhu Hassan ameshtuka mapema. Ninamsifu sana. Ukweli kabisa Msela Jafo hakuwa na impact kabisa katika awamu ya tano. Aliyafanya yale ambayo alifikiri yanampatanisha Rais wa Awamu ya...
Mchakato wa Katiba Mpya sote tunafahamu ulivyoenda na ulivyoharibiwa na "wahuni" wachache wasiolipenda Taifa letu la Tanzania.
Kwa kipindi cha miaka mitano (2015-2020) suala la Katiba Mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.