Clouds Media muombeni msamaha Rais Samia, mmemkosea sana

Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,260
4,415
Yaani mmemkosea mheshimiwa, mmemsingizia kwa ku-edit picha za 2018. Kwanini hamkuchukua picha za tukio la leo?

Hii picha waliyoitumia CloudsMedia, ni picha ya 2018 na tukio lilikuwa tofauti na la leo.

168794174_791468471466200_4346670821142901290_n.jpg


169022877_791468558132858_8575248956310607117_n.jpg


168725214_791468618132852_1011862744712019301_n.jpg
 
Hawa wazee wa Fursa walichelewa tu, hapo wangeenda kabisa kutoa surprise na kuimba happy birthday na kama Mama angeona inafaa hata wangemuomba kusaidia kuosha vyombo au hata kupika keki..., au Dodoma ni mbali ?
 
Dahh...... So picha ya leo ni ipi kati ya hizo..
Maana limetrend sana hili tukio.
 
Hawa wazee wa Fursa walichelewa tu, hapo wangeenda kabisa kutoa surprise na kuimba happy birthday na kama Mama angeona inafaa hata wangemuomba kusaidia kuosha vyombo au hata kupika keki..., au Dodoma ni mbali ?
Aibu sana
 
Hawa nao ni wapumbavu tu,sijuhi wanatafuta teuzi,na Mama kama akiwapa teuzi chawa kama hawa atakuwa anafata nyayo za yule mpenda sifa.
Kuna yule demu anaye jifanya Bob Marley analazimisha sana uteuzi maana tayari wana experience ya Ngoma
 
Hii ni 2018 kwenye kumbukumbu ya kuzaliwa.. sio ya leo wala jana.

Ndio maana clouds wameifuta post hii baada ya kugundua wamebugi.
hapo kidogo nimeelewa napo ni kidogo sana.
Kwani leo kashiriki au ndo ya mwaka 2018 tu
 
Back
Top Bottom