Viongozi wengi awamu ya hayati Magufuli ni wanafiki na waongo

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,221
1,788
Wanachama wa ccm wenye nafasi za uongozi ni wanafiki sana,kama kuna PhD ua unafiko na uongo basi ccm wanayo!

Ni wazi kuwa chama chao.kinazalisha wanafiki na waongo,vijana wadhaifu,goigoi na wasiokuwa na msimamo wa jambo wanaloliamini na kuwa tayari kulisimamia

Akiwa waziri tena mwenye taaluma ya Udaktari alikuwa miongoni wa watu walitupagaza kuhusu sakata zima la corona na namna lilishughulikiwa na mamlaka akiwepo yeye!

Kimsingi ccm ni wanafiki sana,kila msimu wana rangi tofauti,vijana wa ccm wapo busy kusifia utawala wa sasa,na kuponda uliotangulia!ni vijana wale wale waliokuwa wanasifia utawala uliopita na ambao walikuwa wapo tayari JPM aongoze milele!

Ni wale waliokuwa mbele kutafuta kubadili katiba!

Martin Luther King Jr aliwahi kusema kama huna jambo unaloliamini na upo tayari kulisimamia hata kulifia,basi wewe ni marehemu!

Maccm wana PhD ya Unafiki

Tafakari

Screenshot_20210404-163406.png
IMG_20210404_160650_174.jpg
 
Sio wa JPM, watanzania ni wanafiki mno, kwa asilimia kubwa kufanya kazi na mtanzania ni kazi kuliko. Hypocrisy ya hali ya juu imetujaa
Kweli kabisa unafiki kila sehemu.
Makanisani,misikitini huko kwenye siasa balaa na makazini ndo usiseme.
 
Wanachama wa ccm wenye nafasi za uongozi ni wanafiki sana,kama kuna PhD ua unafiko na uongo basi ccm wanayo!

Ni wazi kuwa chama chao.kinazalisha wanafiki na waongo,vijana wadhaifu,goigoi na wasiokuwa na msimamo wa jambo wanaloliamini na kuwa tayari kulisimamia

Akiwa waziri tena mwenye taaluma ya Udaktari alikuwa miongoni wa watu walitupagaza kuhusu sakata zima la corona na namna lilishughulikiwa na mamlaka akiwepo yeye!

Kimsingi ccm ni wanafiki sana,kila msimu wana rangi tofauti,vijana wa ccm wapo busy kusifia utawala wa sasa,na kuponda uliotangulia!ni vijana wale wale waliokuwa wanasifia utawala uliopita na ambao walikuwa wapo tayari JPM aongoze milele!

Ni wale waliokuwa mbele kutafuta kubadili katiba!

Martin Luther King Jr aliwahi kusema kama huna jambo unaloliamini na upo tayari kulisimamia hata kulifia,basi wewe ni marehemu!

Maccm wana PhD ya Unafiki

Tafakari

View attachment 1743239View attachment 1743240
Labda anadhani maandishi hufutika
 
Sina hamu na watz kwa ujumla imagine Lissu alivyowapigania toka aingie bungeni jiwe kwasababu zake binafsi akamchukia Lissu mpaka akamuita msaliti na hatimae akamchapa risasi 16 sasa kuna baadhi ya watz wakakubaliana na kitendo cha list kuitwa msaliyi na kupigwa risasi Sasa muulize huyo mtz Lissu kakukosea Nini? Au usaliti wa list ninini? Hana majibu.
 
Rais inabidi awe making sana na hawa watu,
Kiufupi angepiga chini wote maana ni wanafiki sana
 
Any dictatorship is a very conducive environment for breeding SYCOPHANTS!
... GIVEN THE OPPORTUNITY, EVEN THE PRESENTER OF THIS ... COULD NOT ESCAPE!
... watch this:
 
Wanachama wa ccm wenye nafasi za uongozi ni wanafiki sana,kama kuna PhD ua unafiko na uongo basi ccm wanayo!

Ni wazi kuwa chama chao.kinazalisha wanafiki na waongo,vijana wadhaifu,goigoi na wasiokuwa na msimamo wa jambo wanaloliamini na kuwa tayari kulisimamia

Akiwa waziri tena mwenye taaluma ya Udaktari alikuwa miongoni wa watu walitupagaza kuhusu sakata zima la corona na namna lilishughulikiwa na mamlaka akiwepo yeye!

Kimsingi ccm ni wanafiki sana,kila msimu wana rangi tofauti,vijana wa ccm wapo busy kusifia utawala wa sasa,na kuponda uliotangulia!ni vijana wale wale waliokuwa wanasifia utawala uliopita na ambao walikuwa wapo tayari JPM aongoze milele!

Ni wale waliokuwa mbele kutafuta kubadili katiba!

Martin Luther King Jr aliwahi kusema kama huna jambo unaloliamini na upo tayari kulisimamia hata kulifia,basi wewe ni marehemu!

Maccm wana PhD ya Unafiki

Tafakari

View attachment 1743239View attachment 1743240
Huyu Mrundi Saidi Bagaile ni mnafiq sana
 
Back
Top Bottom