Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
1.Mkuu wa wilaya ya Tabora-Erick Kitwala 2. Mkuu wa wilaya ya Ilala- Mwilabuzu Ndatwa. 3. Mkuu wa wilaya Chunya- Sgt Simon Mayeka. 4.Naibu Waziri wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi-...
4 Reactions
197 Replies
15K Views
Hongera sana Eng. Madeni Shamte Kipande kwa kuteuliwa kuchukuwa nafasi hiyo nyeti na juu kabisa katika taasisi za umma nchini. Kwa ninavyomfahamu mimi ninauhakika mamlaka ya bandari imepata...
1 Reactions
92 Replies
14K Views
Wasalam, Hakika utawala uliopita umetupa funzo kubwa maishani, binafsi nimejifunza ni heri niwe mwenye ushawishi kuliko "wakutisha". Utawala uliopita ulikua was aina yake lakini zaidi ulimhitaji...
0 Reactions
1 Replies
589 Views
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amesema kauli ya Waziri wa Fedha kuhusu Usalama wa fedha za wafanyabiashara kwenye mabenki imetokana na maono ya Rais aliyepo madarakani Waziri wa Fedha na...
12 Reactions
43 Replies
5K Views
Tukiwa bado tunaendelea na maombelezo ya Rais wetu, mchapa kazi hodari, mtu wa matokeo, msimamizi makini wa pesa za uma, mwenye kuhakikisha kuwa pesa iliyotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Dr. Bashiru leo Bungeni badala ya kusema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NAAPA KWAMBA...........ameasema MIMI BASHIRU ALLY KAKURWA NATHIBITISHA KWAMBA........ Wakati huohuo na kwa kipindi hicho hicho...
5 Reactions
72 Replies
10K Views
Umekuwa ukijinasibu kuwa wewe ni mtoto wa maskini tena umelelewa na mama tu bila baba. Unajua fika kuwa utawala wa awamu ya tano uliua biashara nyingi kutokana na kufanya kazi kibabe. Matokeo ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kagame ndiye alikuwa rafiki wa karibu, baada ya kuapishwa Rais Magufuli nchi yake ya kwanza kuitembelea ilikuwa Rwanda na alifanyiwa dhifa ya kitaifa. Baada ya hapo Rais Kagame alikuwa mgeni wetu...
24 Reactions
111 Replies
16K Views
Kigwangalla ni msomi akiwa Daktari wa binadamu, jana akiwa awamu ya tano alitueleza kupiga nyungu ni sawa na hakukemea mtambo wa Nyungu kuwekwa Muhimbili. Leo siku 17 tangu Mhe. Rais aondoke...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Kumbe homeboy ni homeboy tu. Kiongozi wa ACT-Wazalendo amefura na amekuwa kama mbogo. Hii ni baada ya video iliyosambaa mitandoni ikimuonyesha Makamu wa Rais wa sasa akicheza ngoma inayofanana na...
12 Reactions
336 Replies
31K Views
Wanabodi, uteuzi wa Dkt. Mpango kuwa Makamu wa Rais ni kudhibiti matumizi ya serikali na mambo mengine ya uchumi Hii kauli ya kudhibiti matumizi imesemwa na Rais Mama Samia mwenyewe kwanini...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeonesha kufata mkondo tofauti na mwendazake Dkt.John Magufuli kuhusu Sera ya mambo ya nje. Hii ni baada ya Rais Samia kuachana na wahafidhina wakina Prof...
12 Reactions
50 Replies
3K Views
Mathayo 11:2-26 Yohana Mbatizaji akiwa gerezani alipata kusikia habari juu ya matendo ya Yesu Kristo. Basi, Yohana akawatuma wanafunzi wake, wamwulize Yesu hivi: “Je, wewe ndie yule Masiah...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Naona CHADEMA wakiwa wenye kutaka kujificha kwenye kichaka cha Mama Mh Samia Suluhu kwa kumsifia Sana ili tu waweze kutetea Hoja zao za uongo kua Rais Magufuli hakuwahi kua kiongoz Bora. Yani...
16 Reactions
196 Replies
11K Views
Wanaonipigia kelele na wenye mawazo potofu ya kwamba nimehamia CCM kwasababu ya Mtu na kwamba najutia maamuzi yangu; Sikieni: Kilichonivutia kuingia CCM ni UIMARA WA TAASISI chini ya utendaji...
8 Reactions
113 Replies
8K Views
Katika siku za karibuni baada ya kuondokewa na mpendwa wetu Dk Magufuli, TLS walitoa waraka wa kumtaka Mheshimiwa Samia aunde Baraza jipya la mawaziri ili wote waliopo waape mbele yake. Hii Ina...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
MCHANGO WANGU KWA SERIKALI KUFIKIA LENGO LA TRILIONI MBILI KILA MWEZI. Leo 12:15hrs 04/04/2021 Inafahamika kwamba kila siku duniani kote wafanyabiashara wanapanga mbinu za kila aina kuweza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wajuzi na waelewa wa mambo nimekuwa nikijiuliza mwenyewe bila kupata majibu, kwenye nchi tunazopakana kimpaka Kuna viongozi waliopo madarakani au hata huko kwenye upinzani wao Kuna kiongozi yeyote...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu Faustine Ndugulile hapo zaidi ya miezi minne ulikuwa unashughulikia kero zinazo wakabili watanzania hasa juu ya wizi wa vifurushi vya simu. Maana watu wengi walikuwa wakilalamika kuwa...
1 Reactions
3 Replies
857 Views
Ewura mafyta yakishuka leo kwenye soko la Dunia Tanzania inaweza kuchumua wiki 2 kushusha ama kutoshusha kabisa, utaambiwa bado kuna shehena ya zamani lakini mafuta yakipanda leo jioni tu unawaona...
0 Reactions
1 Replies
729 Views
Back
Top Bottom