Mapokezi ya Rais Samia: Kwanini watendaji hawajaweka zulia jekundu, kiprotokali hili limekaaje?

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,487
2,344
Tumezoea kuona viongozi wakubwa wakipokelewa kwa mazulia mekundu, kwanini kwa mama yetu haikuwa hivyo? Kiprotokali limekaaje hili wanabodi?
Screenshot_20210404-075237~2.png
 
Ukipata kiongozi wa kiislam akawa na imani japo nusu ya dini yake hawana tabu na ukamkuta mwenye dini hasa mtaishi kama mbinguni,kifupi luxurious za duniani hazijawahi kumhadaa mcha Mungu kwake maisha ya dunia ni mapito ya muda mfupi sana haoni sababu ya kukera mtu mwingine.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Dini, zulia jekundu na kukera watu wengine vina uhusiano?
 
Back
Top Bottom