Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Members, Kuna maswali yanafikirisha sana Je, Pesa za Kuongeza mishahara Kikwete alikuwa anatoa wapi kila mwaka huku akiwa na watumishi hewa kwenye payroll ya mshahara? Alilipa mishahara na...
34 Reactions
135 Replies
12K Views
Teuzi zilizofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 4 Aprili, 2020.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Waliotajwa hapo juu ni hatari mno kwa utendaji wa TAMISEMI kwa waziri mpya nikikumbuka jinsi walivyodanganya katika ajira za ualimu, na kuingiza majina hewa zaidi ya 1000. Mhe Rais usiwaaache...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
1. Heri James 2. Ole SABAYA 3. Jery Muro 4. Ali Hapi 5. Chalamila mkuu wa mkoa wa Mbeya 6. Cipirian Msiba 7. Makonda 8. Mbunge Msukuma 9Spika NDUGAI Enzi za jiwe hawa jamaa walikuwa na siasa za...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwanasheria mkongwe na mwanaharakati maarufu Afrika kutoka nchini Kenya PLO Lumumba amesema madai ya Tundu Lissu kwamba Hayati Magufuli ni tajiri kama hayati Mobutu Sseseko wa Zaire ni ya uongo na...
62 Reactions
563 Replies
47K Views
Tumemsikia Waziri wafedha Mwigulu akitamka kuwa asemayo mama Samia kuhusu ukusanyaji kodi ni sahihi kabisa kwani utumiaji wa ubabe na hila sio njia nzuri (kama alivyokuwa anaunga mkono utendaji wa...
10 Reactions
64 Replies
6K Views
Wagombe wa ubunge wa upinzani nchi Zima kushindwa uchaguzi, Wagombe wa upinzani kutekwa wakirudisha fomu kwa wasimamizi wa uchaguzi, Wagombe wa upinzani peke yao kukosea kujaza fomu za uchaguzi...
19 Reactions
23 Replies
2K Views
Huu mfumo wa viongozi wa serikali kuongizwa kwenye ratiba ya misa unaligawa Taifa. Haiwezekani kila siku tukahutubiwa kupitia dhehebu moja kwa sababu tu kiongozi flani ametoka dhehebu ilo. Kwamba...
1 Reactions
0 Replies
957 Views
Mbunge wetu wa vunjo mzee charles kimei amefanya kazi nyingi sana katika kipindi hiki kifupi kuliko mbatia aliyekaa miaka 5. Amejitofautisha sana kwani kila mara hurejea jimboni kufanya mikutano...
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Asalaaam Walekum....Aleluya! Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka nyuzi mbalimbali katika jukwaa hili zikidai kuwa watu kadhaa....mfano....Mh. Ndugai, mbunge msukuma, Sabai n.k. wakiomba...
2 Reactions
6 Replies
721 Views
Munisi amshangaa Kigwangala. Akiongea kwenye misa ya pasaka katika kanisa La TAG kyeer Diwani wa Kata ya Machame Martini Munisi ametoa rai kwa watu mbalimbali wakiwemo Dkt Hamis Kigwangala na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii siku haitafutika haraka katika kumbukumbu zangu, imeniachia kovu baya. Lakini Mungu yupo, wale wote waliopora haki yangu lazima watalipwa mshahara wa kazi yao. Hili halitapita bure. Mlitupiga...
5 Reactions
6 Replies
975 Views
Raid JPM amemteua Mhandisi Christopher Chiza kuwa mwenyekiti wa TanTRADE.
1 Reactions
18 Replies
7K Views
Mimi binafsi na watu kama kina Pascal Mayalla ni watu ambao tulijiweka kando kabisa na mada za kisiasa baada ya uchaguzi mkuu 2020. Hata hivyo nilikuwa nikipita ndani ya jukwaa hili kimya kimya na...
24 Reactions
39 Replies
5K Views
Huwa ni Mfuatiliaji wa Mabunge mengi hasa ya EAC, ukitoa Kenya ambayo ni Democratic sana, Ila hata hapo kwa Kagame pamoja na Ubabe wa Kagame huwezi kuta Spika wa Bunge la Rwanda au Naibu wake...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Watu ni wengi wengi, wengi sana na wamekaa kwa utulivu kabisa wakiwa na huzuni isiyo mfano. Kadhalika viongozi mbalimbali wako uwanjani tayari kutoa heshima za mwisho. Updates; Wakuu wa vyombo...
9 Reactions
109 Replies
15K Views
Leo tarehe 1/4/2021 makampuni ya simu yamefanya mabadiliko makubwa katika vifurushi vyao. Wamepunguza vifurushi kwa kiasi kikubwa hasa vifurushi vya data, sitaweka hapa kifurushi kimoja baada ya...
65 Reactions
1K Replies
102K Views
Wengi wanamcheka na kumkejeli baada ya hivi karibuni kupanda na kushuka kwenye vyeo tofauti. Mimi naona huyu anakwenda kuwa Waziri Mkuu baada ya jamii kupoteza imani na aliyepo kutokana na kusema...
17 Reactions
168 Replies
12K Views
Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA). Uchaguzi 2020 - Chato: Yaliyojiri...
16 Reactions
487 Replies
53K Views
Hospital ya Taifa Mhimbili imepinga wazo la Dr Hamisi Kigwangala la kuondoa huduma ya kujifukiza Mhimbili. Kigwangala alishauri hospital ya Taifa Mhimbili kulivunja banda la kujifukiza kwani ni...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom