Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wadau si nia yangu kuhamasisha visasi kwa kukumbusha yaliyopita. Tusitazame nyuma kwa hasira, bali kwa uoga. Tujihadhali tusirudi huko. Ili kutafakari vizuri na kuepuka kumbukumbu kama hii, kuna...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Siasa za Tanzania haziishi mambo but this one is very serious. Tanzania imepakana ki jeografia na nchi 8 lakini ni nchi mbili tu Watanzania wana wasi wasi nao sana. Fikiria Kwanini Rwanda na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
KWA MIAKA MITANO... Kuna kundi la Watanzania, kwa miaka mitano limepitia haya: 1. Limezuiwa kukusanyika na kufanya mikutano na maandamano, 2. Likazuiwa kufanya mikutano ya nje na ndani, 3...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
In The Wealth of Nations (1776), Adam Smith argued that taxation should follow the four principles of:- fairness-that taxation should be compatible with taxpayers' conditions, including their...
2 Reactions
1 Replies
855 Views
Nondo na Zito punguzeni speed maana kila mtu anajua Kigoma ilikuwa nyuma kwa miaka miaka mingi na Kuna agenda mahususi za mkoa huo. Jana Zitto amesimamia kidete suala ya Uraia akiwa chini ya cover...
8 Reactions
51 Replies
4K Views
..jamani kwanza utalii si suala la muungano. ..Zanzibar wamekuja juu baada ya Tanganyika, na Seychelles, kuingia mkataba wa ku-promote vivutio vya utalii kwa pamoja. ..Tanganyika tumekuwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Sijui sisi watanzania tunakosea wapi ,tuache kusimamia mambo ambayo hayana masilahi kwa taifa kama mtu anauwezo kwanini asipewe nchi ... Kikwete ni moja ya maraisi ambao wanajua watanzania...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Nimewaza nikaona niulize hili swali kwa kuwa ni muda mrefu sijamuona hadharani mwenyekiti wa CHADEMA. Nina marafiki wa karibu huko, lakini hakuna aliyetoa jibu wengi wananambia sio kazi yako...
11 Reactions
104 Replies
12K Views
Hayati Mwl Nyerere aliwagundua wanafiki wa CCM ambao walikuwa wanamuambia kuwa asijiuzulu sababu akijiuzulu hakuna kiongozi wa kuiongoza Tanzania. Mwl aligundua kuwa wengi walikuwa wanahofu ya...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Wanabodi mnakumbuka mwezi wa pili walipandisha bei za vifurushi, tukalalamika zipunguzwe wakatuahidi mwezi wa 4. Mwezi wa 4 vimepanda zaidi tumepiga kelele wameturudisha kwenye bei zilezile za...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Mods naomba msiunganishe huu uzi maana una maudhui ya kipekee! Amani iwe nawe Mama! Kwanza napenda kukupongeza kwa jinsi gani umeonekana kuwa unasikiliza maoni ya wananchi na kuyafanyia kazi...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa ilipofikia Uvccm inaitaji Kijana aina ya Thobias Mwesiga Richard. Kiujumla anafiti kuanzia kwenye umri kama kigezo kikuu cha Ugombea naye amekidhi takwa hilo. Uwezo Wa kusimama na kujitoa...
0 Reactions
35 Replies
12K Views
Viongozi 5 wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC), wamefikishwa katika mahakama ya Kisutu, wakikabiliwa na shitaka la matumizi mabaya ya madaraka. Vigogo watano wa shirika la Maendeleo ya...
2 Reactions
67 Replies
18K Views
Mheshimiwa Raisi, kama hilo jina halikuwa pendekezo lako bali uliletewa na wasaidizi wako ili umteue kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, nakushauri uwafukuze mara moja waliohusika kupendekeza kwako...
26 Reactions
40 Replies
6K Views
Kuna wananchi wenzetu wa asili ya mkoa wa Kigoma wametaharuki baada ya watu kuhoji uraia wa Dr. Mpango na kuona kama wanabaguliwa. Hapana, ni jambo la kawaida kwani kuna watu wengi kutoka nchi...
12 Reactions
122 Replies
8K Views
Wateule wapya wanaapishwa Jumanne April 6, itakuwa vyemo tarehe isogezwe mbele ili kujiridhisha CV yakila mteule. Tukumbuke kuwa baadhi ya majina analetewa na washauri wake, wengine wanaleta kwa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Waraka huu umesomwa muda si mrefu mbele ya vyombo vya habari zaidi ya 15 huko Dodoma. TAMKO LA VIJANA WASOMI WA VYUO VIKUU WA MKOA WA DODOMA, KUHUSU KITENDO CHA BAADHI YA WABUNGE WA CHADEMA...
0 Reactions
546 Replies
43K Views
ALIYEKUWA Balozi wa Tanzania nchini Canada, Alphayo Kidata, hajulikani aliko. Rais John Magufuli alitengua ubalozi wake, akamrejesha nyumbani, na akamvua hadhi ya ubalozi. Kidata alirejea...
16 Reactions
119 Replies
32K Views
Amani iwe kwenu wapendwa katika bwana. Wakati tukiendelea kuomboleza msiba wa Jemedari wetu Dkt Magufuli, tuna kila sababu ya kutafakari sana kama taifa. Haiwezekani tupoteze watu maarufu na...
13 Reactions
106 Replies
7K Views
Ipo haja yakubadili mfumo wetu wa utendaji kazi kama nchi ikiwemo vyombo vya dola. Mkurugenzi wa TPA alikuwa na riport au matokeo ya ukaguzi toka ilipofanyika exit meeting. Alielewa Kuna maeneo...
20 Reactions
75 Replies
7K Views
Back
Top Bottom