Ya Mpango ni Ishara Mungu anakuonesha Mh. Rais

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,863
3,190
Mh. Rais Samia Suluhu Hassan
Mwenyezi Mungu muumba wa mbinu na dunia amekuinua machoni pa wanadamu na kukupa Ukuu ili uliongoze taifa lake. Taifa la Mungu lilipoteza ibada takatifu ya na utukufu wake watanzania walimuona mwanadamu yule ni Mungu wao. Wakamtumainia, wakamtukuza wakampa utukufu wa aliye juu. Kwa kuwa Mungu ni mwenye wivu alikasirika na kukatisha maisha yake.

Ninaandika haya kwako kwa kuwa bado
Hujajua kusudi la wewe kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Bado waoneka kuogopa kuliongoza taifa hili bado u dhaifu na legelege Mwenyezi Mungu ananiambia nikwambie badilika sasa Usimame uongoze taifa lake.

Yako mambo umeyasimamia vizuri
Yako ambayo tayari umefanya vizuri
Yako mambo umekosea, hususani Bado unateua watesi walewale wa wananchi kushika nafasi, hili ni kosa kwa kuwa kazi kubwa uliyopewa ni kubadili nchi hii na kuleta kustawi, haki na amani. Acha kuwaza watu walewale leta wapya acha watu waliokuwa na hekima na hofu ya Mungu kipindi kilichopita.

Umekosea kumteua Makamu wako.
Hili tayari umefanya kosa piga moyo konde. Huyo si salama kwako, ni mtu wa hila, majivuno na asiye mnyenyekevu. Utawezaje kuishi na mtu huyo..???atakukwaza marangapi...?. Muombe Mwenyezi Mungu akusaidie pia tumia Mamlaka yako kumdhibiti usimpe uhuru wa kupitiliza akae mbali na majukwaa na vyombo vya habari. Kimtokacho mtu mdomoni ki Moyoni mwake.

Jitahidi serikali upange wewe asikupangie. Serikali sio Ngo Haiitaji discussion za mara kwa mara. Fikiria pia baada ya wewe watu wa Mungu wasirudi tena utumwani. Huyo msaidizi wako kwa rohoyake aweza warudisha watanzania utumwani kwa kuwa nafasi yake aweza kuitumia kwa hila. Wasiwasi na mashaka ni ishara kuwa Mwenyezi Mungu anakuamsha usingizini. AMKA MAMA SAMIA
AMKA USILALE

NAKUTAKIA MAJUKUMU MEMA
 
Mpango ni raia ama sio raia? Mpaka anashika post nyeti hivyo Tiss wanafanya nini?
Hivi hii nchi nani katulaani?
Yaani tunaacha kujadili masuala tunajadili mtu.

Kuna aina ngapi za uraia?

1.Kurithi/adoption kama sikosei
2.Kuzaliwa
3.Kusajiliwa
Kama kuna nyingine nikumbusheni.

Mpango hata akiwa Mturuki,kuna shida gani madhali ametambulika ama anatambulika kama Mtanzania?
Kuna warundi na wanyarwanda wangapi tumewapa uraia wa Tanzania?

Sasa Mpango kama kazaliwa,kakulia,kasoma Tanzania mpaka pale alipo hata kama wazazi wake walikuwa wakimbizi miaka hiyo,huyu tunamuitaje?

Mkapa tuliambiwa ni mmakonde wa Msumbiji,
Magufuli tukaambiwa ni Mrundi....leo ni Mpango. Ila alipokuwa waziri na nyadhifa nyingine alikuwa Mtanzania....leo kawa VP ni Mrundi. Tuacheni jamani.
 
Hii ni hoja isiyokuwa na kichwa wala miguu! ...Mungu anatoa na kutwaa kwa vigezo vyake na schedule yake (sio kwa perception yako).

Subiri utakapokuwa Rais utateua unayemtaka wewe.
 
Hivi hii nchi nani katulaani?
Yaani tunaacha kujadili masuala tunajadili mtu.

Kuna aina ngapi za uraia?

1.Kurithi/adoption kama sikosei
2.Kuzaliwa
3.Kusajiliwa
Kama kuna nyingine nikumbusheni.

Mpango hata akiwa Mturuki,kuna shida gani madhali ametambulika ama anatambulika kama Mtanzania?
Kuna warundi na wanyarwanda wangapi tumewapa uraia wa Tanzania?

Sasa Mpango kama kazaliwa,kakulia,kasoma Tanzania mpaka pale alipo hata kama wazazi wake walikuwa wakimbizi miaka hiyo,huyu tunamuitaje?

Mkapa tuliambiwa ni mmakonde wa Msumbiji,
Magufuli tukaambiwa ni Mrundi....leo ni Mpango. Ila alipokuwa waziri na nyadhifa nyingine alikuwa Mtanzania....leo kawa VP ni Mrundi. Tuacheni jamani.
Mkuu waTanzania akili zetu kama Mbuzibee 🐐 anaejua kama sisi misukule ni CCM tu. Ndio maana mpaka leo wapo madarakani kwasababu mbuzi akili zetu asubuhi tukale majani usiku tunarudi mabandani.

Mbuzibee 🐐
 
Mkuu waTanzania akili zetu kama Mbuzibee anaejua kama sisi misukule ni CCM tu. Ndio maana mpaka leo wapo madarakani kwasababu mbuzi akili zetu asubuhi tukale majani usiku tunarudi mabandani.

Mbuzibee
na sisi kama CCM tunaamini Watanzania wanajielewa ila kuna kakundi kwa watu wachache wanachafua sifa za nchi na wananchi wake.
 
Hivi hii nchi nani katulaani?
Yaani tunaacha kujadili masuala tunajadili mtu.

Kuna aina ngapi za uraia?

1.Kurithi/adoption kama sikosei
2.Kuzaliwa
3.Kusajiliwa
Kama kuna nyingine nikumbusheni.

Mpango hata akiwa Mturuki,kuna shida gani madhali ametambulika ama anatambulika kama Mtanzania?
Kuna warundi na wanyarwanda wangapi tumewapa uraia wa Tanzania?

Sasa Mpango kama kazaliwa,kakulia,kasoma Tanzania mpaka pale alipo hata kama wazazi wake walikuwa wakimbizi miaka hiyo,huyu tunamuitaje?

Mkapa tuliambiwa ni mmakonde wa Msumbiji,
Magufuli tukaambiwa ni Mrundi....leo ni Mpango. Ila alipokuwa waziri na nyadhifa nyingine alikuwa Mtanzania....leo kawa VP ni Mrundi. Tuacheni jamani.

Pumbavu mkubwa
Anayeruhusiwa kuwa raisi ni raia wa kuzaliwa tu.
 
Back
Top Bottom