Dkt. Kigwangalla: Nimemuachia Mungu apigane kwa niaba yangu

Old guard

JF-Expert Member
Dec 15, 2020
1,488
2,695
Mimi sintosema chochote,nmemuachia Mungu apigane kwa niaba yangu.
Nakubali kuwajibika ‘kisiasa' siwez kuwakana wasaidizi wangu,lakin sikuiba pesa wala kufaidika 'binafsi' kwa namna yoyote ile, lakin pia mimi sikuwa 'afisa masuuli' na hivyo sikuhusika kuhidhinisha pesa.;@HKigwangala
 
Eti anamuachaia Mungu. Wakati unazila Pesa haukumuachia Mungu, sasa hivi una Msala ndio unamuachia Mungu msala wako. Pamba nao kama ulivyokula Hela bila ya Mungu.
 
Acha kumkimbilia mungu kwenye wizi na ufisadi uliofanya. Mungu hamtetei fedhuli. Kubali yaishe. Ulihusika;

1) Kutoa "AMRI YA KUTOA PESA", ma Accountant walitii amri na kutoa. Lawama haiwezi kwenda kwa waweka hazina kwasababu wao sio watu wa field, wao ni watu wa kukaa ofisini tu na kupewa maagizo.

2) Kujaza mafuta ndege za TANAPA kwa hela ya Wizara na kuzituma (Dar - KIA - Dar) + (Dar - Burigi Chato - Dar) + (Dar - Serengeti - Dar).

3) Ukapiga Billioni 7, halafu ukakimbilia kwenye Twitter kuandika kwamba "UMEVUNA MPUNGA WAKO" kwenye mashamba na kuuza ndio ukaingiza return ya faida Billion 7 (Wakulima watatusaidia kiasi gani cha mpunga na mashamba ya ukubwa gani yanaweza kutoa na kuuzwa kisha kuingiza faida ya Billion 7).

4) Wawekezaji wa vitalu vya utalii uliwaomba rushwa ili usiwafutie vitalu vyao (Kumbuka ulichowafanyia: Green Miles Safaris baada ya kugoma kukupa hela, ukawafutia lesseni ya kitalu kwa mabavu, ila waligoma kuondoka na mpaka leo wanaendelea na uwindishaji kwasababu wapo kisheria.)

5) Ukahamia kwa wafanyabiashara Dar na kuanza kuwaomba hela kwa kigezo cha mkopo, wapo waliokupa na ukagoma kuwarudishia hela zao, na wapo waliogoma kukupa.

Usitake tukuharishie zaidi kwenye mitandao ya kijamii uovu uliofanya. Kubali uwajibike kisheria na umesha malizwa kisiasa na kupotezwa.

Kuwajibika kisiasa si ni KUJIUZULU au?

Hivi huyu shule alisomea ujinga?
 
Mimi sintosema chochote,nmemuachia Mungu apigane kwa niaba yangu.
Nakubali kuwajibika ‘kisiasa' siwez kuwakana wasaidizi wangu,lakin sikuiba pesa wala kufaidika 'binafsi' kwa namna yoyote ile, lakin pia mimi sikuwa 'afisa masuuli' na hivyo sikuhusika kuhidhinisha pesa.;@HKigwangala
Huyo anatakiwa achunguzwe na ikibainika alihusika aburuzwe mahakamini tu.
 
Eti anamuachaia Mungu. Wakati unazila Pesa haukumuachia Mungu, sasa hivi una Msala ndio unamuachia Mungu msala wako. Pamba nao kama ulivyokula Hela bila ya Mungu.
Siku hizi anashinda kwenye instagrm anajionyesha anavyofanya mazoezi
 
Acha kumkimbilia mungu kwenye wizi na ufisadi. Kubali yaishe. Ulihusika;

1) Kutoa "AMRI YA KUTOA PESA", ma Accountant walitii amri na kutoa. Lawama haiwezi kwenda kwa waweka hazina kwasababu wao sio watu wa field, wao ni watu wa kukaa ofisini tu.

2) Kujaza mafuta ndege za TANAPA kwa hela ya Wizara na kuzituma (Dar - KIA - Dar) + (Dar - Burigi Chato - Dar) + (Dar - Serengeti - Dar).

3) Ukapiga Billioni 7, halafu ukakimbilia kwenye Twitter kuandika kwamba "UMEVUNA MPUNGA WAKO" kwenye mashamba na kuuza ndio ukaingiza return ya faida Billion 7 (Wakulima watatusaidia kiasi gani cha mpunga na mashamba ya ukubwa gani yanaweza kutoa na kuuzwa kisha kuingiza faida ya Billion 7).

4) Wawekezaji wa vitalu vya utalii uliwaomba rushwa ili usiwafutie vitalu vyao (Kumbuka ulichowafanyia: Green Miles baada ya kugoma kukupa hela, ukawafutia lesseni ya kitalu kwa mabavu, ila waligoma kuondoka na mpaka leo wanaendelea na uwindishaji.)

5) Ukahamia kwa wafanyabiashara Dar na kuanza kuwaomba hela kwa kigezo cha mkopo, wapo waliokupa na ukagoma kuwarudishia hela zao, na wapo waliogoma kukupa.

Usitake tukuharishie zaidi kwenye mitandao ya kijamii uovu uliofanya. Kubali uwajibike kisheria na umesha malizwa kisiasa na kupotezwa.

Majizi safari hii yameongezeka hasa kwenye awamu ya 5
 
Tumeliwa Sana Ndugu Zangu
Tumechezewa Sana Ndugu Zangu
Tumelaliwa Sana Ndugu Zangu
Tumehomolwa Sana Ndugu Zangu
😀😁😂😃😄😅😆😅😃😂😁😀
Majizi Nitalala Nayo Mbele Ili Zile Pesa Yazitapike
JPM
 
Acha kumkimbilia mungu kwenye wizi na ufisadi. Kubali yaishe. Ulihusika;

1) Kutoa "AMRI YA KUTOA PESA", ma Accountant walitii amri na kutoa. Lawama haiwezi kwenda kwa waweka hazina kwasababu wao sio watu wa field, wao ni watu wa kukaa ofisini tu.

2) Kujaza mafuta ndege za TANAPA kwa hela ya Wizara na kuzituma (Dar - KIA - Dar) + (Dar - Burigi Chato - Dar) + (Dar - Serengeti - Dar).

3) Ukapiga Billioni 7, halafu ukakimbilia kwenye Twitter kuandika kwamba "UMEVUNA MPUNGA WAKO" kwenye mashamba na kuuza ndio ukaingiza return ya faida Billion 7 (Wakulima watatusaidia kiasi gani cha mpunga na mashamba ya ukubwa gani yanaweza kutoa na kuuzwa kisha kuingiza faida ya Billion 7).

4) Wawekezaji wa vitalu vya utalii uliwaomba rushwa ili usiwafutie vitalu vyao (Kumbuka ulichowafanyia: Green Miles baada ya kugoma kukupa hela, ukawafutia lesseni ya kitalu kwa mabavu, ila waligoma kuondoka na mpaka leo wanaendelea na uwindishaji.)

5) Ukahamia kwa wafanyabiashara Dar na kuanza kuwaomba hela kwa kigezo cha mkopo, wapo waliokupa na ukagoma kuwarudishia hela zao, na wapo waliogoma kukupa.

Usitake tukuharishie zaidi kwenye mitandao ya kijamii uovu uliofanya. Kubali uwajibike kisheria na umesha malizwa kisiasa na kupotezwa.

Huu uwe uzi Mkuu
 
Back
Top Bottom