Ujumbe kwa vijana wanaotumia mitandaoni kumtetea Mzee Baba

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Ujumbe wangu ni huu:

Kusifiwa au kupongezwa ni haki ya kila mtu anaefanya vizuri licha ya kuwa haki hiyo haipo kikatiba wala kisheria. Lakini ukianza kujisifia mwenyewe au kutumia nguvu au watu ili usifiwe, haki hiyo hupotea, na kwakuwa haipo kisheria, huwezi na wala huna haki ya kuidai popote au kutoka kwa mtu yoyote.

Kama vipi, wekeni sheria ya kumsifia ili mtuadhibu tusiotaka kumsifia kama mnaweza. Mkishindwa, pambaneni na hali yenu.

Tusichoshane.
 
Majuha hayo, walirithishwa ujuha na mzee wao,

Kelele zao ni za chura tu hazimzuii tembo kunywa maji watapiga kelele wee kwa sababu now hakuna ulaji wanaoupata cause aliyekuwa anawapa jeuri keshamezwa na ardhi , ila wakae watambue kwamba huu ni wakati wa wengine sasa kuifaidi keki ya taifa watakoma awamu hii wajiandae kubatizwa kwa moto sasa
 
Tuko macho Magufuli amelala kaacha kina magufuli maelfu wako hayo. Nchi haitaibiwa tena. Udalali haupo tena. Jana kuna professor alianza udalali wa mitambo ya umeme.

Alichokipa hatarudia tena kuropoka. Nchi iko salama. Magufuli still hero of Africa. RIP JPM.
 
Ujumbe wangu ni huu:

Kusifiwa au kupongezwa ni haki ya kila mtu anaefanya vizuri ingawa haki hiyo haipo kikatiba wala kisheria. Lakini ukianza kujisifia mwenyewe au kutumia nguvu au watu ili usifiwe, haki hiyo hupotea, na kwakuwa haipo kisheria, huwezi na wala huna haki ya kudai popote au kutoka kwa mtu yoyote.

Msituchoshe,pambaneni na hali yenu
Tundu Lisu ndio anapenda sifa!
 
hahahaha his legacy is immortal, hata mfanye nn hamuwezi kumchafua
 
Nimejifunza jambo moja, wapinzani wanaona aibu kula matapishi yao kwa kuiaminisha dunia kwamba mzee alikuwa anapenda kusifiwa na watu waliokuwa wanamsifia wanapata vyeo. Sasa kaenda zake wala hana cha kutoa tena lakini wale waliokuwa wanamuunga mkono wapo nae mpaka mwisho. Itoshe kusema mwamba anaishi nasi na anatuongoza katika mapambano
 
Tuko macho Magufuli amelala kaacha kina magufuli maelfu wako hayo. Nchi haitaibiwa tena. Udalali haupo tena. Jana kuna professor alianza udalali wa mitambo ya umeme.

Alichokipa hatarudia tena kuropoka. Nchi iko salama. Magufuli still hero of Africa. RIP JPM.
Ni kweli kabisa nchi haitaibiwa sana sababu wizi uliofanyika toka 2015 -2021 ni mkubwa sana na unawatosha.
 
Hatutaki kusikia ujinga mradi ya ndege,umeme,madaraja,meli. Iendele.JPM hajafaa .bali amejimulply na kuzaliwa kwenye mioyo ya mimilioni wa watz. Anaishi kama phonex, na JPM ameji re-birth na kuzaliwa upya. Sasa DR. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI anaishi milele . Ukijaribu kuchafua utakufa kifo kibaya sana
 
Ramli hizi, kufa ni kufa tu, hakuna rebirth..

OVA
 
Tuko macho Magufuli amelala kaacha kina magufuli maelfu wako hayo. Nchi haitaibiwa tena. Udalali haupo tena. Jana kuna professor alianza udalali wa mitambo ya umeme.

Alichokipa hatarudia tena kuropoka. Nchi iko salama. Magufuli still hero of Africa. RIP JPM.
We ni matako sana mkuu
 
!
20210407_172745.jpg

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Tuko macho Magufuli amelala kaacha kina magufuli maelfu wako hayo. Nchi haitaibiwa tena. Udalali haupo tena. Jana kuna professor alianza udalali wa mitambo ya umeme.

Alichokipa hatarudia tena kuropoka. Nchi iko salama. Magufuli still hero of Africa. RIP JPM.
Trilioni 1.5 ilenda wapi?

Jua tu Magu alikubuhu.
 
Hatutaki kusikia ujinga mradi ya ndege,umeme,madaraja,meli. Iendele.JPM hajafaa .bali amejimulply na kuzaliwa kwenye mioyo ya mimilioni wa watz. Anaishi kama phonex, na JPM ameji re-birth na kuzaliwa upya. Sasa DR. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI anaishi milele . Ukijaribu kuchafua utakufa kifo kibaya sana
Ngonjera za Lumumba!
 
Ujumbe wangu ni huu:

Kusifiwa au kupongezwa ni haki ya kila mtu anaefanya vizuri ingawa haki hiyo haipo kikatiba wala kisheria. Lakini ukianza kujisifia mwenyewe au kutumia nguvu au watu ili usifiwe, haki hiyo hupotea, na kwakuwa haipo kisheria, huwezi na wala huna haki ya kudai popote au kutoka kwa mtu yoyote.

Kama vipi, wekeni sheria ya kumsifia ili mtuadhibu tusiotaka kumsifia kama mnaweza.

Mkishindwa,pambaneni na hali yenu. Tusichoshane.
jina lenyewe Salary Slip, njaa inakusumbua tu. Nani aliyekuomba ufanye hivyo kama sio kiherere chako cha kudakia yasiyo kuhusu
 
Majuha hayo, walirithishwa ujuha na mzee wao,

Kelele zao ni za chura tu hazimzuii tembo kunywa maji watapiga kelele wee kwa sababu now hakuna ulaji wanaoupata cause aliyekuwa anawapa jeuri keshamezwa na ardhi , ila wakae watambue kwamba huu ni wakati wa wengine sasa kuifaidi keki ya taifa watakoma awamu hii wajiandae kubatizwa kwa moto sasa
Kina nani hao mkuu, naona umeandika kwa hasira sana utadhani kipindi hiki pesa itatolewa simple as possible.
 
Back
Top Bottom