Wapinzani walikuwa wanaongea na wafuasi wao wa mitandoni

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Uraiani watu wapo busy na masuala mengine ya kimaisha na kiuchumi. Huku wakichapa kazi

Mitandoni ndio utakuta baadhi ya watu wachache wanaojinasibu ni wafuasi wa Chadema na Act wazalendo.

Kwa akili ya kawaida Mbowe na Zitto watakuwa na ushawishi kwa wananchi wazalendo?
 
Umejaa maujinga sanaa
 
Daah ila ww 😂😂😂😂 tuna safar ndefu balaa
 
Uraiani watu wapo busy na masuala mengine ya kimaisha na kiuchumi. Huku wakichapa kazi

Mitandoni ndio utakuta baadhi ya watu wachache wanaojinasibu ni wafuasi wa Chadema na Act wazalendo.

Kwa akili ya kawaida Mbowe na Zitto watakuwa na ushawishi kwa wananchi wazalendo?

Amka boss, zama za utawala wa kidhalimu zimeisha.
 
Huku mitandaoni kwenyewe ni mtaani, lakini ni mtaa wa kisasa yaani wa kidigitali. Ila kwakuwa ww ni mzee, unadhani mtaani ni mpaka mkae kwenye benchi au kwenye mkeka.
Ndio maana nimesema mnaoishi mitandoni ndio mmehutubiwa.
 
Nasema hivi, ww ni mzee ndio maana bado unawaza kizee. Watu wote wanaofuatilia mambo wanajua kinachoendelea kupitia mitandao. Hao wasiofuatilia mitandao wengi ni watu wa kuburuzwa, hivyo hawana madhara maana wanacheza mdundo wowote.
 
Rejea huko nyuma mlivyokuwa mnafanya tathmini kupitia mitandao, matokeo ya uchaguzi yalipokuja ilikuwa ni kilio.
 
Unachekesha kweli, chini ya dictator uchwara kulikuwa na uchaguzi au maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura? Ndio maana nakuambia ww ni mzee, hii inapelekea ww kujadili kizee huku ukifumbia macho ukweli.
 
Nasema hivi, huwa mnatumia sana takwimu za wafuasi wenu wa kwenye mitandao ndio maana huwa mnaangukia pua,full stop.
 
Tuwaombee wapuuzi na wenye mawazo mgando kama huyu jamaa.

Dunia imebadilika sana... Vijiwe vya kisasa ni magroup ya whatsap na platform kama hizi... Ila kwa kuwa umekunywa maji ya bendera ya kijani ufahamu wote umetoweka... Subiri pakuche uende kukaa kijiweni kukutana na watu wenye akili finyu kama zako.
 
Back
Top Bottom