Kuna moja ya thread jukwaa hili, imeandikwa humu ikiwa na hoja ya kwamba awamu ya Sasa serikali ya Mama Samia ni ya awamu ya tano yaani muendelezo wa mtangulizi wake.
Yafuatayo ni maelezo mafupi...
Wakati ndani ya nchi wanasema wameonewa na kuibiwa kura kwa kupata mbunge mmoja wa kuchagulia kutoka wabunge mia na kenda awamu iliyopita na pia mgombea urais Tundu Lissu akiambulia kura chini ya...
Wanabodi hili ni bandiko la kuelezana ukweli,na kama viongozi wetu ni wakweli basi hakuna haja za kusubiri mpaka mei mosi ifike ili mishahara ya watumishi wa umma iongezwe.
Mwaka 2017 kwenye...
Kuna watu wanateseka, tena bila sababu. Wanataka tutembee katika upotofu. Hawataki kusikia kuwa utawala wa awamu ya Hayati Magufuli umekoma kwa namna mojawapo ya zile zilizotajwa na katiba...
Jana tarehe 17/4/2021 na leo tarehe 18/4/2021, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndg. Ado Shaibu Ado amefanya ziara kwenye Kata 11 za jimbo la Muhambwe.
Kata zilizotembelewa ni Kitahana, Rusohoko...
Skauti ni mahali sahihi zaidi kwa vijana kujifunza uzalendo, uongozi, ushirikiano, umoja na mambo mengine muhimu ya kimaisha bila kuwapa vijana ambao ni washiriki wake hali ya ujivuni wa kijeshi...
Askofu mkuu wa kanisa la Pentekoste Tanzania na mwenyekiti wa baraza la makanisa ya kipentekoste Tanzania, Peter Konki amewasilisha mada ya umoja na mshikamano katika kongamano la viongozi wa dini...
Dr. Bashiru juhudi zako unazofanya za chuki na hasira dhidi ya Rais wetu mpemdwa tukwambie tu unasumbuka sana.
CCM ni chama chetu, Tumekulia ndani ya CCM, tunazijua tamaduni zetu, tunazijua saisa...
Kuna dhana potofu ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekuwa wakiwaaminisha Watanzania eti hakuna uhuru wa habari na vyombo vya habari vimeminywa. Dhana hiyo imekuwa...
Kumekuwepo na kelele kiasi toka kwa baadhi ya Watu ambao wanataka kufunganisha maendeleo ya Nchi yetu na Katiba Mpya au kwa kifupi maendeleo yanaendana na Katiba wanazofikiria wao zitawapa...
MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema Jimbo la Kisesa Mkoa wa SIMIYU linachangamoto nyingi sana ikiwemo tatizo la uvamizi wa tembo ambao umekuwepo kwa muda mrefu bila kupata suluhisho la kudumu...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila, amesimamia zoezi la kubomoa nyumba ya Atony Lyuba mkazi wa Kata ya Inyala, Halmshauri ya Wilaya ya Mbeya, baada ya kukaidi agizo la kubomoa kwa hiari nyumba...
Ukisikiliza mjadala huu utagundua kuwa kumbe vijembe na kushambulia watu kunakofanywa na "darasa la saba" hawa yaani Mbunge Lusinde wa Mvumi na Msukuma wa Geita kuna baraka za Spika Ndugai na ni...
Kujenga umoja wa kitaifa ni kazi ngumu kuliko kujenga mabarabara marefu nchini.
Umoja huu wa kitaifa umejengwa mwa miaka mingi na kwa gharama kubwa kutoka Awamu ya kwanza na zilizofuatiwa.
Kuna...
Benki ya CRDB imekanusha vikali habari iliyoandikwa jana Agosti 18, 2016 na gazeti moja la kiswahili la kila siku na kunukuliwa na baadhi ya mitandao ya kijamii na kumnukuu kimakosa Mkurugenzi...
Wanabodi.
Wizara ya Afya imeacha kabisa kupromoti Nyungu baada ya kifo cha shujaa wa Afrika Dkt. Magufuli.
Hiyo inaashiria nini Wakuu hatuoni tena matamko kama zamani nini tatizo au Corona...
Kuna miradi mingi ilianzishwa awamu ya nne na baada ya awamu ya tano kuingia iliachwa kiporo kwanza. Ipo iliyokuwa na kasoro za kiutekelezaji na ipo iliyosimama kwa mapungufu ya kifedha na ipo...
Habari za boxing day wananchi,
Sisi tulio uzeeni tunafarijika sana kuona kijana Kama Sugu ambaye ameishi maisha ya taadhari zote za kiuchumi akifanikiwa kuwekeza kwenye hoteli huku akiwa hana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.