Mbeya: RC Chalamila ameonya waandishi wa habari kuacha kutumia maneno ''kifo cha ghafla'' wanapoandika habari za msiba

1612685656836.png
 
Kweli ata hii tabia ya kutangaza vifo JF siitaki .....ife Mara moja
 
Kwa hiyo mtu akifa ghafla kwa heart attack anataka isemwe amesumbuliwa na maradhi ya moyo kwa muda mrefu ili iweje?

Hawa watu wa hii serikali mbona hawajiamini, wanaficha kitu gani?
Afadhali iwatungue wao kwanza
 
RC Chalamila amesema hili neno “kifo cha ghafla” linaleta taharuki katika jamii. Mbona mtu akitongoza ghafla magazeti hayaandiki.
😆😆😆
 
RC Chalamila amesema hili neno “kifo cha ghafla” linaleta taharuki katika jamii. Mbona mtu akitongoza ghafla magazeti hayaandiki.
Aliongelea kwenye kilabu cha Ulanzi au ofisini kwake?!
 
Back
Top Bottom