Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mhe Rais, naomba utumie dakika chache kusoma barua hii wewe mwenyewe, na kama hautapata muda naomba wasaidizi wako wakusaidie kuusoma na kukufikikishia. Naandika haya kama Raia aliye na wasiwasi...
25 Reactions
165 Replies
13K Views
Kauli hii ilitolewa na Mh. Rais Samia Suluhu kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu uliofanyika Octoba 2020
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Rais Mama Samia akihutubia Taifa ktk kongamano la kidini jijini Dodoma, amesema ataendeleza mazuri tu yaliyofanywa awamu ya 5. Sijui wale wapiga mapambio mpo? Akaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa...
17 Reactions
58 Replies
5K Views
Fatuma Karume, Lugemeleza Nshala na Sasa ni Dr Edward Hosea, hawa wote ni pendekezo lake, ama yeye ndiye aliwashawishi kugombea au aliwaunga mkono. Huyu Mtu ana ushawishi gani ndani ya chama cha...
29 Reactions
95 Replies
10K Views
Haya mambo ya mihimili ni lugha za kisiasa tu lakini kiuhalisia Rais wa JMT yuko juu ya Bunge na Mahakama. Ndio maana Mtendaji mkuu wa Bunge ni mteule wa Rais na anafanya kazi kwa karibu " zaidi...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Tangu Bunge jipya kuanza kumekuwa na vihoja na viroja kutoka bungeni nadhani hii ni kwa sababu wabunge wengi wapo pale kwa hisani ya mtu. Wengine ndo hao viti maalum. Hawajui haso za kusaka kura...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mh. Rais Samia. Nimesikiliza hotuba za hawa watu wawili, Makamba Jr (Jana) na Nape(Leo). Hawa watu wanajua kucheza na siasa ili mambo yao yakubirike kwa jamii. Ukiteleza kidogo tu wana wewe...
6 Reactions
65 Replies
8K Views
Nilisema hapa kitendo cha kumteua Kibajaji kuwa mchangiaji mkuu wa hotuba ya Waziri Mkuu kwa kumpa dakika za upendeleo 15 hakikuwa cha busara. Matokeo yake Wabunge wote waliofuatia nao wakawa...
9 Reactions
40 Replies
4K Views
Kusema ukweli tukipata watu wenye uwezo wa kufikiri kama huyu mheshimiwa, nchi hii itaenda mbali sana. Bahati mbaya sana kwa wasomi wetu wengi wamebaki na vyeti na wamekuwa wakitambia hivyo huku...
19 Reactions
63 Replies
10K Views
Kwa niliyoyashuhudia leo pale Chimwaga hakika ni suala la muda tu Nchi ya Tanzania inaelekea kuuenzi uongozi wa JPM kwa kutenga siku maalum ya 'MAGUFULI DAY. ' Pia,nimegundua kupitia tu kutajwa...
12 Reactions
38 Replies
3K Views
Siyo siri, katika Awamu ya Tano iliyopita Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama viliingiliwa kiutendaji kiwazi wazi. Hii inaweza leta athari kubwa sana lisipokabiliwa mapema. Tunaona sasa hivi kwa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mbunge wa tarime vijijini na naibu waziri wa ujenzi amelakiwa na wapiga kura wake huku wakisema ni mbunge wa kuigwa na kutiliwa mfano, tofauti na mtangulizi wake aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Nimekuwa nafatilia bunge bajeti tangu lianze vijana tumekuwa tunadharaurika kila kiongozi anatusema sisi vibaya tufanyeje ili kuepuka kikombe hiki. Alianza mhe spika vijana wengi akimaanisha...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu napendekeza jina rasmi la mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan liwe SASHA kama ambavyo watangulizi walikuwa na ufupisho. Hayati Magufuli aliitwa kwa kifupi JPM yaani John Pombe Magufuli...
23 Reactions
90 Replies
8K Views
Najaribu tu kupitia sifa za uzalendo wa wanasiasa mbalimbali kwa nchi yetu. Mh Tundu Lissu amewahi kutumikia Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa Sheria au kwa kujitolea? Nia ni njema kabisa...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Chadema wamekuwa kama fisi wanaonyemelea mtu akitembea na kutupatupa mikono wakingojea eti mikono itadondoka wake, mmekuwa kama fisi anadanganywq mkono wa binadamu unaweza kudondoka mle na nyie...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika tukio ambalo si la kawaida, mmoja kati ya walinzi wa Rais Samia Suluhu, almanusura adondoke chini mara baada ya kujikwaa, shukrani zimuendee askari wa JWTZ aliyekuwa karibu nae kwa kumdaka...
19 Reactions
148 Replies
23K Views
Hakuna shaka yeyote, na sidhani kwamba kuna mtu anayeweza kuhoji uwepo wa CHADEMA kama chama cha kisiasa kilicho na ushindani mkubwa hapa nchini licha ya misukosuko mingi iliyoelekezwa kwao ili...
16 Reactions
99 Replies
6K Views
Wanabodi tumbua imeendelea tena usiku huu nasoma hapa kwa uhakika kabisa Bwana Ngamlagosi ambae ni Mkurugenzi Mkuu wa EWURA amesimamishwa kazi na Waziri Mkuu. Sababu za kusimamishwa hazijatajwa...
8 Reactions
393 Replies
47K Views
Maana mpaka sasa hatujaambiwa lolote la maana na Jeshi la Polisi wala viongozi wa serikali , kwamba ni nini kimewatokea watanzania wenzetu hawa akina Bernard Saa Nane , Kanguye aliyepotezwa...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom