Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huo ndio ukweli mchungu. Kwa mfano wale Wabunge 19 wasiofungamana na upande wowote ni lazima wamwamkie Dkt. Mahera popote wanapomwona tena kwa kupiga goti hata kama wanamzidi umri. Hizo ndio...
22 Reactions
63 Replies
5K Views
Rais Samia kuunda kamati kushughulikia COVID 19. Amesema ataunda kamati ya kushughulikia kitaalamu. Amesema hatuwezi kujitenga kama kisiwa, lazima tuunde kamati ijulikane kama tunakubali au...
33 Reactions
381 Replies
32K Views
Watumishi wa umma kesho wanasubiri kwa hamu kusomwa kwa bajeti ya Wizara yao Chini ya Rais wa awamu ya sita Mhe. Samia Suluhu Hassan. Maswali ya kujiuguza je Kilio cha muda mrefu cha Watumishi wa...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Nawasalimu kwa JMT. Leo nilimsikia mbunge nadhan kutoka Mbeya anaulizia kimondo kilichochukuliwa na NASA. Naomba mwenye taarifa zaidi atujuze. Ni kile cha Mbozi? Kilichukuliwaje?
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Kumekwa na hii tabia ya viongozi wa nchi hii kuwaandalia wabunge futari jambo ambalo naamini linafanyika kwa gharama za serikali huku Serikali hii ikikemea matumizi mabaya ya fedha za Umma. Japo...
18 Reactions
75 Replies
6K Views
Niseme wazi kuwa sikuwahi kuwa fan wa Ben Saanane Kwa lolote lile lakini Kwa sababu alikuwa member mwenzetu hapa nilimuona kama mtu wa karibu au ninaefahamiana nae hivi sababu ya kushiriki pamoja...
51 Reactions
80 Replies
9K Views
Mheshimiwa Rais, Unapojiandaa-andaa kulihutubia bunge, tena kwa mara ya kwanza; usisahau kuongelea mambo haya: 1. Ajira kwa vijana. 2. Bei za bidhaa, hasa bidhaa zinazoliwa 3. Gharama za tozo za...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Namsikiliza hapa mbunge wa viti maalum Chadema Mh Nusrat Hanje akifanya mahojiano na moja ya idhaa za Kiswahili ya kimataifa. Ameulizwa kama wao waliowachache bungeni wanaonaje uongozi wa spika...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Hayo yamesemwa Bungeni leo na David Silinde, Naibu Waziri OR -TAMISEMI. Mfumo huu unaitwa "Human Capital Management Information System" ambapo mtumishi atakuwa na uwezo wa kujihamisha mwenyewe...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Wadau, Recalling back to Kongamano lililoandaliwa na viongozi wa dini zote (wakristu/wakristo na waislamu), Kongamano ambalo pamoja na mada na jumbe mbali mbali zilizowasilishwa, lakini pia...
3 Reactions
63 Replies
6K Views
Waziri mkuu mh Majaliwa ameshauri mabasi mabovu ya mwendokasi ni bora yauzwe kuliko kuyaacha yakioza pale yard Waziri mkuu amesema hayo baada ya kushuhudia mabasi takriban 50 yakiwa yamelala...
5 Reactions
114 Replies
10K Views
CHEDEMA mnafahamu vizuri kwamba Wabunge 19 wa Viti Maalum ambao mmewafutia uanachama hawataondolewa bungeni kwa malalamiko yenu. Kuendelea na harakati dhidi yao ni kuzidi kukipaka matope chama...
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Nimesikitiswa sana na Freeman na kama jina lake lilivyo kweli ni mtu huru anaweza jutumika kokote kule kufanya biashara yoyote hata kama hiyo biashara italighalimu taifa lake, ndugu zake au jamii...
10 Reactions
116 Replies
8K Views
Katika hali ya kawaida, Rais Samia atapaswa kuwa mnyenyekevu na mpole kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM unaotaraijiwa kufanyika April 30 mwaka huu(nimesoma mahala), mkutano utakaokuwa na jukumu...
4 Reactions
46 Replies
6K Views
Serikali yetu inaundwa na mihimili mitatu ambayo ni Dola (Executive), Bunge na Mahakama. Viongozi wakuu na watumishi wanaosimamia mihimili miwili ya Dola na Bunge huwa tunawasikia kila siku...
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Leo tarehe 21/04/2021 Kamati ya Maendeleo ya Kata ya Sandali chini ya Mh Kabalika Diwani iliketi katika ukumbi wa kata kwenye kikao cha robo ya tatu kupokea taarifa mbalimbali za utekelezaji wa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi director of communications wa CHADEMA ni nani? Majukumu yake mi yepi? Je profile yake ikoje? Staff wa department you ni akina nani? Profiles zao? Je hii idara budget yao kiasi gani? Looks...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni dhahiri hili bunge linaweza kuwa Bunge lisilo na tija kwa wananchi tangu nchi yetu imepata uhuru. Hata bunge la Chama kimoja enzi hizo wala halikuwa kama hili la sasa Kitendo cha kufanyia...
6 Reactions
52 Replies
4K Views
Back
Top Bottom