CHADEMA acheni kupoteza muda na nguvu zenu juu ya Wabunge 19 wa Viti Maalum

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
9,816
2,000
CHEDEMA mnafahamu vizuri kwamba Wabunge 19 wa Viti Maalum ambao mmewafutia uanachama hawataondolewa bungeni kwa malalamiko yenu. Kuendelea na harakati dhidi yao ni kuzidi kukipaka matope chama chenu na kupoteza nguvu zenu.

Kwa sababu Katibu mkuu wenu Mnyika alisema wabunge hao hawakuridhiwa na chama kuingia Bungeni bali ni hujuma ilifanyika basi naamini mnafahamu hao waliofanikisha hilo ni watu weny nguvu haswa na wao pekee ndo watakaoamua lini ubunge wa hao wabunge utakoma.

Ni vyema zaidi mkawapuuza kuliko kuendelea kuvurugana katika tope hilo ambapo mwisho wa siku wote mtatoka wachafu na mtakidhoofisha chama chenu
 
stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
4,135
2,000
WATUMIE MUDA HUU KUFANYA TATHMINI YA CHAMA CHAO KUONA WAPI PANAHITAJI MABADILIKO. WASIPOFANYA HIVYO WATABAKI NA FIKRA MGANDO AMBAZO ZITAWAKIMBIZA HATA WALE WAFUASI WAO MAHIRI!

CHADEMA HAS TO REINVENT ITSELF OTHERWISE IT WILL BE A MORIBUND PARTY!

1619031190307.png

1619031582311.png

1619031401928.png
 
Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
1,677
2,000
kikatiba, kisheria, kikanuni, kiutaratibu KAMWE hawatakiwi kuwepo Mjengoni. Hata wewe uliyeleta mada hii unajua fika.
 
Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
9,839
2,000
YOU BETTER BE OBJECTIVE; UNAWEZA FANANISHA NA NYOMI ILIYOJITOKEZA KUMUUGA NA HATIMAYE KUMZIKA MWENDAZAKE?
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
9,816
2,000
Waliowaweka bungeni hawataondoa na wanafurahi kuona mnatifuana tu.Wapuuzeni muendelee na mambo mengine
kikatiba, kisheria, kikanuni, kiutaratibu KAMWE hawatakiwi kuwepo Mjengoni. Hata wewe uliyeleta mada hii unajua fika.
 
stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
4,135
2,000
WATUMIE MUDA HUU KUFANYA TATHMINI YA CHAMA CHAO KUONA WAPI PANAHITAJI MABADILIKO. WASIPOFANYA HIVYO WATABAKI NA FIKRA MGANDO AMBAZO ZITAWAKIMBIZA HATA WALE WAFUASI WAO MAHIRI!

CHADEMA HAS TO REINVENT ITSELF OTHERWISE IT WILL BE A MORIBUND PARTY!

1619033584588.png

1619033645742.png
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom