Habari Wadau,
Nimekuja kuwauliza Chadema na vyama vingine vyote vya Upinzani, je ni kweli wanaitaka nchi!? Na je, ni kweli walikua wanataka kutukomboa, kama ni kweli basi kifo cha Hayati Magufuli...
Madam President,naomba nikusalimie kwa salam ambayo umeipendelea Sana wewe mwenyewe kuwa NAKUSALIM KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,NA KAZ IENDELEE.
First and foremost,naomba nichukue...
Amani iwe kwenu!
Kwa wale ndugu zangu mliosoma biashara kuna somo linaitwa Strategic Management, kwa kifupi somo hili linaangazia zaidi juu ya kuanzisha, kutekeleza na kupitia au kurejea mikakati...
Habari wanajukwaa,
Nimekuwa nikijiuliza Maswali mengi sana juu ya utumishi wa wabunge ambao ni darasa la saba. Muongozo wa ajira Serikalini ni kwamba wanaajiri kuanzia kidato cha nne na...
Sera ya kutumbua kisha ndio imetoka, ni dili ambazo huhitaji tena kufanya kazi serikalini.
Tumezoea kusikia enzi zile za rais Magufuli mara amemtumbua huyu mara amemtumbua yule ni wengi sana...
Kutakana na kile Kamati ya PAC ilichosema kule Bungeni ni kuwa DCI na TAKUKURU wamkamate mara moja yule Singasinga, sasa mwenye kujua ikiwa huyu anayetaka kuiangusha Nchi (Harbinder) alipo na kama...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA
NA.
MUDA
SHUGHULI
MHUSIKA
1.
3:00 – 5:00 Asubuhi
Kikao cha Bunge
Spika/Katibu wa Bunge
2.
5:00 – 8:00 Mchana
Shughuli za...
Huwa sipendi kuwachosha wanajukwaa naenda moja kwa moja kwenye maada.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa " kuna kero ya board ya mikopo ya elimu ya juu hususni sheria mpya ya mwaka 2016...
Watumishi watatu wa halmashauri ya Wilaya ya Makete mkoani Njombe wamehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela kila mmoja baada ya kukutwa na makosa ya kuomba na kupokea rushwa na ubadhirifu.
Hayo...
Katika issue ya maendeleo wazanzibar waliwahi tena ni " wajanja" kuliko Watanganyika.
Wakati sisi tunasimuliwa mambo na wanasiasa wa zama zile Wazanzibar walikuwa wanayashuhudia kwa macho...
Mbunge wa jimbo la Igalula, Venant Protas ameomba kutengwa fedha kaajili ya ujenzi wa daraja katika kata ya Loya ambalo watu zaidi ya ishirini wanapoteza maisha kwa kusombwa na maji hasa...
Hili ni Eneo la Shule ya Sekondari Mabati Mjini Njombe ambako Meza za Wafanyabiashara wadogo (#Machinga) zimetupwa na Mgambo wa Halmashauri ya Mji huku wafanyabiashara hao wakitakiwa kuondoka...
Najikumbusha tu ujasiri wa Rais wa awamu ya pili mh Ali Hassan Mwinyi ( Ruksa)
Profesa Kighoma Malima akauliza " mh Rais hata mimi simo?"
Rais akamjibu "Kwani wewe ni nani? "
Ramadhan Kareem!
Nyie hamfurahii kurudi kwa uhuru wa habari na kutoa maoni kinzani kwa watu wote?
Hamfurahii kuona redio na TV zikiwa zimechangamka na za moto kwa mijadala mbalimbali?
Hamfurahii kuona magazeti...
Leo nimeona kuna habari ipo humu Jamii Forum kuhusu Waziri wa Madini Mh Dotto Biteko.
Kwanza ni habari za uzushi ambazo hashiko mashiko yoyote au chanzo chochote cha kueleweka zaidi ya mihemko na...
Mhashamu Baba Askofu Dkt. Kalikawe Lwakalinda Bagonza! Elimu uliyoitoa juzi katika ukurasa wako wengine haikuwaingia! Waliendelea kuteseka katika nafsi zao eti kwa nini Viongozi wengine wa Dini...
Waziri Dr. Charles Tizeba makamu wa Mwakyembe ambaye amekuwa akiishi katika hoteli ya nyota 4 ya New Africa aondoka baada ya bili kufikia milioni 100.
Hiyo ni bili ya malazi na mlo wa asubuhi tuu...
Huo ndio ukweli mchungu.
Kwa mfano wale Wabunge 19 wasiofungamana na upande wowote ni lazima wamwamkie Dkt. Mahera popote wanapomwona tena kwa kupiga goti hata kama wanamzidi umri.
Hizo ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.