Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha...
116 Reactions
1K Replies
115K Views
Wizara ya TAMISEMI bajeti yao siielewi kwani inaonekana bora ya jafoo kuliko alieopo ni hatari nyumba zinajengwa kwa mamilioni ya pesa mfano kuna nyumba nimeona inajegwa kwa 830m nyingine uzio...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mapema Rais Magufuli alinukuliwa akisema maneno haya: “Bado kuna tatizo kubwa ofisi ya DPP (Mkurugenzi wa Mashtaka) na AG (Mwanasheria Mkuu), panakuwa na ushahidi na nyie Majaji mnaona lakini...
10 Reactions
252 Replies
55K Views
Kwa tathimini ya haraka Ubunge umekuwa jambo jepesi sana,niwaombe wabunge watakaopita hasa Ma prof na ma Dr wakakomae bungeni ili wabadilishe vifungu katika katiba kuhusu eneo la uwakilishi iwe...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Afisa Tarafa ya Magole, Mtendaji Kata wa Mbigiri na Diwani wa Kata ya Mbigiri wilayani kilosa watakuponza usipowachukulia hatua haraka. Vimungu mtu hawa wanatumia jina lako kama mkuu wa mkoa...
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Ni vyema tukaweka kumbumbu sawa. Unapoongelea legacy usioongelee kijuujuu au kimasihara. Katika nchi hii tunaweza kuongelea legacies mbili muhimu. Yaani legacy ya Mwalimu Nyerere iliyotuwekea...
14 Reactions
48 Replies
5K Views
Waziri wa Madini Doto Biteko kwasasa ni vyema utoke hadharani wewe kama wewe na kukanusha tuhuma zote zinazokuja katika mitandao mbalimbali ya kijamii kama inavyosema kuwa katika awamu ya sita...
12 Reactions
27 Replies
4K Views
The World Bank (WB) is currently working on approving five projects valued at $1.15 billion (about Sh2.6 trillion) for Tanzania, the State House said yesterday. A press statement from the State...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Na Thadei Ole Mushi. Siku zote Marais wanapoingia madarakani huingia wakiwa Safi kabisa ni sawa na mtu anayepewa Karatasi jeupe achore au aandike yale aliyonayo kichwani. Magufuli alipoingia...
6 Reactions
10 Replies
3K Views
Leo katika kongamano la viongozi wa dini ukumbi wa Chimwaga Dodoma, Mufti wa Tanzania, Abubakari Zuberi alipata nafasi ya kusema machache na mojawapo aliongelea wahujumu uchumi nyakati za uongozi...
22 Reactions
153 Replies
13K Views
Mh. Rais mama samia anaamini kwamba wawekezaji wakija kwa wingi nchini watachangia ukuaji wa uchumi kwa kasi ambapo kwa sasa kinachowakwamisha ni complications zisizo na ulazima, kodi zisizo...
11 Reactions
77 Replies
6K Views
Katika maendeleo yawe kwa mtu binafsi, yawe kata, jimbo, wilaya, mkoa na Taifa miaka mitano ni mingi sana Haiwezekani mbunge huna mawazo chanya miaka mitano unapiga bla bla unasubiri miaka mitano...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni wazi kabisa wakati wa utawala wa Hayati Nyerere watu walikuwa na maisha duni sana. Sehemu nyingi hazikuwa na barabara nzuri kama hii leo, sehemu nyingi hazikuwa na maji kama hii leo, hata hali...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Chonde Chonde Serikali ya Awamu ya 6 wekeni taa katika uwanja wa ndege wa Bukoba, msisubili vifo na majanga yatokee ndiyo taa hizo ziwekwe. Tatizo hili limekuwa la muda mrefu na sijui tatizo liko...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ninaingalia Tanzania na na idadi ya Mikoa, Wilaya, Tarafa, Kata, Vijiji na Vitongoji vyake na idadi ya miradi ya maendeleo inayoguza moja kwa moja mikoa, wilaya, tarafa, kata na vijiji kama vile...
8 Reactions
40 Replies
3K Views
MBUNGE MAVUNDE AGAWA TANI 29 ZA SARUJI KWA AJILI YA UJENZI WA MADARASA NA ZAHANATI DODOMA JIJI Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Mavunde leo amekabidhi saruji tani 29 kwa Afisa Elimu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
- kiufupi niseme tu kama kuna chama chenye mbinu za siasa hii nchi basi ni CCM peke yake. nikianza kwenye miaka ya 2000 wakati nkiwa mkereketwa wa upinzani kwa sababu skuwahi kumpenda kikwete na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanabodi salaam. sitokei kanda ya ziwa na wala sipapigii debe Chato nyumbani kwa Mzee JPM, ila naleta mada hii kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Pale Chato pamejengwa Hospitali kubwa ya Rufaa ya...
6 Reactions
52 Replies
5K Views
Kwa tunaofuatilia matangazo ya mazishi ya kitaifa ya Hayati JPM kutoka uwanja wa Jamhuri dodoma, watakubaliana namimi kuwa aliyeandaliwa kutoa tafsiri hana huo uwezo. Anaachwa mara kadhaa nyuma...
9 Reactions
77 Replies
10K Views
Back
Top Bottom