Mkurugenzi wa Mawasiliano CHADEMA ni nani?

HNIC

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
1,898
Reaction score
2,202
Hivi director of communications wa CHADEMA ni nani? Majukumu yake mi yepi? Je profile yake ikoje?

Staff wa department you ni akina nani? Profiles zao?

Je hii idara budget yao kiasi gani?

Looks like Mange Kimambi is doing alot more than the ever elusive spokesperson/ director of communications wa hiki chama
 
Dah!! Hivi nyie CCM mna matatizo gani? Sasa unataka ujue wanalipwa kiasi gani ili iweje?

Ina maana mmeishiwa hoja kiasi hiki?
 
Hivi director of communications wa CHADEMA ni nani? Majukumu yake mi yepi? Je profile yake ikoje?

Staff wa department you ni akina nani? Profiles zao?

Je hii idara budget yao kiasi gani?

Looks like Mange Kimambi is doing alot more than the ever elusive spokesperson/ director of communications wa hiki chama

Inategemea unaongelea CHADEMA ipi? Kwa nje inaonekana kama kuna CHADEMA moja lakini ndani ziko nyingi, na kila moja ina Director wake wa mawasiliano na wanareport kwa watu tofauti.
 
Hivi director of communications wa CHADEMA ni nani? Majukumu yake mi yepi? Je profile yake ikoje?

Staff wa department you ni akina nani? Profiles zao?

Je hii idara budget yao kiasi gani?

Looks like Mange Kimambi is doing alot more than the ever elusive spokesperson/ director of communications wa hiki chama
Ni mam yako MUULIZE
Staff ni ndug zako muulize mam yako WAULIZE
Budget ni mshahara ma mamna babyako WAULIZE
Kwakuwa kibaraka ww ndio kazi yako maana usipofanya hivi hupati hata hela ya bando
Na mm nakuuliza inakuhusu nini ww shog lumumba?

Hayo ndio majibu naimali siku itakuwa njema kwako leo.
 
Hivi director of communications wa CHADEMA ni nani? Majukumu yake mi yepi? Je profile yake ikoje?

Staff wa department you ni akina nani? Profiles zao?

Je hii idara budget yao kiasi gani?

Looks like Mange Kimambi is doing alot more than the ever elusive spokesperson/ director of communications wa hiki chama
Ngoja tufanye kama mtukufu anvyopenda ''Hongera kwa kufikiria hayo yote ni great thinker''
 
Hivi director of communications wa CHADEMA ni nani? Majukumu yake mi yepi? Je profile yake ikoje?

Staff wa department you ni akina nani? Profiles zao?

Je hii idara budget yao kiasi gani?

Looks like Mange Kimambi is doing alot more than the ever elusive spokesperson/ director of communications wa hiki chama
ni lowasa
 
your head needs to be examined .You are sick. Unataka kupata habari hizi ili iweje.Kama hauna kazi ya kufanya kajinyonge people may feel sorry for your family
 
Back
Top Bottom