Unafuu wa watumishi wa Umma kujulikana pindi Bajeti ya Wizara hiyo ukisoma Bungeni

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
Watumishi wa umma kesho wanasubiri kwa hamu kusomwa kwa bajeti ya Wizara yao Chini ya Rais wa awamu ya sita Mhe. Samia Suluhu Hassan. Maswali ya kujiuguza je Kilio cha muda mrefu cha Watumishi wa Umma juu ya kupandishwa kwa madaraja, Kulipwa malimbikizio ya madai yao ya nyuma yatapata ufumbuzi wa kudumu hapo kesho?

Basi kwa matumaini makubwa Chini Mheshimiwa Waziri Mchengerwa basi kesho tusikose kufuatilia kwa Karibu hotuba ya Wizara ya Utumishi wa umma inayokwenda kujibu matamanio na matarajio ya Watumishi wa Umma ya muda mrefu.

#Mchapakazi Rais Samia

IMG-20210421-WA0138.jpg
 
Kwa sisivwachumi tuna amini ukitangaza nyongeza unakaribisha inflation.sasa sijui lugha gani itatumika?
 
Ndugu zetu waislam hawanaga roho ya kwann Kama sisi Wakristo,na Imani Sana na Mama Samia Suluhu Hassan,watumishi wanarudi na kuwa Malaika siyo muda mrefu.
The storm is over.
Kama wewe una roho ya kwanini ni wewe na sio Wakristo

Avoid stereotyping
 
Mishahara ikiongezwa ata kimya kimya itajulikana tu ivo huwezi kukwepa hiyo inflation, ila ni bora tulalamike inflation wakati Kuna kilichoongezeka .
 
Ndugu zetu waislam hawanaga roho ya kwann Kama sisi Wakristo,na Imani Sana na Mama Samia Suluhu Hassan,watumishi wanarudi na kuwa Malaika siyo muda mrefu.
The storm is over.
haijawahi tokea tangu dunia iumbwe.kuna mashetani ndani ya wizara,kurugenzi,idara mpaka ngazi za chini.maafisa utumishi wa nchi ni kikwazo kikubwa katika maendeleo ya watumishi.uozo mwingi umejaa huko na wakuu wa idara hawana la kusema sababu nao ni sehemu ya ushetani huo.rushwa na kulindana kumetopea ndani ya taasisi nyingi nchini.cjui kama watumishi watakuja furahia utumishi wao cjui wasubiri sanaaa.
 
Back
Top Bottom