Ni bora wazungu warudi tu kama zamani kutawala waziwazi kuliko hivi sasa kuwatumia ndugu zetu kina Mbowe

mtoto wa mchungaji

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
279
480
Nimesikitiswa sana na Freeman na kama jina lake lilivyo kweli ni mtu huru anaweza jutumika kokote kule kufanya biashara yoyote hata kama hiyo biashara italighalimu taifa lake, ndugu zake au jamii yake hicho yeye ajali. Sikuamini masikio yangu nilipomsikia Mbowe akiifanyia advatasingi ya chanjo ya korona ambayo nchini Marekani na kwingineko imeua watu zaidi ya 4000. (Chanzo BBC SWAHILI)

Mataifa yaliyotutawala yana ajenda mbaya ya siri kuhusiana na Covid na maisha yetu Waafrika, ndugu zangu nawaambia, huu ni mradi wa yule tajiri anaitwa Bill Gate na aliwai sikika yeye na familia yake wakisema, kuwa mpaka kufikia katikati ya mwezi wa 5 mwaka 2020 Afrika itakuwa imezagaa maiti kila kona ya mitaa ya bara la Afrika. Hapa awalikuwa hawana mchakato wa chanjo.

Baadae mwishoni mwa mwaka huo 2020 walianza kulalamika hawa wazungu tena wote wakisema mbona Afrika wao hawafi kwa wingi kama sisi, inakuwaje (haiwezekani) Ikumbukwe alisimama mzungu mmoja na kusema kutoka Ufaransa kuwa kunachanjo ameigundua anaomba ipelekwe Afrika kufanyiwa utafiti, nchi nyingi za Afrika zilistushwa na jambo hilo na kukataa kufanyiwa majaribio.

Mimi kutaka story nasema hivi kumbukeni kila walichokipanga na kukisema akina Freemani na genge lake vyote vimetokea hakika Mungu anawasikiliza sana hawa watu, kwani walimsema Jakaya Kikwete kuwa ni dhaifu hivyo walitaka Rais mkakamavu akaja leo yupo tayari kaburini anampiga utazani yupo hai (kama mwanaume kweli)

Kwa jinsi hili genge lilivyoamua kuingia katika hii biashara na wazungu kama walivyoanza huku nyuma kusema nchi ifungwa sasa naona tunafika, saa inakuja kila mtu hasa wafusi wa Mbowe watamkumbuka Magufuli na kuanza kumlilia na kusahau kuwa wakati alipofariki mlisherekea.

Kabla ya kuja kwa wazungu Afrika na kuleta machanjo kibao waafrika walikuwa wanaishi wastani wa miaka 150, yaani mzee wa miaka 130 alikuwa anaudhuria kilabuni na kwingineko, naakiona vipi aliongeza mke wa 9 yaani alikuwa bado anaamsha dude kama kawa, leo mtu akifikisha miaka 65 tia maji tia maji na wengi hatufiki. Tuanze kupunguza imani kwa hawa wazungu.

Tusiwe wanafki kama Magu alikosea sawa sema na kama Mbowe anakosea sema pia kwani anatupeleka pabaya kuliko kubaya namwona kama ameungana na maadui wa kihistoria.
 
Wewe Sukuma Gang, umeandika upuuzi wako hapo huku avatar yako ukiipa jina la mtoto wa Mchungaji!

Hebu nieleze hao Task Force walikuwa na uhalali gani kumfungia Freeman Mbowe akaunti zake zote?

Hivi unajua katika utawala bora unaofuata sheria ni Mahakama pekee yenye nguvu hiyo waliyojitwalia hao wanaojiita Task Force?
 
Nimesoma mwanzo na mwisho nimegundua ni futile attempts za taahira mmoja kutaka kufuta ukweli na uzito wa taarifa za mkutano wa Mbowe jana.

Bado Polepole anawalipa hawa wajinga kumbe nilifikiri baada ya mwenzake kwenda zake mradi huu wa hawa wajinga mitandaoni utajiishia zake.
 
Wewe Sukuma Gang, uneandika upuuzi wako hapo huku avatar yako ukiipa jina la mtoto wa Mchungaji!

Hebu nieleze hao Task Force walikuwa na uhalali gani kumfungia Freeman Mbowe akaunti zake zote?

Hivi unajua katika utawala bora unaofuata sheria ni Mahakama pekee yenye nguvu hiyo waliyojitwalia hao wanaojiita Task Force?
Tapeli huyo
 
Ni kweli walimuita JK dhaifu tena ni yule mtoto ambaye JK anaweza kumzaa, amekuja Jiwe kaonyesha umwamba wanalialia, binadamu watu wa ajabu kabisa, huyu Mama Samia akicheka nao hawa ataingia nao chumban aendelee kuwapiga spana tu.
 
Nimesoma mwanzo na mwisho nimegundua ni futile attempts za taahira mmoja kutaka kufuta ukweli na uzito wa taarifa za mkutano wa Mbowe jana.

Bado Polepole anawalipa hawa wajinga kumbe nilifikiri baada ya mwenzake kwenda zake mradi huu wa hawa wajinga mitandaoni utajiishia zake.
Yaani mtu kutofautiana na wewe amekuwa tahiraaa? Dr Abbas aendelee na kazi yake, nyie mnataka uhuru wa kuongea lakini wengine wakiongea wamekuwa matahira
 
Majambazi yanasifiana kupora wafanyabiashara fedha zao na kutangaza kuvunja rekodi tiiraei ingekua Nchi wanazojitambua kingevunjwa kije na jina lingine na watu wengine sio hao tena tuliopoteza imani nao...Mungu ni mwema wakati wote ametuepusha na mengi..
 
Wewe mhuni hata ulichoandika hakina mpangilio. Ni bora ungekaa kimya kuficha upumbavu wako!

Aliyofanya magu ktk miaka 5 kwa nchi hii ni unyama kuliko hata wa yule mwovu.

Tatizo mnaleta usukuma wenu wa ushamba.
 
Nimesikitiswa sana na Freeman na kama jina lake lilivyo kweli ni mtu huru anaweza jutumika kokote kule kufanya biashara yoyote hata kama hiyo biashara italighalimu taifa lake, ndugu zake au jamii yake hicho yeye ajali. Sikuamini masikio yangu nilipomsikia Mbowe akiifanyia advatasingi ya chanjo ya korona ambayo nchini Marekani na kwingineko imeua watu zaidi ya 4000. (Chanzo BBC SWAHILI)

Mataifa yaliyotutawala yana ajenda mbaya ya siri kuhusiana na Covid na maisha yetu Waafrika, ndugu zangu nawaambia, huu ni mradi wa yule tajiri anaitwa Bill Gate na aliwai sikika yeye na familia yake wakisema ****, kuwa mpaka kufikia katikati ya mwezi wa 5 mwaka 2020 Afrika itakuwa imezagaa maiti kila kona ya mitaa ya bara la Afrika. Hapa awalikuwa hawana mchakato wa chanjo.

Baadae mwishoni mwa mwaka huo 2020 walianza kulalamika hawa wazungu tena wote wakisema mbona Afrika wao hawafi kwa wingi kama sisi, inakuwaje (haiwezekani) Ikumbukwe alisimama mzungu mmoja na kusema kutoka Ufaransa kuwa kunachanjo ameigundua anaomba ipelekwe Afrika kufanyiwa utafiti, nchi nyingi za Afrika zilistushwa na jambo hilo na kukataa kufanyiwa majaribio.

Mimi kutaka story nasema hivi kumbukeni kila walichokipanga na kukisema akina Freemani na genge lake vyote vimetokea hakika Mungu anawasikiliza sana hawa watu, kwani walimsema Jakaya Kikwete kuwa ni dhaifu hivyo walitaka Rais mkakamavu akaja leo yupo tayari kaburini anampiga utazani yupo hai (kama mwanaume kweli)

Kwa jinsi hili genge lilivyoamua kuingia katika hii biashara na wazungu kama walivyoanza huku nyuma kusema nchi ifungwa sasa naona tunafika, saa inakuja kila mtu hasa wafusi wa Mbowe watamkumbuka Magufuli na kuanza kumlilia na kusahau kuwa wakati alipofariki mlisherekea.

Kabla ya kuja kwa wazungu Afrika na kuleta machanjo kibao waafrika walikuwa wanaishi wastani wa miaka 150, yaani mzee wa miaka 130 alikuwa anaudhuria kilabuni na kwingineko, naakiona vipi aliongeza mke wa 9 yaani alikuwa bado anaamsha dude kama kawa, leo mtu akifikisha miaka 65 tia maji tia maji na wengi hatufiki. Tuanze kupunguza imani kwa hawa wazungu.

Tusiwe wanafki kama Magu alikosea sawa sema na kama Mbowe anakosea sema pia kwani anatupeleka pabaya kuliko kubaya namwona kama ameungana na maadui wa kihistoria.
Naona CAG amewachanganya kweli kweli.
Screenshot_20210408-213742.jpg
 
Akili zako naona zimeganda hata kabla hujapata chanjo hiyo ya zeneca
 
Wewe wacha kuchanja na kifo cha korona kitakufagilia mbali
 
Back
Top Bottom