Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,415
Hayo yamesemwa Bungeni leo na David Silinde, Naibu Waziri OR -TAMISEMI. Mfumo huu unaitwa "Human Capital Management Information System" ambapo mtumishi atakuwa na uwezo wa kujihamisha mwenyewe 'online' bila kupitia kwa wakurugenzi.
Lengo ni kuepuka urasimu na rushwa. Akishathibitishwa kuhama, atahamishwa mara moja pamoja na mshahara wake na hataruhusiwa kuhama tena mpaka baada ya miaka mitatu.
Amesema pia ajira mpya zitazingatia waliojitolea kwa muda mrefu na waliomaliza vyuo muda mrefu na hawajaajiriwa mfano, kuanzia 2012, 2013, 2014 na kuendelea