Hotuba ya Rais Bungeni: Usisahau kuongelea mambo haya...

Samiaagain2025

JF-Expert Member
Dec 2, 2020
2,926
3,054
Mheshimiwa Rais,

Unapojiandaa-andaa kulihutubia bunge, tena kwa mara ya kwanza; usisahau kuongelea mambo haya:

1. Ajira kwa vijana.
2. Bei za bidhaa, hasa bidhaa zinazoliwa
3. Gharama za tozo za simu
4. Katiba mpya
5. Maridhiano ya kitaifa
6. Ripoti ya CAG
7. Ubovu wa bunge la JMT.

Kila la kheri rais wetu unapolihutubia Bunge kwa mara ya kwanza.
 
Wabunge waliojiteua 19 a.k.a COVID - 19 is a shame to our beloved Nation Kutoheshimu Katiba tuliyojiwekea. Please hili swala lipatiwe suluhisho kwa Manufaa na heshima ya Bunge la Watanzania wala sio kwa Maslahi ya Ndugai na Mwendazake.
 
Asusahau pia kuwaomba radhi Watumishi wa umma, wafanyabiashara, wakulima wa korosho, na pia vyama vya upinzani kwa maumivu waliyo waletea ndani ya miaka mitano iliyopita, na alipokuwa Makamu wa yule Dikteta Uchwara!
 
Back
Top Bottom