Taarifa inaeleza kwamba Mkutano huo utafanyika kwenye ofisi za Kanda ya Kati Jijini Dodoma kesho Tarehe 21/4/2021, kuanzia saa 5 kamili asubuhi .
Wote Mnakaribishwa .
Muhimu : Zingatia mwongozo...
Reporters Without Borders (RSF) imeitaja Tanzania kushika nafasi ya 124 kati ya Nchi 180 Duniani katika kuimarisha Uhuru wa Vyombo vya Habari ili kutetea Haki ya kupata taarifa kwa Jamii...
Taarifa ya CAG jana imetufumbua macho wengi. Ikumbukwe kwa miaka takribani miwili ya uongozi wa Hayati John Pombe Magufuli tulikuwa tunasomewa taarifa za faida na Gawio la shirika la ndege ATCL...
RAIS SAMIA, ALMASI LA WARIDI MCHANGANI
Na: Suphian Juma
VIPAUMBELE 10 VYA RAIS SAMIA
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Basi siku hiyo asubuhi nikawasili kazini katika...
Hakika inashangaza sana kuona baadhi ya Viongozi wetu Walioapa Kuilinda Katiba lakini ndio Wanaikanyaga kwa Makusudi tena Hadharani.Kwa Mujibu wa Katiba tuna aina mbili za Wabunge Wakuchaguliwa na...
Bunge letu ni kubwa sana kwa uchumi tulio nao na ukubwa wa eneo tulilo nalo.
Kwa sasa tuna wabunge takribani 400. Na tuna wilaya 169.
Kwanini tusiwe na wabunge wanaoendana na wilaya zetu kwa...
Amani ya M/mungu iwe nanyi waungwana wa jamii forum.
Kwanza naomba kudeclare interest mimi naamini maendeleo ya mahala popote yanaletwa iwapo kutakuwa na mawzo mbadala/upinzani,hivyo hata nchi...
Wakati wa Nyerere tulikuwa na mawaziri Wazungu na Wahindi. Naona ni wakati muafaka kuwaingiza wale ambao wamejitambulisha na kushikamana na jamii ya Watanzania kama sehemu ya Watanzania. Rais...
Mbunge wa Kilwa amesema mkurugenzi wa halmashauri ya Kilwa anajifanya mungumtu na anawadharau viongozi wote wa wilaya hadi mkoa.
DED ametukana madiwani mbunge na mkuu wa mkoa tena anatamba kuwa...
Ndugu Tundu Lissu, ingawa yuko CHADEMA na mimi CCM, ni zaidi ya rafiki kwangu. Nimemzidi umri na uzoefu katika siasa lakini amenizidi maarifa ya kisasa. Lissu nipo naye kwenye shida na raha...
Serikali ya Tanzania imeshinda Kesi hii iliyofunguliwa na Familia ya Valambhia nchini Marekani.
Mahakama imeona kuwa Wameshindwa kuthbitisha kuwa shughuli zinazohusisha Mkataba wa Kampuni ya...
Kwa uchunguzi wangu nimestukia maamuzi haya kwa sababu kama ni ubadhirifu ulianza zamani wakati Aweso akiwa Naibu waziri, kwa nini hakuona tangu zamani?
Umbea wangu hatimaye umeangukia pazuri...
Mjane na Watoto wa Vdevram Purshotam Valambhia waliishtaki Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani.
Walitaka kulipwa dola 64,500,750 kutokana na Mkataba wa ununuzi wa vifaa vya kijeshi...
Ni kweli kabisa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayo mamlaka ya kuvunja bunge na kisha kuitisha uchaguzi. Sababu za kuvunja Bunge na kuitisha uchaguzi zipo ibara ya 90 ya Katiba ya...
JAJI Mkuu, Mohammed Chande Othman, amesema Mahakama Maalumu ya Uhujumu Uchumi na Ufisadi itaamua kesi kwa muda usiozidi miezi tisa na kwamba itaanza na majaji 14.
Aidha, wameandaa kozi maalumu...
1. Hakuna wazo jipya lolote ambalo wamewahi kutoa lenye tija na manufaa kwa wananchi.
2. Kila kinacholetwa na serikali hupita bila kikwazo chochote hata kama hakina manufaa.
3. Kwenye suala la...
Tanzania itajengwa na wazalendo,
Natumaini ndugu zangu mnaendelea vema na majukumu yenu.
Kwa Sasa Vyama vya upinzani Tz inabidi watumie huu muda kujikita ktk mizizi kabisa kwa wananchi.
CCM...
Hawa ndio wapinzani bwana! Wakati wapinzani wakikesha mitandaoni kumchafua na kumkejeli Magufuli, kiongozi wa ngazi za juu wa CHADEMA ameibuka na kusema anayoyafanya Magufuli ni sera za CHADEMA...
Wanabodi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John Pombe Magufuli alifanya ziara ya siku mbili visiwani Zanzibar kati ya Septemba 3 na 4, 2016. Septemba 3 alikuwa kwenye uwanja wa Gombani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.