Wasalam!
Mkoa wa Arusha naweza sema kumekuwa na malalamiko mengi sana juu ya ukiukwaji wa sheria za kazi hasa kwa makampuni binafsi.
Naomba nisiyataje hapa ila nishauri tuu kuwa ipo haja ya...
Ndugu zangu,
Leo nimeona umuhimu wa kutoa elimu ya nini maana ya dhana "kutanua wigo wa Kodi" (broadening tax base).Nini maana yake?inajumuisha mambo gani?haijumuishi mambo gani?Faida zake kwa...
Tundu Lissu Asema Atarejea Tanzania Iwapo Ataruhusiwa Kuanika ‘Maovu’ Ya Utawala Wa Magufuli
NA WANGU KANURI
MwanasiasaA mtajika wa Tanzania na mpinzani wa chama cha CHADEMA, Bw Tundu Antiphas...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu Ado leo tarehe 21 Mei 2021 ameendelea na ziara kwenye Jimbo la Buhigwe kwa kutembelea Kata za Kibwigwa, Bukuba, Janda na Kinazi.
Katibu Mkuu...
Inakuwaje Rais wa Nchi na Msemaji Mkuu wa Serikali, na Viongozi mbalimbali kutumia kurasa zao za TWITTER kufikisha ujumbe kwa wananchi wakati wanajua fika kuwa wameifunga na hatuna ACCESS na...
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni
Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa...
Mwezi mmoja baada ya Rais Dkt. John Magufuli kututoka nini kimebadilika katika nchi?
Nini unamiss kutokana na kukosekana kwake?
Unaionaje nchi bila yeye?
Katika hotuba yake kwenye Bunge leo Alhamisi 22/04/2021, Rais Mama Samia, kuhusu uwekezaji, amesema Tutarudisha imani ya Wawekezaji na kutoa vivutio kwa Wawekezaji, tunalalamikiwa sana, kumekuwa...
Jana ulizuka mjadala kuhusu katazo la Spika kwa wabunge kutokuvaa tai nyekundu wakati Rais akiwa bungeni leo. Watetezi wa katazo hilo walisema ni suala la Itifaki.
Jambo jingine ambalo niliwahi...
Nimsikiliza Rais Mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan,katika hotuba yake ameongea mambo mengi ya msingi na yenye kutia matumaini.
Moja ya maeneo aliyonifurahisha katika hotuba yake ni tone...
Nimeona mara kwa mara wateuliwa wa Rais wakimtaja "Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi.Mkuu"
Hii sio sawa hawa wanasiasa wanadhani sisi tunamuona Rais Mama Samia Suluhu Hassan kama ni dhaifu saana so...
Mbunge wa Temeke Mhe.Dorothy Kilave siku ya Jumamosi April 24 saa nne Asubui kwenye viwanja vya ofisi ya Mbunge Temeke, atazindua kampeni ya "BORESHA VYA KALE". Kampeni hii ni maalumu kwa ajili ya...
Nimekatisha safari yangu ya kwenda nyumbani Songea, Ruvuma. Nimegeuzia Masasi, Mtwara. Nimeamua kuingia mstari wa mbele bila kelele kuhakikisha kuwa Mama Samia anaukwaa Uenyekiti wa CCM bila...
Naona kila mtu anashadidia juu ya kuwepo kwa kile kinachodaiwa uhuru wa kujieleza ambao wengi wanao shadiia ni wale wanaodai kuwa sasa uhuru wa kujieleza na kuropoka kama mtu anahara sasa umerudi...
Wakati Mbowe akilaumu kuwa kwanini viongozi wote wa ngazi ya juu wa kitaifa waliingia kwenye ndege wakati wa kuipokea pale airport kuwa ni jambo la hatari na kupoteza mrithi wa kiti cha mkuu wa...
Wakuu habari zenu, twende kwenye mada direct. Mimi nmesoma sheria karibu zote za kodi tukianza na Tax Administration Act, Value Added Tax Act na Income Act. Twende kwenye point.
Ukisoma sheria ya...
Wiki hii yote kulikuwa na mjadala.ambao ulikuwa ukiendeshwa na walewale vijana kutoka kile chama wakisema mama Samia anapaswa kuvunja Bunge.
Nilipiti mitandao tofauti na kuona hiyo Hali ipo hata...
Japo inadaiwa kuwa kampuni husika imetupiga hela nyingi (bilion 5 mpaka 7 kwa mwezi) lakini ukweli ni kuwa walikuwa wanatupiga kupitia mikataba tuliyoingia nayo wenyewe huku tukiwa na akili zetu...
Uteuzi wa Dkt. Philip Mpango unaweza kuwa na tafsiri nyingi, mojawapo ikiwa ni kutaka kumpenyeza Charles Kimei kuwa Waziri wa Fedha.
Mpango ni mchapakazi, mnyenyekevu na Mzalendo hivyo anafaa kwa...
Mwanasheria nguli Dr Godwin Gunele amesema Rais siyo mtu bali ni taasisi ambayo kikatiba inakaa kwa miaka 5.
Kwa maana hiyo awamu tuliyopo ni ya 5 siyo ya 6 kwa sababu Rais Samia siyo " President...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.