Ukifatilia hotuba Rais bungeni aligusia mambo mengi na wabunge walipiga makofi kama yote, lakini aliposema Uhuru na Demokrasia ni msingi wa amani katika nchi makofi yalipungua sana.
Labda CCM...
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nimekuja kuandika hili baada ya Maoni ya mbunge Mmoja kutoa mapendekezo ya kodi ya kizalendo kwenye Simcard.
Kuna pendekezo la Simcard...
Inasikitisha kuna watu wanaamini ccm itaondoka kwa maneno ya humu JF. Seriousness haipo kabisa.unaona comments za watu JF unagundua watu hawajaamua kujipanga kuiondoa CCM madarakani.
Kwa wenye...
Serikali naamini iliweka katazo hilo bila utafiti,limepitwa na Wakati,linapoteza Mapato kwa nchi na kupoteza mda kwa wateja wa kupata mahitaji kwa wakati na kuendelea na Kazi nyingine.
Msiogope...
Katika mkutano huo, Catherine Ruge amesema:
Tumeona kwenye vyombo vingi vya habari kuwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani anaenda kulihutubia Bunge tarehe 22 -04-2021 kwa mara ya kwanza tangu...
Leo hii Wapinzani wanafikia hatua hata kukosoa kufutwa kazini wenye Vyeti fake. Wanaona ilikuwa ni makosa wenye vyeti fake kufutwa kazi.
Kuna mambo ambayo huwa kiuhalisia yanatia aibu sana...
Watanzania Hakika Nashindwa kuamini kwanini Viongozi Wetu Walioapa Kuilinda na Kuisimamia KATIBA ya NCHI ndio hao WANAIVUNJA kwa MAKUSUDI.
Chadema imewafukuza Wanachama wake 19 kwa kwenda kinyume...
Salaam nyingi kutoka +255 (Tanzania)
Kwanza kabisa nikupe pole katika misukosuko uliyopitia katika kipindi chote cha utekelezaji wa majukumu yako ya kikatiba, nisemapo hilo ninamaana Kila...
Muongo siku zake 40 ila Lissu sijui tumpe siku ngapi. Hakika antipas Lissu ametokea kua mwanasiasa anayesukumwa na chuki na uongo uliyopitiliza dhidi ya kiongozi mzuri aliyewahi kutokea bara la...
Awamu ya tano katika hotuba kama ya jana ya Rais Bungeni maneno niliyotaja hapo juu yangekuwa yametumika mara nyingi kama sehemu muhimu ya ujumbe.
Lakini sasa yameshazikwa rasmi pamoja na...
Kama wabunge wasio na sifa wataendelea kulipwa fedha za umma na viongozi wakuu wa nchi wasikemee wala kudhibiti huu wizi wa wazi ni vigumu kupambana na wizi wa mali za umma. Kama mwanasiasa...
Tumekuwa tukiambiwa JKT ni mahali pa kujifunza uzalendo na stadi za kazi zitakazowawezesha vijana wanaopata fursa ya kupitia hapo waweze kwenda kufanya kilimo, useremala, ujenzi, n.k kwa ufanisi...
Kuna hoja nimekuta watu wanaongea, ni kuhusu kile ambacho mama amesema waziri wa fedha akakae na mwenzake wajadili na kusuluhisha katika kero za muungano. Ninaupenda sana Muungano,ninauunga mkono...
Sio vema mkazungumze hoja zenu binafsi kama vile nilipigwa, nilivunjwa mkono, biashara yangu ilifungwa, na mambo kama hayo kwa Rais ambae ni mpya na ambae yuko serious kutaka kujaribu kunza...
Wasalaam wana wa Adam,
Kwanza kabisa napongeza sana hotuba nzuri ya leo ya Mhe Rais Mama yetu Samia Suluhu Hassan, ni maneno mazito sana ambayo yamelisuta bunge letu la jamuhuri ya Muungano wa...
Taifa ambalo lina watu makini waliopewa dhamana ya kuwakilisha wenzao kwenye chombo muhimu kama bunge wanachangia michango ya ajabu kana kwamba hawana akili za kuzaliwa.
Mbunge bila ya aibu...
DC Emanuel Kipole ametishia kumsweka ndani Katibu wa mbunge baada ya Katibu huyo kuzungumzia migogoro ya ardhi kwenye mkutano wa hadhara.
Baada ya tishio hilo la DC ndipo Katibu wa mbunge...
Leo nimekesha Kufanya Utafiti (Kuchunguza) ni nchi gani nyingine duniani ambayo Rais akiwa 'analihutubia' Bunge Waheshimiwa Wabunge katikati ya Hotuba yake 'humkatisha' kwa Kuanza kuruka...
Lissu ametoa maoni yake kuhusu hotuba ya Mama Samia bungeni na kusema ni ile ile Kama aliyotoa Magufuli bungeni mwaka 2020
Lissu anazidi kuchemka, sijui nj Nani anamlisha matango pori. Mama Samia...
Kufatia mgomo wa daladala manispaa ya Iringa mkuu wa wilaya ya Iringa Mr.Kasesela amepiga marufuku bajaj kufanya kazi.
Amepiga marufuku bajaji kutoka Ipogolo n Kitwiru kwenda Iringa mjini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.