Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

IKULU Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC Dkt. Stergomena Lawrence Tax...
9 Reactions
37 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa Nccr mageuzi amempongeza Rais Samia kwa kubuni salamu mpya ya taifa ya " Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania " Mbatia amesema salamu za kidini za asalam aleykum...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Mbunge wa Mlimba (CCM), Godwin Kunambi amemuonya Mbunge (asiye na chama), Halima Mdee kuacha kuwaita wabunge wapya njuka kwa "lugha za kejeli, lugha za kuudhi ndani ya bunge na sisi wengine ni...
14 Reactions
76 Replies
9K Views
ASIA HAMLAGA ANENA NA WAHITIMU DODOMA Mbunge wa vitimaalum kundi la vijana Mh Asia Hamlaga ameshiriki mahafali ya kidato cha 6 Dodoma Sekondari Leo Tarehe 23/04/2021. Mh. Asia alitumia wasaa huo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kichwa cha hanari chajieleza. Maana kwa chama makini kabisa baada ya kuona katiba ikisiginwa basi ilikuwa ni muda muafaka wa kwenda mahakamani na kupinga kuapishwa kwao na wao kuwa wabunge. Mbowe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama ulifuatilia taarifa ya Mh Ridhiwani wakati mbunge wa Ndugai anatoa hoja yake utagundua jambo. Alianza kwa kusema, mh Naibu Spika, napenda kumpa taarifa ndugu Jesca Kishoa... Hiyo inamaanisha...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Matamanio ya wengi, hasa upande wa Upinzani Kupitia Chama cha Chadema kupitia mgogoro mkubwa wa wabunge wake waliofukuzwa uanachama na kukosa sifa ya kuwa wanachama wa Chama hicho na moja Kwa moja...
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Alicholalamikia Jesca Kishoa leo ni baadhi ya vyama vya siasa kutofanya mikutano ya ndani kwa wakati jambo ambalo linaminya demokrasia akitolea mfano wa Chadema. Naibu Spika amemjulisha kuwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mheshimiwa Freeman Mbowe, mwenyekiti wa CHADEMA taifa. Popote ulipo nakusihi ufahamu kuwa kimya hiki kwenye suala la wabunge 19 ni bomu linalosubiria kulipuka ndani ya chama. Basi fanya hima...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natoa tu ushauri kwa kiti cha Spika kwamba siyo vema wala haki kuruhusu wabunge kuchochea chuki na fitna kwa jamii tena kwa watu ambao hawako bungeni. Nilivyomsikia Mbowe ni kwamba biashara zake...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Kwanza nipongeze kwa dhati kabisa hotuba yenye dira kwa taifa iliyotolewa na Rais wetu. Katika hotuba yake Rais Samia alisisitiza wabunge kujadili maswala badala ya...
1 Reactions
1 Replies
635 Views
Kuna Hotuba nimeiona kaitoa Makamu wa Rais wa Marekani ( Mwanamama ) ambayo kumbe 'ameikopi' kama ilivyo ( bila kubadili lolote ) kutoka kwa Hotuba ya aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump...
0 Reactions
4 Replies
858 Views
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla ameonekana kustushwa na taarifa kwamba Kampuni ya Ndege ya Fastjet imezuiwa kufanya biashara nchini Tanzania na kutakiwa kuondoka mara moja...
2 Reactions
79 Replies
9K Views
Hotuba ya Rais Samia hapo jana imeacha watu wengi nija panda. Binafsi naona kama ililenga zaidi kuyapooza makundi yaliyokuwa yanapiga kelele kama: Vyama vya upinzani Team Magufuli Wafanyabiashara...
11 Reactions
57 Replies
6K Views
Ubalozi wa Marekani jijini Dar es salaam umetoa tahadhari ya kiusalama kwa wafanyikazi wake walioko nchini Tanzania kuhusu hatari ya Kimbunga Jobo kinachoeleka katika pwani ya nchi hiyo na...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Mh SSH ifikapo Tarehe mosi May 2021 watumishi woote wa umma wanatamani kusikia mambo mawili tuu yaani Kuongeza mishahara pamoja na kuwapandisha Madaraja. Hii ni kutokana na ukweli kwamba ni...
22 Reactions
144 Replies
19K Views
Kongamano hilo muhimu kuadhisha miaka 57 ya Muungano litafanyika Aprili 26, 2021 kuanzia saa 3 asubuhi Ukumbi wa Chimwaga Dodoma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni ukweli ulio dhahiri kuwa awamu ya 5 ilivuruga uchumi wa Tanzania. Iliangusha ukuaji wa uwekezaji toka 28% iliyoachwa na awamu ya 4 mpaka 4%. Iliangusha ukuaji wa utalii toka 15% iliyoachwa na...
19 Reactions
62 Replies
3K Views
Tuliolelewa ndani ya chama hiki kikongwe na kubaki na imani mpaka kufa tunaijua nguvu ya mwenyekiti ndani ya chama tunaitambua ndio maana tunabaki kujiuliza hii nguvu ya kuwa attack watu kama...
10 Reactions
45 Replies
6K Views
Freeman Mbowe Mbowe kwa upande wa akili. Hana. Ila anajitahidi wakati mwingine kuonesha ana busara. But angekuwa na akili na busara angekuwa mwanasiasa mzuri zaidi. Kuna kipindi sababu ya kukosa...
11 Reactions
36 Replies
3K Views
Back
Top Bottom