Sijui Lissu yuko wapi? UN wanamlilia Magufuli kama kiongozi bora

kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
10,412
7,197
Muongo siku zake 40 ila Lissu sijui tumpe siku ngapi. Hakika antipas Lissu ametokea kua mwanasiasa anayesukumwa na chuki na uongo uliyopitiliza dhidi ya kiongozi mzuri aliyewahi kutokea bara la Afrika.

Kama Lissu ni mtu wa kawaida na sio mgonjwa wa akili angesema kitu kuonesha aibu kwa namna hayati Magufuli alivyokumbukwa na mabalozi kwenye baraza kuu la umoja wa mataifa kwa kile kilichotajwa kama mafanikio makubwa ya hayati Magufuli katika kuwaletea maendeleo watanzania.

Sifa kemkem zilimwagwa na wawakilishi wa mataifa yote ikiwa ni pamoja na yale ya kizungu ambayo Lissu amekimbilia kulowea akimwita hayati Magufuli kila jina baya kama vile muuaji dikteta etc.

Yafaa wazungu wapenda haki demokrasia na maendeleo kwa waafrika wamfukuze huyo kibaraka wa makampuni ya kinyonyaji ya kimataifa. Wamfukuze arudi kwao badala ya kuishi ulaya kama malaya wa kisiasa.
 
Kwa sababu alisababisha pm kusema uongo msi
Miaka ya nyuma Lissu alikuwa mtu mahiri sana ktk anga ya siasa nchini,

Lakini kwa sasa ni mmoja ya mwanasiasa mpuuzi na lofa kwelikweli
Kwa sababu alisababisha pm kusema uongo msikitini kwamba anachapakazi kumbe marehemu,hapo lofa nani bwashee?
 
Back
Top Bottom