Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inasikitisha sana kuona wanasiasa wetu wanaojiita wazalendo, kuwa na malimbikizo na misururu ya marupurupu na posho starehe, kusinzia, kupiga meza na kupongezana kuchaguliwa tena, tena wakiwa...
0 Reactions
2 Replies
813 Views
Prof Iddris Kikula ameteuliwa tena kuwa mwenyekiti wa Tume ya Madini kwa sasa Prof Kikula anamiaka 78 maana yake katika kipindi hichi cha miaka mitatu atamaliza mkataba akiwa na umri wa miaka 81...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Tanzania tushazoeshwa na Mambo ya Kishirikina na kienyeji tushakuwa wabishi tu na kuwasingizia Wazungu kuwaita Mabeberu.. IImekuja Corona tumeambiwa Nyungu hadi kukawa na wiki za Nyungu... Sasa...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
"Kutembelea wagonjwa na kusaidia wasiojiweza ni wito wa kiibada hauhitaji kwamba lazima uwe na wadhifa" alisema Mheshimiwa Othman. Makamu huyo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea 'Kuchemka' kwa Kujiita ni Rais wa Awamu ya Sita ila amesahau kuwa Leo amehutubia Wabunge waliochaguliwa katika Awamu ya Tano. Nao Wabunge wa Jamhuri ya...
46 Reactions
151 Replies
12K Views
Suffocation maana yake ni kunyima kitu oksijeni/hewa, ili kife, kisiendelee kukuwa au kihame kutoka kusiko na hewa kwenda kwenye hewa. Kwenye siasa za kidemokrasia, oxygen ya mwanasiasa ni...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Tupende tusipende ukweli unabaki pale pale kwamba China ndiyo nchi pekee duniani iliyofanikiwa kuudhibiti ugonjwa huu wa covid-19 kwa kiwango kikubwa. Nchi hii yenye population ya watu 1.4 billion...
2 Reactions
70 Replies
5K Views
Ni nafasi za zilizoachwa na Walimu waliostaafu,walioacha kazi Serikalini na waliofariki. Rais Samia Suluhu amesema haya.... "Natambua kuna Walimu wengi tu karibu Elfu 6 au zaidi ambao...
23 Reactions
105 Replies
21K Views
Hii nchii imejaaa matapeli wa kisiasa, yaani kila mwaka wizara tajwa hapo juu kupitia bunge la bajeti imekuwa ikiahidi kutoa ajira na kuboresha masilahi ya wafanyakazi ikiwemo kupandisha mishahara...
1 Reactions
2 Replies
646 Views
Ni kweli Nape amewahi kutoa kauli tata ktk uchaguzi wa 2015 iliyoashiria kuwa Nape si muumini wa demokrasia. Kauli ya "goli la mkono". Pia alikuwa waziri wa habari wakati Muswada kandamizi wa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba aliyekuwa mgombea urais wa ACT Wazalendo mh Bernard Membe atarejea CCM wakati wa mkutano mkuu maalum wa chama hicho mwishoni mwa mwezi huu. Ngoja tuone.
5 Reactions
51 Replies
5K Views
Yaani nashangaa hadi muda huu mama yetu samia suluhu hassan ameshindwa kutoa kauli yoyote kuhusu hawa wabunge 19 wasio na chama, Licha ya kwamba uongozi wa chadema umeshaweka bayana kuwa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amesema kuwa serikali inakaribia kukamilisha mpango wa kuanzisha Mfuko Maalum wa Zakka ambao utatumika kuwasaidia watu wenye...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Sijaelewa kabisa Model ya ufanyaji kazi wa TAKUKURU, kwamba now day huwa tunaona wakiwa na maburungutu ya pesa wakiyarejesha either kwa wenyewe au Serikalini. Kisa cha hivi karibuni ni cha kule...
1 Reactions
4 Replies
792 Views
Prof. Shemdoe ambaye ni katibu mkuu ofisi ya Rais-TAMISEMI amesema tokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipoielekeza Ofisi hiyo kufanya mchakato wa kuajiri...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Wanabodi, Naafuatilia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa live na Star TV kila Jumamosi asubuhi, kwenye kipindi cha leo, kutoka Mwanza, kinaongozwa na mkongwe, Doto Bulendu, na...
11 Reactions
43 Replies
5K Views
Kama kichwa kinavyojieleza lipaneni mipesa yote kama mishahara na miposho mtakula na mtakufa hamtaishi milele kumbukeni wanyonge walio wengi
0 Reactions
6 Replies
770 Views
Wakati mwingine inabidi kubadili mbinu za Usaliti ili kuendelea kutafuna hela za ccm na za umma , Mipango ya Mwendazake kwa Covid 19 ni kama imeondoka naye , Ule ulinzi waliokuwa wanapewa na...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Mahojiano ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Mohamed Mchengerwa na kituo cha Utangazaji cha Taifa TBC Sent from my EVA-L09 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
1 Replies
975 Views
Back
Top Bottom