Sim card tax proposal

M-Manoti

Member
Nov 10, 2017
7
5
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nimekuja kuandika hili baada ya Maoni ya mbunge Mmoja kutoa mapendekezo ya kodi ya kizalendo kwenye Simcard.

Kuna pendekezo la Simcard Tax nilituma serikalini tarehe 31/12/2020.

Nilidadafua vizuri sana kwa kuangalia pembe zote za watu wakipato cha chini cha kati na cha juu.

Nawasilisha
 
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania .
Nimekuja kuandika hili baada ya Maoni ya mbunge Mmoja kutoa mapendekezo ya kodi ya kizalendo kwenye Simcard.
Kuna pendekezo la Simcard Tax nilituma serikalini tarehe 31/12/2020.
Nilidadafua vizuri sana kwa kuangalia pembe zote za watu wakipato cha chini cha kati na cha juu.
Nawasilisha
Hii proposal yako naona haifai ni kandamizi kwakua kila tunaponunua vocha tayari tunakua tumeshalipa kodi.

Hebu rudi kakae chini ufikirie upya uje na wazo lingine ambalo sio kandamizi kwa wananchi.
 
Waanze wao kukatwa kodi kwenye mipesa wanayopokea afu kwani mbunge akitembela hata alphard kuna tatizo? Ma v8 yauzwe wapewe alphard au rav 4 wanaharibu sana kodi zetu kwenye hiyo mi v8 yao.
 
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nimekuja kuandika hili baada ya Maoni ya mbunge Mmoja kutoa mapendekezo ya kodi ya kizalendo kwenye Simcard.

Kuna pendekezo la Simcard Tax nilituma serikalini tarehe 31/12/2020.

Nilidadafua vizuri sana kwa kuangalia pembe zote za watu wakipato cha chini cha kati na cha juu.

Nawasilisha
Ana kichaa huyo mtu anayetaka simcard tax, alaaniwe!
 
Back
Top Bottom