Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wasalaam Nape anasema demokrasia ni pamoja na kuheshimu maamuzi ya Taasisi zingine zikiwemo vyama vya siasa! Nape anasema anashangaa wabunge wa CHADEMA kuendelea kuwepo bungeni pamoja na...
35 Reactions
130 Replies
9K Views
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amesema Hayati Mwl. Julius Nyerere alisema Watanzania ni ndugu lakini sisi tunabaguana Akifafanua hilo, Mbatia amesema kwa miaka 5 CCM imebagua Vyama...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP Simon Nyakoro Sirro leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini David Concar. Wawili hao walikutana ofisini kwa IGP Sirro na...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanabodi kuna kitu nakiona sijui kama wenzangu mnakiona. Bunge hili la awamu ya 6 linawekeza Nguvu kubwa sana kumtetea Rais mmoja tu Hayati Magufuli kwa kile wanachodai ni kutetea Legacy yake...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakili Emmanuel Chengula amechambua hasara inayosababishwa na ubunge hewa. Taifa letu litapata hasara Kama ifuatavyo endapo Bunge litaendelea kuwakumbatia wabunge 19 ambao hawana chama, na...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Ni Mrundi...kaonekana anacheza ngoma ya Kirundi...sijui jina lake anaitwa Ntiba-somebody... Hizo ndo kelele walizopiga baadhi ya watu kwenye mitandao wakiongozwa na mtu yule.. Sasa ghafla naona...
11 Reactions
51 Replies
4K Views
Binafsi nimewahi kukiri kuwa ni shabiki wa January nina sababu nyingi kwa nini ni shabiki wake. Ila kuna makosa naendelea kuyaona kutoka kwake, kuna nguvu kubwa inatumika kutoka kwa wale watu...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Kiu ya Rais wetu ni kuona Bunge linajadili vitu kwa upana na kwa kuwa bunge chini ya Spika Ndugai anaonekana kuzidiwa lakini anashindwa kusema asaidiwe kwa sababu Mhe. Rais anapenda kuona kuona...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Shujaa wa dunia ameondoka kiajabuajabu. Hata kama alikuwa na ugonjwa huo kwa miaka kumi lakini mbona imekuwa kiajabu? Mungu ndie kila kitu na akiamua kumchukua mtu hakuna wa kuzuia. Lakini mbona...
2 Reactions
74 Replies
5K Views
Kuna wanaosema Mheshimiwa Rais angalau angesubiri mpaka apewe uenyekiti wa Chama ndio aongee kwa mamlaka na kuwakaripia wote wanajaribu kumfanyia fitina za chini kwa chini. Wanaona kama vile...
1 Reactions
2 Replies
856 Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Hii ni salamu bora kutokea toka tumepata uhuru. Mama endelea kutumia hii salamu kila mara. Salamu hii haina ubaguzi, ni salamu yenye kuunganisha Taifa.
45 Reactions
229 Replies
23K Views
Kwako Mhe. Rais wa JMT, MHE. SAMIA SULUHU. Ombi langu ni kwenye hizi nafasi za kazi za ualimu zinazotangazwa. Kwakua nafasi zinazotangazwa nichache na wanao omba ni wengi ninakuomba ili kuondoa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Akiongea na BBC dira ya dunia jioni hii mkuu wa chama cha ACT Wazalendo amesema azma ya kukutana na Rais na kujadili masuala ya demokrasia tu na siasa yake ni kupoteza muda muda aidha zito...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
Wanavunja katiba, sheria na kanuni mbalimbali. Wao pia wanaongoza kwa kusema uongo ndani ya jumba lile ambalo Spika Ndugai na Naibu Tulia wapo pale kwa niaba yetu wananchi. Makosa yote hayo...
14 Reactions
20 Replies
1K Views
NAPE NNAUYE YUPI ANAYEIONEA UCHUNGU DEMOKRASIA. Na Bashir Yakub. Nape anasema si demokrasia Wabunge Wanawake wa CHADEMA kuendelea kuwa bungeni. Nape Nnauye ninayemjua huyu hapa; 1. October...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwaka 2015 wanachadema waliingizwa mkenge wa hali ya juu na walikuja kushutuka baada ya kuwa wameshatumiwa na wanasiasa wajanja. Mpaka leo wapowapo tu kama vile hawana dira. Mwaka 2020 baada ya...
0 Reactions
1 Replies
608 Views
Shalom, Wengi mnaweza msinielewe, hasa wale nationalists, lakini napenda kuwakumbusha tu kuwa kabla ya 1950 Afrika hakukuwa na mataifa ya Tanzania, Rwanda, Uganda, Kenya n.k Lakini pia kabla ya...
2 Reactions
1 Replies
703 Views
Salaam wakuu, Nitaweka Update hapa. Karibuni. Topic: Vyama vya siasa na haki ya kuendesha mikutano na shughuli za kisiasa. Wanaochangia mada ni James Mbatia, Zitto Kabwe, Tundu Lissu na Nape...
4 Reactions
7 Replies
4K Views
Mbunge wa viti Maalum Lucy Mayenga amedai leo Bungeni kuwa kuna kundi la wabunge wengi ambao wanamepanga kuhujumu legacy ya Magufuli na kutaka kutenganisha Urais wa Samia na Urais wa Magufuli...
1 Reactions
167 Replies
20K Views
Baada ya kuisikiliza hotuba ya rais wetu Samia Suluhu Hassan, naungana na wengine kuwa kwa ujumla ilikuwa nzuri, ya matumaini tuendako na ya usuluhishi wa kitaifa. Ni dhahiri kwamba rais...
0 Reactions
0 Replies
654 Views
Back
Top Bottom