Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watanzania Hakika Nashindwa kuamini kwanini Viongozi Wetu Walioapa Kuilinda na Kuisimamia KATIBA ya NCHI ndio hao WANAIVUNJA kwa MAKUSUDI. Chadema imewafukuza Wanachama wake 19 kwa kwenda kinyume...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Salaam nyingi kutoka +255 (Tanzania) Kwanza kabisa nikupe pole katika misukosuko uliyopitia katika kipindi chote cha utekelezaji wa majukumu yako ya kikatiba, nisemapo hilo ninamaana Kila...
17 Reactions
53 Replies
5K Views
Muongo siku zake 40 ila Lissu sijui tumpe siku ngapi. Hakika antipas Lissu ametokea kua mwanasiasa anayesukumwa na chuki na uongo uliyopitiliza dhidi ya kiongozi mzuri aliyewahi kutokea bara la...
15 Reactions
77 Replies
5K Views
Awamu ya tano katika hotuba kama ya jana ya Rais Bungeni maneno niliyotaja hapo juu yangekuwa yametumika mara nyingi kama sehemu muhimu ya ujumbe. Lakini sasa yameshazikwa rasmi pamoja na...
15 Reactions
97 Replies
5K Views
Kama wabunge wasio na sifa wataendelea kulipwa fedha za umma na viongozi wakuu wa nchi wasikemee wala kudhibiti huu wizi wa wazi ni vigumu kupambana na wizi wa mali za umma. Kama mwanasiasa...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Tumekuwa tukiambiwa JKT ni mahali pa kujifunza uzalendo na stadi za kazi zitakazowawezesha vijana wanaopata fursa ya kupitia hapo waweze kwenda kufanya kilimo, useremala, ujenzi, n.k kwa ufanisi...
9 Reactions
65 Replies
8K Views
Kuna hoja nimekuta watu wanaongea, ni kuhusu kile ambacho mama amesema waziri wa fedha akakae na mwenzake wajadili na kusuluhisha katika kero za muungano. Ninaupenda sana Muungano,ninauunga mkono...
31 Reactions
318 Replies
28K Views
Sio vema mkazungumze hoja zenu binafsi kama vile nilipigwa, nilivunjwa mkono, biashara yangu ilifungwa, na mambo kama hayo kwa Rais ambae ni mpya na ambae yuko serious kutaka kujaribu kunza...
0 Reactions
2 Replies
614 Views
Wasalaam wana wa Adam, Kwanza kabisa napongeza sana hotuba nzuri ya leo ya Mhe Rais Mama yetu Samia Suluhu Hassan, ni maneno mazito sana ambayo yamelisuta bunge letu la jamuhuri ya Muungano wa...
8 Reactions
93 Replies
10K Views
Taifa ambalo lina watu makini waliopewa dhamana ya kuwakilisha wenzao kwenye chombo muhimu kama bunge wanachangia michango ya ajabu kana kwamba hawana akili za kuzaliwa. Mbunge bila ya aibu...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
DC Emanuel Kipole ametishia kumsweka ndani Katibu wa mbunge baada ya Katibu huyo kuzungumzia migogoro ya ardhi kwenye mkutano wa hadhara. Baada ya tishio hilo la DC ndipo Katibu wa mbunge...
4 Reactions
29 Replies
5K Views
Leo nimekesha Kufanya Utafiti (Kuchunguza) ni nchi gani nyingine duniani ambayo Rais akiwa 'analihutubia' Bunge Waheshimiwa Wabunge katikati ya Hotuba yake 'humkatisha' kwa Kuanza kuruka...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Lissu ametoa maoni yake kuhusu hotuba ya Mama Samia bungeni na kusema ni ile ile Kama aliyotoa Magufuli bungeni mwaka 2020 Lissu anazidi kuchemka, sijui nj Nani anamlisha matango pori. Mama Samia...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Kufatia mgomo wa daladala manispaa ya Iringa mkuu wa wilaya ya Iringa Mr.Kasesela amepiga marufuku bajaj kufanya kazi. Amepiga marufuku bajaji kutoka Ipogolo n Kitwiru kwenda Iringa mjini...
3 Reactions
71 Replies
7K Views
Mheshimiwa Spika, Nakusalimia kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Natambua leo ni siku ambayo rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan analihutubia Bunge la nchi yetu. Na mimi kama mwananchi...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Ni situ 365 yaani Mwaka mzima Tangu Meli ndogo ya mizigo MV AL.HUSSEIN II inayomilikiwa na bwana MAULANA SALUM ilipewa kibali Tarehe 3/4/2020 ikiwa na Watanzania 12 kutoka Zanzibar kupeleka sheena...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Zaidi nusu karne tumetawaliwa na chama kimoja! Miongo sita Tumetawaliwa na Chama Kimoja! Miaka 60 Tumetawaliwa na chama kimoja! Inawezekanaje chama kimoja kuitawala nchi kwa miaka 60...
0 Reactions
2 Replies
797 Views
Zitto ni mwepesi sana kutetea na kukosoa uvunjwaji wa Katiba. Ni mchambuzi wa siasa na hoja za maendeleo, Ni mchambuzi wa masuala ya uchumi. Suala la akina mdee linagusa engo zote ambazo Zitto ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu, kuna tatizo lipo lakini ni kama kila mtu anajaribu kulifumbia macho wakati katika hatua yake ya juu kabisa itakuwa ni hasara ya watu wote. Katika mazingira mbali mbali unakuta mtu...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Akichambua ripoti ya CAG, Zitto amesema taarifa ya CAG imeibaini MSD inaidai Serikali zaidi ya sh bilioni 300 na MSD ili ijiendeshe inahitaji sh bilioni 500 fedha ambayo inalingana na gharama...
7 Reactions
57 Replies
5K Views
Back
Top Bottom