DC Kasesela alikoroga Iringa. Apiga marufuku bajaji kufanya kazi

SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
4,040
8,895
Kufatia mgomo wa daladala manispaa ya Iringa mkuu wa wilaya ya Iringa Mr.Kasesela amepiga marufuku bajaj kufanya kazi.

Amepiga marufuku bajaji kutoka Ipogolo n Kitwiru kwenda Iringa mjini.

Amepiga marufuku bajaji kupita Dodoma road, bajaji za mkimbizi na Kihesa kilolo wakitaka wapite nyuma ya mlima wa mkwawa watokee Ikonongo hadi chuo cha mkwawa.

Amefukuza bajaji zote zilizokuwa zinapaki soko kuu.

Kufatia huu uamuzi vibaka wa Iringa waliokuwa wamejiajiri kwenye bajaji watarudj upya kukaba watu.

USHAURI: Daladala wakubali ukweli kuwa sasa hivi ni soko huria. Wawaache bajaji na bodaboda zifanye kazi.
 
Eti vibaka wa Iringa, unamaanisha hao madereva bajaji walikuwa vibaka?, Kawaida Bajaji ziwe na njia zake na dalala njia zake.

Lakini kiukwel bajaj zinasumbua sana zikiwa barabara zenye misongamano, nyie bajaji pigeni kazi kama bodaboda tu (pikipiki miguu mitatu).
 
Kimaandishi linaonekana ni agizo la Mkurugenzi wa Manispaa, Bw. Himid Njovu

WhatsApp Image 2021-04-22 at 20.48.05 (1).jpeg

WhatsApp Image 2021-04-22 at 20.48.09.jpeg
 
Dah! Ila Iringa nako ni Kamji kadogo!! Yaani kamejibana!!
Iringa IPI hiyo unayosema,....ila n manspa usiaze kuchanganya namkoa ,yaleyale ukiona gari imeandikwa dar -ruvuma hupandi ila ikiandikwa DAr -songea unapanda harakasana
 
Kufatia mgomo wa daladala manispaa ya Iringa mkuu wa wilaya ya Iringa Mr.Kasesela amepiga marufuku bajaj kufanya kazi.

Amepiga marufuku bajaji kutoka Ipogolo n Kitwiru kwenda Iringa mjini.

AmepigA marufuku bajaji kupita Dodoma road, bajaji za mkimbizi na Kihesa kilolo wakitaka wapite nyuma ya mlima wa mkwawa watokee Ikonongo hadi chuo cha mkwawa.

Amefukuza bajaji zote zilizokuwa zinapaki soko kuu.

Kufatia huu uamuzi vibaka wa Iringa waliokuwa wamejiajiri kwenye bajaji watarudj upya kukaba watu.

USHAURI: Daladala wakubali ukweli kuwa sasa hivi ni soko huria. Wawaache bajaji na bodaboda zifanye kazi.
Kati ya bajaji na hiace nani anayelipa mapato makubwa?
 
Iringa IPI hiyo unayosema,....ila n manspa usiaze kuchanganya namkoa ,yaleyale ukiona gari imeandikwa dar -ruvuma hupandi ila ikiandikwa DAr -songea unapanda harakasana
Mimi naongelea Iringa Mjini! Siiongelei Iringa kama Mkoa! Shida ya hao wenye daladala na bajaji kugombana, nu kwa sababu tu ya huo mji wenyewe kuwa mdogo na ulio jibana sana! Hasa hapo mjini penyewe.

Nadhani kuna umuhimu wa kuuhamisha huo mji kutoka huko juu na kuupeleka kule Nduli au Igumbilo, ili kupunguza msongamano wa watu na vyombo vya moto.
 
Back
Top Bottom