Kwa uteuzi huu wa DC Longido, UKAWA wajiandae kupoteza Jimbo

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,866
Uteuzi wa wakuu wa Wilaya umeshafanyika,Rais ameteuwa kwa kiasi kikubwa makada watiifu wa chama Tawala,wengi wao wakiwa vijana na wenye elimu ya kutosha.

Moja ya majukumu waliyopewa leo ni kuhakikisha ilani ya chama Tawala inatekelezwa kwa ufanisi katika maeneo yao ya utawala.Moja ya kuhakikisha ilani inatekelezwa ni kuhakikisha pia chama tawala kinapata nguvu na "mvuto" katika wilaya walizopewa.Kazi kubwa ni kwa wakuu wa wilaya ambapo majimbo/wilaya zao zipo chini ya UKAWA;Kwa mfano Wilaya Ubungo ndugu Polepole ni juhudi zake "kumpoteza" Kubenea na kuhakikisha Jimbo linarudi CCM mwaka 2020 mara baada ya kuwa chini ya CHADEMA kwa miaka 10.

Huko LONGIDO kwenye uchaguzi wa marudio amepelekwa DANIEL GODFREY CHONGOLO,huyu ni "mwanafunzi" na "mshirika" wa karibu sana wa NAPE MOSES NNAUYE,pale Makao Makuu ya Chama Chongolo alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano kwa Umma kilichokuwa chini ya idara ya Sera na Uenezi(Kitengo cha Propaganda).

Huyu ni kada kindakindaki aliyekuwa ameambatana na Magufuli katika kampeni nchi nzima,yeye akiratibu kitengo cha habari kwa umma zikiwemo picha kurushwa mitandaoni,habari nzuri "kumpamba" mgombea wa CCM kurushwa magazetini na kwenye Tv.Huku kwenye Tv alimkamata vizuri sana Emmanuel Buhohela wa ITV aliyekuwa anafukia mashimo ya Spencer Lameck(naye wa ITV) aliyekuwa anarusha habari za mgombea wa UKAWA.Kazi nzuri ya Buhohela imempa "ulaji" Kurugenzi ya Mawasialino IKULU.

Chongolo ni mzoefu sana wa chaguzi za marudio,amekuwapo Busanda,Igunga,Arumeru Mashariki,Kiteto na Kalenga.Uwepo wake Longido huku kukiwa na maandalizi ya uchaguzi wa marudio wa jimbo hilo ni mkakati tosha wa chama tawala kulikomboa jimbo.Kama kada na kijana mtiifu,chini ya mamlaka ya kidola na kiserikali kama Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa Wilaya,sioni wapi UKAWA watapenyeza.

Upande wa pili,wajipange...Leo Rais kawaambia Wakuu wa Wilaya watumie "vizuri" vyombo vya ulinzi na usalama,kuanzia TISS,Polisi na Mgambo kutekelezwa matakwa ya serikali na ilani ya chama tawala.

Longido ni kipimo tosha cha Demokrasia ndani ya utawala wa awamu ya tano.Mkuu huyu wa wilaya haendi tu kuwa "muwakilishi" wa Rais,bali ni kada wa CCM mtiifu,mwanapropaganda mwenye shahada ya Mawasilino ya Umma toka Chuo Kikuu Huria.Huyu hana chembe za kiserikali bali ana chembe za kichama chama.

Pole sana Ole Nangoro...Mwenyekiti wa Zamani wa CCM Mkoa wa Arusha,Wamekuletea kijana wako Chongolo,mliyeshirikiana wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki na mkabwagwa na Joshua Nassari.
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
 
Hiyo ni Arusha mkuu,sio Pwani
Mkuu hii si Arusha ile ya "R-Chuga" hii ni ile ya Wafugaji,ipo kuleeee mpakani na Kenya,Jamii hii ya wafugaji itawekwa sawa na wote wataelekea kibra!!Hili jimbo lina hathati kubwa sana ya kurudi CCM
TUTARUDI HAPA BAADA YA UCHAGUZI Akida MALCOM X
 
Longido ni kwa Wamasai kabila ambalo linadumisha mila na utamaduni,Wamasai ni wakweli mia kwa mia na ni watiifu kwa viongozi wote.Longolongo kwao ni mwiko.Mfano mzuri ni akiyekuwa mbunge wa jimbo hilo awamu iliyopita.Kama mikutano ya campaign itaruhusiwa sioni kama mgombea wa ccm atapita....ni mawazo yangu na niko tayari kusahihishwa.
 
UKAWA watakata rufaa Mahakama ya Rufaa na watarudishiwa JIMBO lao
 
Uteuzi wa wakuu wa Wilaya umeshafanyika,Rais ameteuwa kwa kiasi kikubwa makada watiifu wa chama Tawala,wengi wao wakiwa vijana na wenye elimu ya kutosha.

Moja ya majukumu waliyopewa leo ni kuhakikisha ilani ya chama Tawala inatekelezwa kwa ufanisi katika maeneo yao ya utawala.Moja ya kuhakikisha ilani inatekelezwa ni kuhakikisha pia chama tawala kinapata nguvu na "mvuto" katika wilaya walizopewa.Kazi kubwa ni kwa wakuu wa wilaya ambapo majimbo/wilaya zao zipo chini ya UKAWA;Kwa mfano Wilaya Ubungo ndugu Polepole ni juhudi zake "kumpoteza" Kubenea na kuhakikisha Jimbo linarudi CCM mwaka 2020 mara baada ya kuwa chini ya CHADEMA kwa miaka 10.

Huko LONGIDO kwenye uchaguzi wa marudio amepelekwa DANIEL GODFREY CHONGOLO,huyu ni "mwanafunzi" na "mshirika" wa karibu sana wa NAPE MOSES NNAUYE,pale Makao Makuu ya Chama Chongolo alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano kwa Umma kilichokuwa chini ya idara ya Sera na Uenezi(Kitengo cha Propaganda).

Huyu ni kada kindakindaki aliyekuwa ameambatana na Magufuli katika kampeni nchi nzima,yeye akiratibu kitengo cha habari kwa umma zikiwemo picha kurushwa mitandaoni,habari nzuri "kumpamba" mgombea wa CCM kurushwa magazetini na kwenye Tv.Huku kwenye Tv alimkamata vizuri sana Emmanuel Buhohela wa ITV aliyekuwa anafukia mashimo ya Spencer Lameck(naye wa ITV) aliyekuwa anarusha habari za mgombea wa UKAWA.Kazi nzuri ya Buhohela imempa "ulaji" Kurugenzi ya Mawasialino IKULU.

Chongolo ni mzoefu sana wa chaguzi za marudio,amekuwapo Busanda,Igunga,Arumeru Mashariki,Kiteto na Kalenga.Uwepo wake Longido huku kukiwa na maandalizi ya uchaguzi wa marudio wa jimbo hilo ni mkakati tosha wa chama tawala kulikomboa jimbo.Kama kada na kijana mtiifu,chini ya mamlaka ya kidola na kiserikali kama Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa Wilaya,sioni wapi UKAWA watapenyeza.

Upande wa pili,wajipange...Leo Rais kawaambia Wakuu wa Wilaya watumie "vizuri" vyombo vya ulinzi na usalama,kuanzia TISS,Polisi na Mgambo kutekelezwa matakwa ya serikali na ilani ya chama tawala.

Longido ni kipimo tosha cha Demokrasia ndani ya utawala wa awamu ya tano.Mkuu huyu wa wilaya haendi tu kuwa "muwakilishi" wa Rais,bali ni kada wa CCM mtiifu,mwanapropaganda mwenye shahada ya Mawasilino ya Umma toka Chuo Kikuu Huria.Huyu hana chembe za kiserikali bali ana chembe za kichama chama.

Pole sana Ole Nangoro...Mwenyekiti wa Zamani wa CCM Mkoa wa Arusha,Wamekuletea kijana wako Chongolo,mliyeshirikiana wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki na mkabwagwa na Joshua Nassari.View attachment 361287View attachment 361288View attachment 361289
kwa jinsi wananchi walivyopigika, CCM wasahau hilo jimbo kurudi
 
Longido ni kwa Wamasai kabila ambalo linadumisha mila na utamaduni,Wamasai ni wakweli mia kwa mia na ni watiifu kwa viongozi wote.Longolongo kwao ni mwiko.Mfano mzuri ni akiyekuwa mbunge wa jimbo hilo awamu iliyopita.Kama mikutano ya campaign itaruhusiwa sioni kama mgombea wa ccm atapita....ni mawazo yangu na niko tayari kusahihishwa.
Nadhani Lowasa atapiga kambi huko, kampeni zote kimasai.
 
Uteuzi wa wakuu wa Wilaya umeshafanyika,Rais ameteuwa kwa kiasi kikubwa makada watiifu wa chama Tawala,wengi wao wakiwa vijana na wenye elimu ya kutosha.

Moja ya majukumu waliyopewa leo ni kuhakikisha ilani ya chama Tawala inatekelezwa kwa ufanisi katika maeneo yao ya utawala.Moja ya kuhakikisha ilani inatekelezwa ni kuhakikisha pia chama tawala kinapata nguvu na "mvuto" katika wilaya walizopewa.Kazi kubwa ni kwa wakuu wa wilaya ambapo majimbo/wilaya zao zipo chini ya UKAWA;Kwa mfano Wilaya Ubungo ndugu Polepole ni juhudi zake "kumpoteza" Kubenea na kuhakikisha Jimbo linarudi CCM mwaka 2020 mara baada ya kuwa chini ya CHADEMA kwa miaka 10.

Huko LONGIDO kwenye uchaguzi wa marudio amepelekwa DANIEL GODFREY CHONGOLO,huyu ni "mwanafunzi" na "mshirika" wa karibu sana wa NAPE MOSES NNAUYE,pale Makao Makuu ya Chama Chongolo alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano kwa Umma kilichokuwa chini ya idara ya Sera na Uenezi(Kitengo cha Propaganda).

Huyu ni kada kindakindaki aliyekuwa ameambatana na Magufuli katika kampeni nchi nzima,yeye akiratibu kitengo cha habari kwa umma zikiwemo picha kurushwa mitandaoni,habari nzuri "kumpamba" mgombea wa CCM kurushwa magazetini na kwenye Tv.Huku kwenye Tv alimkamata vizuri sana Emmanuel Buhohela wa ITV aliyekuwa anafukia mashimo ya Spencer Lameck(naye wa ITV) aliyekuwa anarusha habari za mgombea wa UKAWA.Kazi nzuri ya Buhohela imempa "ulaji" Kurugenzi ya Mawasialino IKULU.

Chongolo ni mzoefu sana wa chaguzi za marudio,amekuwapo Busanda,Igunga,Arumeru Mashariki,Kiteto na Kalenga.Uwepo wake Longido huku kukiwa na maandalizi ya uchaguzi wa marudio wa jimbo hilo ni mkakati tosha wa chama tawala kulikomboa jimbo.Kama kada na kijana mtiifu,chini ya mamlaka ya kidola na kiserikali kama Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa Wilaya,sioni wapi UKAWA watapenyeza.

Upande wa pili,wajipange...Leo Rais kawaambia Wakuu wa Wilaya watumie "vizuri" vyombo vya ulinzi na usalama,kuanzia TISS,Polisi na Mgambo kutekelezwa matakwa ya serikali na ilani ya chama tawala.

Longido ni kipimo tosha cha Demokrasia ndani ya utawala wa awamu ya tano.Mkuu huyu wa wilaya haendi tu kuwa "muwakilishi" wa Rais,bali ni kada wa CCM mtiifu,mwanapropaganda mwenye shahada ya Mawasilino ya Umma toka Chuo Kikuu Huria.Huyu hana chembe za kiserikali bali ana chembe za kichama chama.

Pole sana Ole Nangoro...Mwenyekiti wa Zamani wa CCM Mkoa wa Arusha,Wamekuletea kijana wako Chongolo,mliyeshirikiana wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki na mkabwagwa na Joshua Nassari.View attachment 361287View attachment 361288View attachment 361289
Kweli hapo Kwa Chongolo CDM kwishiney
 
Chongolo ni mzoefu sana wa chaguzi ndogo. Uwezo wake si wa kubeza. Na ikumbukwe kama ni kurudia basi itakuwa ni wakati JPM ni mwenyekiti wa chama hivyo ataenda kufanya kampeni kama mwenyekiti akiambatana na kada Dk. Tulia Ackson Mwansasu.
 
kama upinzani utabweteka lazima ccm itashinda. tutegemee matumizi makubwa ya jeshi la polis huko. ukawa wawe macho....
 
Ccm wanaweza wakashinda kama vyama vya upinzani vitalala usingizi....
Kwa uzoefu wangu katika chaguzi za Tanzania 80% ya ushindi wa ccm ni uwizi wa kura .
Mpaka sasa vimeshalazimishwa kulala, wakati kuna marufuku ya kampeni Dc atakuwa anafanya vikao vya ndani na makada wa ccm. Lazima washinde tu.
 
Mkuu umeona mbali,Wakati Chadema wakipigwa marufuku kufanya mikusanyiko ya kisiasa,huku CCM watakuwa wanaendelea kwa "mgongo" wa DC na hivyo sera na kampeni za ndani kwa ndani zikiendelea kuenezwa kwa mgongo wa DC
Huwezi kumtenganisha DC na CCM....
 
Hili la ukada ni kujisumbua tu kwa sababu hakuna mwana ccm anayeweza kunibadili kimtazamo hata kama nitakuwa nimekufa. Nilizaliwa na kujua kusema wakati wa JK 1 ninawafahamu vizuri sana
 
Back
Top Bottom