Ummy Mwalimu: Ni marufuku Shule kuwadai cheti wanaoanza Darasa la kwanza

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema ni marufuku Shule kudai Certificate (Cheti) ya Awali kwa Wanafunzi wanaoanza Darasa la Kwanza

Akiwa Bungeni Dodoma leo Mei 03, 2021 amesema "Bado hatujafanya vizuri katika kuongeza 'access' ya Watoto kuanza Elimu ya Awali kwahiyo haileti mantiki kusema kila Mtoto aanze Darasa la Kwanza awe na Certificate ya Awali"

Amesema wanaodai Certificate ya Elimu ya Awali wanaenda kinyume na maelekezo na miongozo ya Serikali.
 
Back
Top Bottom