Mawaziri Jenister Mhagama na Damas Ndumbaro hawana upendo kwa wafanyakazi kabisa

NewPage

JF-Expert Member
Mar 22, 2021
1,281
2,020
Kwa miaka 6 Jensiter na Ndumbaro wamekuwa wakishikilia portfolios muhimu sana za kuangalia maslahi ya wafanyakazi. Hata hivyo mpaka sasa hamna chcochote cha kujivunia wanachoweza ongea kuhusu wafanyakazi. Jesnister tangu akute ile Wage Order ya mishahara ya watu wa sekta binafsi ya Mwaka 2013 hajawahi hata kuiongelea mahali.

Huyu mama na mwenzake Ndumbaro hawa-reflect kabisa roho nzuri za watu wa Ruvuma walizonazo. Sijui wamekuwaje hawa? Yaani bure kabisa! Na Mwenyezi Mungu awaangalie pamoja na nafasi zao zinazowapata kiburi wasije pata amani kamwe kwa matendo yao mabaya wakimaliza utumishi wa umma.

Ndumbaro mpaka ameingia Samia leo ndiyo anaona umihumu wa kuwalipa wa darasa la saba. Yaani wewe ni bendera fuata upepo tu - hufai pale utumishi. Na siku ukiondolewa ni lazima watumishi watapiga vigelegele! Ndumbaro ni msomi mzuri tu lakini hujali hata wale waliokumbwa na sakata la vyeti feki pia walihitaji kulipwa fedha zao kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.

Hawa watu walifanya kazi na Katiba ya Nchi inawapa haki ya kulipwa ujira wao. Serikali yenyewe ilikuwa dhaifu kuajiri wa vyeti feki lakini yenyewe imeshindwa kujiwajibisha kwa makosa iliyofanya. Nchi hii mjenga chuki sana sana. Ndiyo maana Kiongozi mkubwa wa nchi anafariki wananchi wanashangilia.

Hata kama mnafikiri walioshangilia ni wachache bado pia wana impact. Hamjiulizi mbona Nyere na Mkapa walipofariki hamna hata mtu mmoja alionekana kushangilia?

Acheni roho mbaya - madaraka ni ya kupita tu! Mngemshauri vema Rais leo wafanyakazi wangekuwa wanafurahi na familia zao!


NB: Leo nimegundua moderator umenirekebishia title lakini umeiharibu kabisa kabisa. Sikukusudia Dr. Damas Ndumbaro ambaye ni jamaa yangu asiye na noma!
 
Ndumbaro unamuonea bure ndugu yangu!

Ni mtu poa sana pale utumishi! anapambana sana kuhakikisha haki znapatikana, ukikutana nae wakat wa shda zako kiofis ndio utajua alivo mpenda kisaidia!

Pia kuna dada mmoja pale sjui Kwa ma approver anaitwa JEANFRIDA Mungu ambariki huko aliko! anapga kaz sana , ana roho ya upendo, anajali haangalii umri! anajua shda za watanzania! sku moja apewe hata ukatibu mkuu hapo utumishi!

Ila sasa kuna limbandanga moja hiviiii linaitwa ADERA weeee jinga hilo korofiiii kaz kugombana na wafanyakaz wanaokuja na shda mbalimbali! sjui toto la mkubwa gani pale wangelitoa halina msaaada haliangalii hata watu waliolizidi umri lina mambo ya ajabu kutwa kutafna karanga tu fyuuuu.
 
Tuendelee kula mtori nyama zipo chini, Kimsingi hawa wakubwa hawapo kwa ajili ya kupigania maslahi ya watu wenye vipato vidogo badala yke wapo kwa ajili ya familia zao. ACHA MUNGU AENDELEE KUTUSIMAMIA. Tuzidi kumuomba na kumtumainia.
 
Ndumbaro unamuonea bure ndugu yangu!

ni mtu poa sana pale utumishi! anapambana sana kuhakikisha haki znapatikana, ukikutana nae wakat wa shda zako kiofis ndio utajua alivo mpenda kisaidia!

pia kuna dada mmoja pale sjui Kwa ma approver anaitwa JEANFRIDA Mungu ambariki huko aliko! anapga kaz sana , ana roho ya upendo, anajali haangalii umri! anajua shda za watanzania! sku moja apewe hata ukatibu mkuu hapo utumishi!

ila sasa kuna limbandanga moja hiviiii linaitwa ADERA weeee jinga hilo korofiiii kaz kugombana na wafanyakaz wanaokuja na shda mbalimbali! sjui toto la mkubwa gani pale wangelitoa halina msaaada haliangalii hata watu waliolizidi umri lina mambo ya ajabu kutwa kutafna karanga tu fyuuuu
ADELA atakuwa nyumba ndogo ya Jafo ndio maana anatukana wafanyakazi. Sasa hivi atapambana na Ummy Mwalimu.
 
Dr Ndumbaro anachafka kwa ajili ya huyu mwanamke asiye na Haya! sjui alifkaje hapo alipo! mbaya sana sana hata kama ni afsa kipenyo mpelekeni kungine akauze sura huko sio hapo kwenye maisha ya wafanyakazi
ADELA atakuwa nyumba ndogo ya Jafo ndio maana anatukana wafanyakazi. Sasa hivi atapambana na Ummy Mwalimu.
 
Kitendo kilichofanywa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani ni cha kizalendo hatuwezi kulipana mishahara wakati kuna miradi mingi ya maendeleo haijaisha.
 
Back
Top Bottom