Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari mjini Morogoro, JamiiForums ndani ya Nyumba

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,442
113,451
Wanabodi,

Mei 3 kila mwaka, ni siku ya kimataifa ya kusherehea siku ya Uhuru wa Habari, Media Freedom Day, ambapo hapa nchini, kitaifa siku hii inasherehekewa kwa muda wa siku 2, mjini Morogoro toka katika hoteli ya Nashera ambapo Jamiiforums pia inashiriki, na tayari nimeishamuona Mkuu Max ndani ya nyumba ambapo soon atawasilisha mada.

Nitakuwepo hapa Moro kwa siku hizi mbili kuwaletea kile kinachoendelea.

Pasco

DAY ONE: MAY 2[SUP]nd[/SUP], PRE - WPFD DAY
Moderator: Prof. Penina Mlama (UDSM) / Edda Sanga (SJMC)
MC’s of the event: Jane Mihanji/ Usia Nkhoma-Ledama
TIME
ACTIVITY
POINT PERSON
09:00 – 09:30 Registration Secretariat
09:30 – 09:40 Introductions/ welcome remarks MC’s of the Event & Nashera
09:40 – 10:10 First presentation
Better Reporting and Independent Journalism in the Digital Age
Erick Kabendera
Senior Journalist & Correspondent
for the East African
10:10 – 10:40 Second presentation
Gender and Media (With Special Focus on the 20th Anniversary of the Beijing Declaration and the Platform for Change)
Presenter from TAMWA/UN Women
10:40 – 11:00 Health Break ALL
11:00 – 12:00 Plenary on the two presentations ALL
12:00 – 12:30 Third presentation
Towards Better Digital Safety for Journalists and Their Sources
Maxence Melo –
CEO Jamii Forums
12:30 – 13:00 Fourth presentation
Experience sharing from Veterans
Wellington Melea
former BBC & Reuters Correspondent
Masoud Masoud
Former Radio One/ Uhuru, now TBC
& others
13:00 – 14:00 Lunch Break ALL
14:00 – 15:00 Plenary on the two presentations ALL
15:00 – 16:00 Testimonies of media freedom violations Maxence Melo &
Majjid Mjengwa
16: 00 – 16:30 Questions & Answers ALL
END OF DAY ONE
DAY TWO: MAY 3[SUP]rd[/SUP], OFFICIAL OPENING
Moderator: Prof. Penina Mlama (UDSM) / Edda Sanga (SJMC)
MC’s of the event: Jane Mihanji/ Usia Nkhoma-Ledama
TIME
ACTIVITY
POINT PERSON
08:00 – 09:00 Registration & Entertainment Secretariat
09:00 – 09:10 Welcome Renarks & Introduction of WPFD Simon Berege - Chairperson MISA-TAN
09:10 – 09:15
09:15 – 09:20
09:20 – 09:25
09:25 – 09:30
09:30 – 09:35
09:35 – 09:40
09:40 – 09:45
09:45 – 09:50
09:50 – 09:55
Messages from the Organizers:
UNESCO
MCT
TMF
MOAT
UTPC
TEF
TAMWA
KAS
TCRA
Zulmira Rodriguez -Head of Office & Resident Director
Kajubi Mukajanga - MCT Executive Secretary
Ernest Sungura -TMF Director
Dr. Reginald Mengi-MOAT Chairperson
Kenneth Simbaya -UTPC President
Absalom Kibanda -TEF Chairperson
Valerie Msoka -Executive Director
Stefan Reith -KAS Resident Representative
Prof. John Nkoma- TCRA Director General
09:55 – 10:25 Messages from the Sponsors Alliance One, Abood , Altaf, GEPF, PSPF, TANAPA
10:25 – 10:45 Greetings from Ambassadors/ International organizations present MC (to call names following alphabetical order)
10:45 – 10:55 RC to give Message from Govt. and to invite special guest Hon. Dr. Rajab Rutengwe
Morogoro Regional Commissioner
10:50 – 10:55 Message from Special guest and to invite Chief Guest to address audience Ambassador Filiberto Cerian Sebregondi
EU Head of Delegation
10: 55 – 11:30 Speech, official Opening by Chief Guest and Launching of:
So This Is Democracy (MISATAN)
State of the Media Report (MCT)
Alvero Rodriguez
UN System – Resident Coordinator
11:30 – 11:40 Group Photo at the Hotel Garden ALL
11:40 – 12:00 Health Break ALL
12:00 – 12:30 Presentation: Analysis of the recently tabled Bills and the way forward Dr. Ayub Rioba-Lecturer (SJMC)
12:30 – 12:45 Presentation: Social Media Innocent Mungy – TCRA- Head of Cooperate Communication
12:45 – 13:30 TMF: Reflections on the media landscape in Tanzania Ernest Sungura- TMF Director
13:30 – 14:30 Lunch Break ALL
14:30 – 15:30 Plenary & Resolutions of the Day ALL
15:30 – 15:40 Official Closing Government Representative
20:00 – 23:00 Cocktail Party (at Kingsway or Nasheera) ALL

Attachments

  • Event Programm Final -Draft .docx
    429.2 KB · Views: 43
asante kwa taarifa mkuu,ila wewe pia kama mdau muhimu sana wa habari tunakuomba usimame pamoja na mkuu maxence kupinga sheria hii mpya ya mitandao,kwani ni janga kubwa linalotunyemelea! inatakiwa musimame pamoja dhidi ya wenzenu wa uhuru/mzalendo Pasco
 
Last edited by a moderator:
Maadhimisho yameanza kwa waandishi kujitambulisha, waandishi wako zaidi ya 200.
Mada ya kwanza inahusu Better Reporting na Independent journalism, imewasilishwa na mwanahabari wa kujitegemea, Erick Kabendera.
Pasco
 
mkuu wewe unawakilisha chombo gan cha habari?
Pasco wa jf ni mwandishi wa kujitegemea kwa kujitolea, hawakilishi chombo chochote, wala habari zake hazipeleki kwenye chombo chochote maalum cha habari, bali huzileta humu jf tuu, tena bure!.

Pasco
 
  • Thanks
Reactions: jme
Wanabodi,

Mei 3 kila mwaka, ni siku ya kimataifa ya kusherehea siku ya Uhuru wa Habari, Media Freedom Day, ambapo hapa nchini, kitaifa siku hii inasherehekewa kwa muda wa siku 2, mjini Morogoro toka katika hoteli ya Nashera ambapo Jamiiforums pia inashiriki, na tayari nimeishamuona Mkuu Max ndani ya nyumba ambapo soon atawasilisha mada.

Nitakuwepo hapa Moro kwa siku hizi mbili kuwaletea kile kinachoendelea.

Pasco

Ukiwa team Lowasa kweli una andika kwa haraka mno . Leo ni May 3 ?
 
Ahsante Mkuu Pasco. Vipi na jamaa wa upande wa pili yupo? I mean Saed Kubenea. Na je kuna mada atawasilisha? Nitashukuru sana kujulishwa coz Kubenea tangu amenunuliwa na chadema na mafisadi kapoteza kabisa uwezo wa kuandika habari za maana
 
Mkuu Pasco kila lakheri mkuu.

Tunategemea kupata Updates neno kwa neno kadiri mzungumzaji atakavyosema. Na bila shaka wewe ni mmoja wa wazungumzaji au wachokoza Mada.

BACK TANGANYIKA
 
Ukiwa team Lowasa kweli una andika kwa haraka mno . Leo ni May 3 ?
Nadhani umefanya haraka kuandika badala ya kutafakari. Ameeleza bayana kuwa siku hiyo ni Mei 3 na hapa Tanzania inasherehelewa kwa siku mbili kwa maana Mei 2 na Mei 3. Kipi hujaelewa? Ingawa namchukia kwa kuwa Team Lowasa, ila kwa hili yupo sahihi
 
waste of resources

hivi hamuna la kufanya?

mmeshindwa kufanya soul searching kujua kwa nini GREAT THINKERS karibuni wote wameondoka JF. Anzeni na hilo kisha jueni kuwa dunia ya sasa ni twitter na anonymous leaking websites na sio huu mtambo wa uSALAMA WA tAIFA

HEBU TUPUMZISHENI
 
Pole sana Mkuu. Usalama wa Taifa wanaingiaje humu? Mbona sisi wengine si wana Usalama wa Taifa lakini tunapata uhuru wa kuandika kwa kadri ya uwezo wetu?
 
Ukiwa team Lowasa kweli una andika kwa haraka mno . Leo ni May 3 ?

Mkuu Lunyungu, Taratibu mkuu tusiaibishane tafadhari mbona wewe ni Kamanda mzoefu wa mada mbali mbali hapa ndani?

Pasco amesema sherehe hizo zinaadhimishwa kwa siku Mbili mfululizo, mean zinaanza leo na kilele chake kitakuwa hapo kesho. Sasa mbona hili ni rahisi sana kueleweka mkuu? Leo imekuwaje tena?

BACK TANGANYIKA
 
Ukiwa team Lowasa kweli una andika kwa haraka mno . Leo ni May 3 ?
What has Team Lowassa got to do with this?!. Usije ukawa unazeeka vibaya!. Soma headline, leo ni day 1. Kesho ni day 2 ndio kilele!.

By the way, I'm seated next to Aboubakar Liongo, hivyo kama una issue yoyote unayotaka attention ya our next presidaa, unaweza kunieleza itamfikia!.

Pasco
 
Pole sana Mkuu. Usalama wa Taifa wanaingiaje humu? Mbona sisi wengine si wana Usalama wa Taifa lakini tunapata uhuru wa kuandika kwa kadri ya uwezo wetu?

Uhuru gani wa kutoa habari wakati mna sensor majina na mtandao wa KUBE-NEA? mmekuwa vinara wa kulalamika kuhusu freedom of speech huku wenyewe mna practise udikteta. Kuhusu usalama hata mimi pia ni usalama kama wewe ndio maana nikasema kuwa huu ni mtambo wetu lakini tofauti ya mimi na wewe mimi nasema ku sensor issues mbali mbali kama kashfa ya TRILIONI 3 na ku ondoa threads ambazo ziko critical kwa Reginald Mengi hamumsaidii mtu.

Kwani wee uko kitenga kipi hapa uslama atiii eeeh?
 
Mkuu Lunyungu, Taratibu mkuu tusiaibishane tafadhari mbona wewe ni Kamanda mzoefu wa mada mbali mbali hapa ndani?

Pasco amesema sherehe hizo zinaadhimishwa kwa siku Mbili mfululizo, mean zinaanza leo na kilele chake kitakuwa hapo kesho. Sasa mbona hili ni rahisi sana kueleweka mkuu? Leo imekuwaje tena?

BACK TANGANYIKA
Mkuu respect wa boda, Mzee Lunyungu, huenda uzee unaanza kumpeleka peleka, hizo ni dalili za 'early stages of mind incapacitation'.
Pasco
 
Pasco wa jf ni mwandishi wa kujitegemea kwa kujitolea, hawakilishi chombo chochote, wala habari zake hazipeleki kwenye chombo chochote maalum cha habari, bali huzileta humu jf tuu, tena bure!.

Pasco

endelea kujitolea huku ukiongeza ujuzi maana yule Jamaa yako akipita tu heunda ukakikaa kile kitengo adimu pale kwenye jumba jeupe
 
Maxence Mello wa Jamiiforums anashuka na nondo mbaya kuhusu usalama wa Mitandao. Anapigiwa makofi kwa sana.

Pasco
 
Back
Top Bottom