Sababu ya kung'ang'ania Muungano kwa ndugu zetu wa Tanganyika (Tanzania bara)

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,944
3,820
Yaani kama haki itachukua Mkondo wake, basi Matanganyika watakuwa hawana hata ufukwe, mnatakiwa muwaheshimu sana watu wa Zanzibar.

Na ndio sababu wanasema wataulinda Muungano, Sasa Rais Samia akiridhia kuirudishia Zanzibar ukanda wake, mtamfanya nini,yeye ndio Mkuu wa majeshi, yeye ndio Rais, yeye ndio Mwenyekiti, yaani akifanya Umagufuli tu hapo, mambo poa.

Tuchukulie Magufuli angewarudishia WaZanzibar huo Ukanda wa kijani kuna mtu hapa Tanganyika angesema kwin'yooo?

1620019609636.png
 
Kama Mombasa na Malindi hazikurudishwa Zanzibar sahau kuhusu Dar es Salaam, Tanga, Lindi na Mtwara. Hii tunaita ndoto ya mchana kweupe kabisa, hata muungano ukivunjika muda huu ukanda wote wa Pwani utabaki Tanganyika.
 
Ukanda upi? huo ukanda ulikuwa wa sultani. Sultani alitimulia na wazungu na mipaka mipya ikawekwa mipaka ya mwisho waliyoacha wakoloni ndio ambayo inatumik sasa hivi kwa nchi zote za Afica

Hicho unachdai kama kingekuwa ni kweli basi mgedai na Pwani ya Mombasa na Lamu, lakini hamuwzi kuidai, sababu mipaka ya mwisho aliyoacha Mwingereza Mombasa na Lamu zilikuwa sehemu ya Kenya

Pia na sisi Tanganyika tungeweza kudai Rwanda na Burundi sababu pia ilikuwa ni sehemu ya Tanganyika kipindi cha mjerumani, lakini hatuwezi sababu mipaka ya Mwisho aliyoacha Mwingireza Rwanda na Burundi hazikuwa sehemu yetu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nyie endeleeni kutubamiza tu,yaani hapa Mheshimiwa Magu arudi leo kutoka alipo kusikojulikana, halafu aseme ametumwa na Bwana airudishie Zanzibar sehemu yake, nina uhakika mtakubali na kufanya sherehe, Magufuli alikuwa kiboko ya Watanganyika mpala saa wakisikia jina tu basi wanalegea kabisa.

Yule kiumbe mwisho tukubali yusikubali hio sehemu ni ya Zanzibar,mnawaonea kwa vile wanakula mbatata za urojo tu,ila zikiwaruka wanaweza kukiwasha!
 
1. Kwa hiyo wakati Tanganyika inapata uhuru wake 1961 Dar es salaam ilikuwa sehemu ya Zanzibar?
2. Je ushawah sikia au kusoma kitu kinaitwa Berlin conference of 1884?
3. Je unafahamu Helgoland-Zanzibar treat ya 1890 ilisema nini?

Mkuu soma vizuri historia before kufanya trivial conclusion....
Mikataba ipo na watu wanayo ,msiyatafute maana yakiwekwa kwenye mezani na haki kutendwa mtaumbuka,ni bora tukae kimya tu,msilete ujuwaji.
 
Yaani kama haki itachukua Mkondo wake,basi watanganyika watakuwa hawana hata ufukwe,mnatakiwa muwaheshimu sana watu wa Zanzibar. Na ndio sababu wanasema wataulinda Muungano, Sasa Raisi Samia akiridhia kuirudishia Zanzibar ukanda wake ,mtamfanya nini,yeye ndio Mkuu wa majeshi,yeye ndio Raisi ,yeye ndio Mwenyekiti ,yaani akifanya Umagufuli tu hapo ,mambo poa,

Tuchukulie Magufuli angewarudishia WaZanzibar huo Ukanda wa kijani kuna mtu hapa Tanganyika angesema kwin'yooo ???

View attachment 1771823
Chadema watabisha
 
Hakuna sababu zenye mashiko inawezekana mashiko yalikuwepo miaka ya 60 lakini kwa karne hii ya 21 ukitoa sababu hzo kila mtu atakuona rabda umefufuka leo au ulikuwa jera ndo umetoka leo
 
Sawa, tutamwambia tu kwa ustaarabu, njooni basi mtuondoshe kwa nguvu!
 
Mikataba ipo na watu wanayo ,msiyatafute maana yakiwekwa kwenye mezani na haki kutendwa mtaumbuka,ni bora tukae kimya tu,msilete ujuwaji.
Hujui unachokisema wewe.
Kama huo mkataba unao na upo tofauti na tuliosoma sisi uweke hapa jukwaani tuujadili. Otherwise utakuwa unaongozwa na hisia zaidi kuliko facts.
 
Yaani kama haki itachukua Mkondo wake,basi watanganyika watakuwa hawana hata ufukwe,mnatakiwa muwaheshimu sana watu wa Zanzibar. Na ndio sababu wanasema wataulinda Muungano, Sasa Raisi Samia akiridhia kuirudishia Zanzibar ukanda wake ,mtamfanya nini,yeye ndio Mkuu wa majeshi,yeye ndio Raisi ,yeye ndio Mwenyekiti ,yaani akifanya Umagufuli tu hapo ,mambo poa,

Tuchukulie Magufuli angewarudishia WaZanzibar huo Ukanda wa kijani kuna mtu hapa Tanganyika angesema kwin'yooo ???

View attachment 1771823
Yaani rais wa Tanzania awape Zanzibar pwani ya Mombasa hadi Lamu?
Kesho yake tu asubuhi tutausikia huu muziki huku kitu kikipepea nusu mlingoti
 
Yaani kama haki itachukua Mkondo wake,basi watanganyika watakuwa hawana hata ufukwe,mnatakiwa muwaheshimu sana watu wa Zanzibar.

Na ndio sababu wanasema wataulinda Muungano, Sasa Raisi Samia akiridhia kuirudishia Zanzibar ukanda wake ,mtamfanya nini,yeye ndio Mkuu wa majeshi,yeye ndio Raisi ,yeye ndio Mwenyekiti ,yaani akifanya Umagufuli tu hapo ,mambo poa.

Tuchukulie Magufuli angewarudishia WaZanzibar huo Ukanda wa kijani kuna mtu hapa Tanganyika angesema kwin'yooo ???

Ukoloni! Ukoloni! turudi huko???
 
Mikataba ipo na watu wanayo ,msiyatafute maana yakiwekwa kwenye mezani na haki kutendwa mtaumbuka,ni bora tukae kimya tu,msilete ujuwaji.
Hata mkataba wa Muungano upo lkn Rais wa Zanzibar hakutia sain Unasema he,?
Walotengeza hiyo mkataba pmj na Nyinyi nyote wivu na kuiogopa dola lililo piga hatua kubwa la Zanzibar
 
Yaani kama haki itachukua Mkondo wake,basi watanganyika watakuwa hawana hata ufukwe,mnatakiwa muwaheshimu sana watu wa Zanzibar.

Na ndio sababu wanasema wataulinda Muungano, Sasa Raisi Samia akiridhia kuirudishia Zanzibar ukanda wake ,mtamfanya nini,yeye ndio Mkuu wa majeshi,yeye ndio Raisi ,yeye ndio Mwenyekiti ,yaani akifanya Umagufuli tu hapo ,mambo poa.

Tuchukulie Magufuli angewarudishia WaZanzibar huo Ukanda wa kijani kuna mtu hapa Tanganyika angesema kwin'yooo ???

Acha ukenge
 
Back
Top Bottom