Kwanza nieleze kiitikadi mimi CCM (mshabiki), ila u-CCM wangu haunizuii kuona mabaya/mazuri au 'mazurimabaya' ya chama changu au chama kingine.
Chadema ni chama cha upinzani tena kikuu lakini...
Habari wanajukwaa. Naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye mada, Kuna baadhi ya Wabunge wakiwa wanachangia mijadala kadhaa pale bungeni (hasa katika bunge hili la bajeti) Mbunge anaweza kuwa...
Inawezekana ni kweli kwamba Watanzania ni wajinga na hawatunzi kumbukumbu kutokana na ujinga wao , lakini siamini kama watu hawa ni mbumbumbu kiasi cha kudanganywa kibwege namna hii.
Na. M. M. Mwanakijiji
Nilisimuliwa kisa hiki nikiwa maeneo ya Maramba huko Muheza Mkoani Tanga mwanzoni mwa miaka ya themanini. Ni kisa cha mchuuzi wa maembe ambaye alikuwa ananunua maembe kutoka...
Bunge ni chombo cha uwakilishi wa wananchi kwa mujibu wa katiba. Ndicho chombo kinacho tunga sheria kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano.
Kwa maana ieleweke wazi kuwa sheria iliyo tungwa...
Ndugai siyo Mahakama kuwa inahitaji ushahidi kama alivyodai. Yeye anachotakiwa kuthibitisha ni kuwa barua aliyopokea imetokea Chadema na kufuata sheria an kanuni na taratibu za kuandika barua hiyo...
Naona kama Spika wa bunge la JMT anakosa hoja na kuweweseka. Hivi baraza kuu la Chadema ndio huvukuza wanachama?
Ndio kusema Spika Ndugai anajikita kuwatetea akina Halima kwa kudai Katiba ya...
Wahenga walishasema siku zote adui yako muombee njaa, pia wakasema wakati wa shida ndiyo muda wa kujipatia fursa kwa wenye uelewa mkubwa.
Baada ya Chadema kupitia mwenyekiti wake kutangaza...
Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro ametembelea jimbo la Hai lililotelekezwa na Freeman Mbowe tangu uchaguzi wa 2015!
Jerry Muro amepata mapokezi makubwa kutoka kwa wananchi wa jimbo hilo na...
Amani iwe kwenu.
Wakati katibu mkuu wa chadema akiwa Vincent Mashinji ,bavicha walimbatiza jina la katibu mkuu bubu na wakaanza kampeni ya kumshikiza mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe afanye...
Siku chache zilizopita, Naibu Spika, Tulia alisiika akisema Bunge halina taarifa rasimi ya wanaoitwa Wabunge wa CHADEMA kuvuliwa uanachama, akimanisha wao kama Bunge hawajapata barua kutoka kwa...
Wanabodi kwa muda sasa namfuatilia Mwanasiasa Lazaro Nyalandu.
Binafsi namuona kama Mwanasiasa ambaye anaamini katika Utu, Ubinadamu na haki na amesimamia anachokiamini popote alipo.
Nimemuona...
Hapa nchini tuna jumuia kubwa ya wananchi wenzetu ambao wana Asili ya India, miongoni mwao huwa wanasafiri kwenda na kurudi Ibdia kwa shughuli za kijamii, kibiashara na Kidini.
Na tunajua kuwa...
This comes in the backdrop of reports of growing number of infection within the diplomatic community in the capital.
A Tanzanian official based here has become the first foreign diplomat to die...
Iliitwa Bongoland sababu ili ukae Bongo lazima utumie akili.
Sasa kwa akili za kawaida Nyalandu anaushawishi gani wa kisiasa mpaka kurudi kwake CCM iwe siku ya mkutano mkuu?
Kwamba hii leo...
Kwanza kabisa watanzania wanatakiwa kutambua kuwa kila mtanzania anayo haki ya kupata mshahara unaostahili kukidhi mahitaji ya msingi. Ibara ya 23(2) imetamka wazi kuwa watanzania wanaofanya kazi...
Katiba mbovu imesababisha ubovu wa mifumo ya nchi angalia Ndungai anavyo leta aibu bungeni.
Analia Nguvu aliyonayo Rais wa Tanzania na akifanya liwe baya liwe zuri hakuna wa kuhoji chochote...
Haya ndiyo mambo tunataka kusikia Rais wa nchi aki-deal nayo, viva sana Magufuli
The fate of the Kenyatta-family owned milk processing firm Brookeside Ltd in the Tanzanian market has been...
Sasa ni rasmi, ubwabwa kutolewa wakati wa kampeni ni rushwa kwa wapiga kura.
TAKUKURU imetamka rasmi kuwa kuwapa watu ubwabwa, wale wanaovutwa kuja kwenye kampeni za Hashim Rungwe, ni moja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.