Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeona wapinzani wetu wanamshangilia Rais Samia kuwaalika waingie Serikalini. Bila shaka, Mama atawateua wale wapinzani wenye majina makubwa kwa malengo fulani ya kisiasa, pamoja na kuunda umoja...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wanajukwaa. Ndugu zangu kwanza nitaanza kwa ku declear interest kwamba mimi ni mwana CCM ambae nilikuwa simuungi na sikubaliani na hayati Magufuli bila...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwako Mh.Rais sisi wananchi wa kawaida tunakuombea sana kwa Mungu mwingi wa rehema akuongoze katika kuliongoza taifa letu. Unapoendelea kupanga safu yako ya kukusaidia kuongoza, natamani kuona...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimetafakari sana visa vingi vinavyofanywa na vilivyowahi kufanywa na watawala kwa wananchi wa Tanzania. Vuta picha askari polisi wanavyonyanyasa raia katika mambo mbalimbali halafu hawarushiwi...
3 Reactions
5 Replies
982 Views
Enzi za JK ilikuwa hivi hivi umeme unakatwa makusudi, watu wanafanya yao manually wanapiga pesa. Ipo siku mtanikumbuka in JPM voice.
7 Reactions
91 Replies
9K Views
Asalaam Aleykum Wasomaji wa JFs. Kwanza nitoe pongezi za awali kwa Mh Samia Suluhu kwa namna alivyoanza kuongoza nchi yetu ambayo kwa namna moja ama nyingine ilikuwa unapoteza mwelekeo chini ya...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Mjadala wa Simba na Yanga umehamisha mjadala mkali uliokuwa ukiendelea juu ya uhalali wa Rais ambaye siye waziri wa Nishati na wala si mwanasheria mkuu wa serikali wala hatujaona anawashirikisha...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nianzie mbali kidogo ili hoja yangu ieleweke. Historia ya mtu mweusi kutamani kuukwaa urais wa Marekani haijaanza na Obama. Mnamo 1848, Frederick Douglass alikua mgombea wa kwanza wa urais wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar wana JF Tulikua tumezoea kuona viongozi wa Tanzania wakiishi maisha flani ivi ambayo hayaendani kabisa na Watanzania ambao wamemchagua na kumpa wadhifa flani Lakini kwa Rais Magufuli ni...
9 Reactions
111 Replies
13K Views
Rais wetu wa JMT ni raisi ambae amebahatika kuwa na mvuto ambao kwa hakika hatujawahi kuwa na Rais ambae anakubalika na makundi yote haswa baada kuanzishwa kwa vyama vingi hapa nchini . Mvuto wa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Chozi la mnyonge halina thamani? Hapana Mungu huwa analiona. Kwa nini Hugo Chavez na Hayati Magufuli waliliwe na wanyonge kiasi cha kushangaza dunia? Mbona George Bush snr hakuliliwa na...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Hakika inashangaza na kustajabisha kwanini spika aliyeapa kuulinda na kuitumikia katiba ya nchi leo ndio anakuwa kiongozi tena wa mhimili anaivunja Katiba kwa makusudi na kuteteta uvunjaji wake wa...
8 Reactions
42 Replies
4K Views
Leo Mama Samia amenikosha Sana, Kuna kundi kubwa la watanzania na hili halipo kwenye utumishi wa umma. Wengi wafanyakazi wa umma wapo mitandaoni kupiga soga la kuongezewa mishahara, Ila hakuna...
12 Reactions
78 Replies
9K Views
Tanzania na Kenya zimekubaliana kushirikiana kuondoa vikwazo vya biashara na kufungua milango Zaidi ya kuwekeza na kuinua uchumi baina ya nchi zote mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa kufuatia...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ikiwa serikali inasema kipaumbele kwenye ajira 6000 zilizotangazwa na Rais, Samia kuwa ni walimu waliojitolea, mkuu wa mkoa wa Katavi bw. Juma Homera, amewahi kupiga marufuku walimu hao kufundisha...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
"Je! Unafikiri China inasubiri kuwekeza katika miundombinu yake ya dijiti au utafiti na maendeleo? Ninawaahidi, hawasubiri," Bwana Biden alisema katika hotuba yake Jumatano. Bwana Biden alisema...
0 Reactions
2 Replies
774 Views
Tanzania yetu ya watanzania ina Watanzania wenzetu ambao ni viongozi wa ajabu Sana katika utendaji wao wa shughuli za kila siku. Huwezi kuwajua misimamo yao imesimamia wapi Wala ukitazama vision...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa namna ninavyosikiliza hotuba za Rais Samia halafu tungekuwa na Spika asifungamana na siasa za kishabiki kama Zungu wa Ilala hakika uchumi ungepaa. Mambo ya kila siku kuisema Chadema na Mbowe...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
*CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA). TAARIFA KWA UMMA- KUHUSU KAULI YA KUFEDHEHESHA ILIYOTOLEWA NA RAIS WA TFF* Tumepokea kauli yenye ukakasi mkubwa iliyotolewa na Rais wa Chama cha Mpira...
30 Reactions
59 Replies
9K Views
Wote ni mashuhuda wa mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya Watanzania wenzetu waliojipa hadhi ya Ukimbizi hewa ughaibuni. Kiuhalisia hawa siyo wakimbizi bali ni wahalifu walioamua kukimbia...
9 Reactions
64 Replies
10K Views
Back
Top Bottom