Mvuto wa Rais wetu ni faida kwa Taifa

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,023
2,553
Rais wetu wa JMT ni raisi ambae amebahatika kuwa na mvuto ambao kwa hakika hatujawahi kuwa na Rais ambae anakubalika na makundi yote haswa baada kuanzishwa kwa vyama vingi hapa nchini .

Mvuto wa Rais wetu kimsingi umechangiwa na vitu vingi kama vile ;Sura yake ,rangi ,na Sauti yake isoyonesha punje ya hasira pale anapongea.

Mvuto wa mama utumike kujenga taifa letu la JMT kwa kuwa uhalisia unaonyesha kwamba watu wenye mvuto huwa wana hulka ya kusikilizwa saaana.Na kwa kusikilizwa kwao ni rahisi sana kuangamiza au kuinua jamii inayomzunguka ,mifano ipo mengi kama kule ujerumani aliwahi kutokea kiongozi mwenye mvuto na mataokea yake si tu aliingiza ujerumani kwenye matatizo bali alisababisha vitu kuu ya pili ya dunia.

Kwa muktadha huo,sio siri kuwa Watanzania wamekuwa wanafuata mkumbo saana hata pale ambapo wanapolazimishwa au kuelezwa chochote kile na wanasiasa ambayo hata kama hawana mvuto kama alionao Rais yetu mpendwa mama Samia.

Hivyo mama,tunakuomba utumia kupendwa kwako kusaidie kulelimisha Watanzania mambo ya kimsingi hata kwa family level mfano,
1.Umuhimu wa kusomesha watoto na haswa wa jinsia ya kike
2.Umuhimu kwa vijana kuwa na makundi yanayowajenga na si makundi ya walevi
3:Umuhimu wa vijana kuamini katika juhudi na maarifa then Sala
4:Umuhimu wa vijana kujenga tabia ya kuwa na savings kwa wale wenye vipato
5: Umuhimu wa kuamini kwenye sayansi na si vinginevyo.

Mama utakuwa umesaidia sana familia nyingi na jamii yote kwa ujumla kwa kuwaindoa kwenye fikra potofu kama vile kuna matunda yana wadudu hivyo hayafai kuliwa na binadamu
 
Mvuto wa Rais wetu kimsingi umechangiwa na vitu vingi kama vile ;Sura yake ,rangi ,na Sauti yake isoyonesha punje ya hasira pale anapongea.
 
Mvuto wa Rais wetu kimsingi umechangiwa na vitu vingi kama vile ;Sura yake ,rangi ,na Sauti yake isoyonesha punje ya hasira pale anapongea.

Sent using Jamii Forums mobile app

2766199_FB_IMG_1620411212769.jpg
 
Habari .

Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za Chadema wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji.
Kuna group linaitwa Chadema in blood kule facebook yani kila wanachopost ni kutukanwa tu na watu, huko instagram ndiyo balaa kabisa, njoo Jamii forum hali ni hiyo hiyo!

Nimeangalia comments za kwenye hotuba ya Mbowe aliyoitoa akisema vibaya utawala wa hayati Magufuli, kwa kweli ni huzuni raia walivyomtukana Mbowe. Swali la kujiuliza Chadema imefikaje huku?
Enzi za Dr Slaa ulikuwa unavaa gwanda la Chadema kwa maringo yote ,leo tuvae kwa aibu ya kujifichaficha?
Je, Tundu Lissu ameharibu image ya chama baada ya kuanza kutetea mabeberu?
Je, ni Mbowe ameharibu image ya chama baada ya kuwa anaangushwa na konyagi anasingizia amepigwa na wasiojulikana?, au ule uongo wake wa kuibia familia inapompeleka mahakamani anasingizia amefungiwa akaunti zake na serikali??

Kiukweli inahitajika tathimini ya haraka sana kuikoa na kuirudisha Chadema kwa wananchi ili waiamini tena kama zamani.
 
Mvuto wa mama na wa kuzaliwa ,nyie binadamu hamtaweza kuuondoa hata kidogo
Mapema mno kusema ana mvuto. Ni ngumu kujua rangi halisi ya mama ndani ya muda mfupi. Usije shangaa baada ya mwaka mmoja mvuto wote ukawa "Mhaho"
it
 
Back
Top Bottom