Serikali iandae hati maalumu kuwakamata & kuwarejesha nchini wahalifu Ansbert Ngurumo, Tundu Lissu na Godbless Lema

Uzalendo Wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
739
1,000
Wote ni mashuhuda wa mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya Watanzania wenzetu waliojipa hadhi ya Ukimbizi hewa ughaibuni.

Kiuhalisia hawa siyo wakimbizi bali ni wahalifu walioamua kukimbia mkono wa Sheria kama walivyo wahalifu wengine.

Wahalifu hawa wakiongozwa na Vinara Wakuu Ansbert Ngurumo, Tundu Lissu ,& Godbless Lema wameichafua nchi yetu kupitia mitandao ya Kijamii, kufanya ziara kwa Nchi Wahisani, kutembelea ofisi za Mashirika au Taasisi kubwa za Kimataifa n.k

Huko kote wanapeleka taarifa za uongo, uzushi & kupotosha kuhusu yale yanayofanywa na Serikali ya Tanzania

Wahalifu hawa waliokosa Uzalendo na kuongozwa na maslahi binafsi wamefikia hatua ya kumtukana, kumkashifu na kumbeza Rais wetu mpendwa Mhesh Dkt John Pombe Magufuli.

Niombe Serikali ya Tanzania ianzishe mchakato wa kupata hati maalumu (International arrest warrant) kwa kushirikiana na Polisi wa Kimataifa - Interpol ili wahalifu hawa wakamatwe, kurejeshwa nchini na kushtakiwa mujibu wa sheria.

Waziri wa Mambo ya Nje & Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi, imetosha!

Hkuna sababu ya kukaa kimya huku taswira ya nchi yetu na Rais mpendwa ikichafuliwa machoni pa Jumuiya ya Kimataifa.

Viva Tanzania
Viva Rais Dkt John Magufuli
 
SUASO

JF-Expert Member
Oct 19, 2017
738
1,000
Umeshalipwa buku saba zako?

Unapimaje kiwango Cha uzalendo? Uhalifu wao ukoje?

Washughulikieni wahalifu walipo haribu uchaguzi mkuu, Kura feki, tume feki ya CCM, walioiba pesa huko chato, pesa zilizotumika kujenga kiwanja Cha ndege chato zilipitia Bunge gani? Manunuzi ya ndege yalipitiwa na Bunge?

Ujenzi wa standard gauge na hydroelectric power kule mto ruhaa nani amepitisha bajeti?

Je haya hayagharimu nchi yetu?
 
sifongo

JF-Expert Member
Jun 5, 2011
4,896
2,000
Kwanini kila kitu iwe kukamatana, kushtakiana na kuwekana ndani, kama ni uzushi si unakanusha tu na kuacha wananchi waamue, wenye akili wataona kama hao jamaa ni wazushi au kuna hoja ndani yake, mi nadhani Serikali ina mambo mengi ya kufanya kuliko kukimbizana na Raia wake ( Wazushi kama ukivyowaita)
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
28,160
2,000
Corona inatosha itamalizana nao huko waliko sababu wameifuata wenyewe haikuwaandikia barua kuwa njooni

Wakaondoka wenyewe nchi tusiovaa barakoa wakaenda kwenye Corona kwa wavaa barakoa
 
Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
2,387
2,000
88="Uzalendo Wa Kitanzania, post: 38222705, member: 586859"]
Wote ni mashuhuda wa mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya Watanzania wenzetu waliojipa hadhi ya Ukimbizi hewa ughaibuni.

Kiuhalisia hawa siyo wakimbizi bali ni wahalifu walioamua kukimbia mkono wa Sheria kama walivyo wahalifu wengine.

Wahalifu hawa wakiongozwa na Vinara Wakuu Ansbert Ngurumo, Tundu Lissu ,& Godbless Lema wameichafua nchi yetu kupitia mitandao ya Kijamii, kufanya ziara kwa Nchi Wahisani, kutembelea ofisi za Mashirika au Taasisi kubwa za Kimataifa n.k

Huko kote wanapeleka taarifa za uongo, uzushi & kupotosha kuhusu yale yanayofanywa na Serikali ya Tanzania

Wahalifu hawa waliokosa Uzalendo na kuongozwa na maslahi binafsi wamefikia hatua ya kumtukana, kumkashifu na kumbeza Rais wetu mpendwa Mhesh Dkt John Pombe Magufuli.

Niombe Serikali ya Tanzania ianzishe mchakato wa kupata hati maalumu (International arrest warrant) kwa kushirikiana na Polisi wa Kimataifa - Interpol ili wahalifu hawa wakamatwe, kurejeshwa nchini na kushtakiwa mujibu wa sheria.

Waziri wa Mambo ya Nje & Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi, imetosha!

Hkuna sababu ya kukaa kimya huku taswira ya nchi yetu na Rais mpendwa ikichafuliwa machoni pa Jumuiya ya Kimataifa.

Viva Tanzania
Viva Rais Dkt John Magufuli
[/QUOTE]
Sii wale waliosababisha kukimbia nchi.
 
share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
5,672

Hujakua. Ukikua utaacha ujinga na utoto huu. Hujitambui bado dogo. Pumbavu we. Hajatahiriwa ubongo.
 
MAGALEMWA

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
6,268
2,000
Wote ni mashuhuda wa mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya Watanzania wenzetu waliojipa hadhi ya Ukimbizi hewa ughaibuni.

Kiuhalisia hawa siyo wakimbizi bali ni wahalifu walioamua kukimbia mkono wa Sheria kama walivyo wahalifu wengine.

Wahalifu hawa wakiongozwa na Vinara Wakuu Ansbert Ngurumo, Tundu Lissu ,& Godbless Lema wameichafua nchi yetu kupitia mitandao ya Kijamii, kufanya ziara kwa Nchi Wahisani, kutembelea ofisi za Mashirika au Taasisi kubwa za Kimataifa n.k

Huko kote wanapeleka taarifa za uongo, uzushi & kupotosha kuhusu yale yanayofanywa na Serikali ya Tanzania

Wahalifu hawa waliokosa Uzalendo na kuongozwa na maslahi binafsi wamefikia hatua ya kumtukana, kumkashifu na kumbeza Rais wetu mpendwa Mhesh Dkt John Pombe Magufuli.

Niombe Serikali ya Tanzania ianzishe mchakato wa kupata hati maalumu (International arrest warrant) kwa kushirikiana na Polisi wa Kimataifa - Interpol ili wahalifu hawa wakamatwe, kurejeshwa nchini na kushtakiwa mujibu wa sheria.

Waziri wa Mambo ya Nje & Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi, imetosha!

Hkuna sababu ya kukaa kimya huku taswira ya nchi yetu na Rais mpendwa ikichafuliwa machoni pa Jumuiya ya Kimataifa.

Viva Tanzania
Viva Rais Dkt John Magufuli
Wewe ni mpumbavu kama unayemtetea.
1. Hao hawakutoroshwa kama unavyojinasibu mfano Tundu Lissu alipitia uwanja wa ndege Dar.
2. Kukubaliwa na nchi waliko kumezingatia taratibu zote za kiusalama za kimataifa.
4. Mtu wako ndiye wakukamatwa maana ameua wengi akiwemo Ben Saanane. Azory Gwanda, na makuni wengine kama siyo mamia.
5. Kwa kusigina katiba kavunja haki za msingi za binadamu labda za kwako hajazivunja.
6. Amebana mihimili yote ya utawala ili aitumie binafsi kutunga sheria za hovyo kuwaihi kutokea duniani.

Najua ni kwa upumbavu unatetea au umetumwa kutetea kwa maslahi ya wapumbavu wenzio.

SASA ANZENI HIYO MICHAKATO YENU MUONE MTAKAPOISHIA.
 
Rhz4567

JF-Expert Member
Mar 16, 2018
2,857
2,000
Wote ni mashuhuda wa mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya Watanzania wenzetu waliojipa hadhi ya Ukimbizi hewa ughaibuni.

Kiuhalisia hawa siyo wakimbizi bali ni wahalifu walioamua kukimbia mkono wa Sheria kama walivyo wahalifu wengine.

Wahalifu hawa wakiongozwa na Vinara Wakuu Ansbert Ngurumo, Tundu Lissu ,& Godbless Lema wameichafua nchi yetu kupitia mitandao ya Kijamii, kufanya ziara kwa Nchi Wahisani, kutembelea ofisi za Mashirika au Taasisi kubwa za Kimataifa n.k

Huko kote wanapeleka taarifa za uongo, uzushi & kupotosha kuhusu yale yanayofanywa na Serikali ya Tanzania

Wahalifu hawa waliokosa Uzalendo na kuongozwa na maslahi binafsi wamefikia hatua ya kumtukana, kumkashifu na kumbeza Rais wetu mpendwa Mhesh Dkt John Pombe Magufuli.

Niombe Serikali ya Tanzania ianzishe mchakato wa kupata hati maalumu (International arrest warrant) kwa kushirikiana na Polisi wa Kimataifa - Interpol ili wahalifu hawa wakamatwe, kurejeshwa nchini na kushtakiwa mujibu wa sheria.

Waziri wa Mambo ya Nje & Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi, imetosha!

Hkuna sababu ya kukaa kimya huku taswira ya nchi yetu na Rais mpendwa ikichafuliwa machoni pa Jumuiya ya Kimataifa.

Viva Tanzania
Viva Rais Dkt John Magufuli
Mimi binafsi nawasifu Sana Kwa kuichafua serikali ya sasa.
Nidhahiri serikali yasasa inamauchafu mengi ndy mana inachafuliwa

Pia Tundu lissu alishasema haichafui Tanzania Bali anawachafua viongozi wa ccm

Halafu suala la kumkamata Tundu lissu lilisha washinda aliwachafua Sana huku ung'aibuni na alikuja Tz akafanya kampeni mikoa yote na aliwachafua kwelikweli na akaondoa mchana kweupe kwanini hawakumkamata pale JKN airport?
 
pilipili--mbuzi

JF-Expert Member
Dec 2, 2020
1,120
2,000
Wote ni mashuhuda wa mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya Watanzania wenzetu waliojipa hadhi ya Ukimbizi hewa ughaibuni.

Kiuhalisia hawa siyo wakimbizi bali ni wahalifu walioamua kukimbia mkono wa Sheria kama walivyo wahalifu wengine.

Wahalifu hawa wakiongozwa na Vinara Wakuu Ansbert Ngurumo, Tundu Lissu ,& Godbless Lema wameichafua nchi yetu kupitia mitandao ya Kijamii, kufanya ziara kwa Nchi Wahisani, kutembelea ofisi za Mashirika au Taasisi kubwa za Kimataifa n.k

Huko kote wanapeleka taarifa za uongo, uzushi & kupotosha kuhusu yale yanayofanywa na Serikali ya Tanzania

Wahalifu hawa waliokosa Uzalendo na kuongozwa na maslahi binafsi wamefikia hatua ya kumtukana, kumkashifu na kumbeza Rais wetu mpendwa Mhesh Dkt John Pombe Magufuli.

Niombe Serikali ya Tanzania ianzishe mchakato wa kupata hati maalumu (International arrest warrant) kwa kushirikiana na Polisi wa Kimataifa - Interpol ili wahalifu hawa wakamatwe, kurejeshwa nchini na kushtakiwa mujibu wa sheria.

Waziri wa Mambo ya Nje & Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi, imetosha!

Hkuna sababu ya kukaa kimya huku taswira ya nchi yetu na Rais mpendwa ikichafuliwa machoni pa Jumuiya ya Kimataifa.

Viva Tanzania
Viva Rais Dkt John Magufuli
Njaa mbaya sana.
Lakini si teuzi zimeisha, baba yenu aliwaambiaga.
 
Kabla ya kumkamata,waambie watwambie waliompiga risasi ni akina nani?
Serikali imeshindwa kuwakamata???
Ha ha ha ha. Wewe ni kilaza sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom