Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Msafara wa Bawacha unatarajiwa kuondoka Geita kesho asubuhi kuelekea bungeni Dodoma kumshinikiza Spika Ndugai awatimue bungeni akina Halima Mdee na wenzake. Ni msafara wa mabasi kadhaa ambapo...
16 Reactions
80 Replies
7K Views
JULIUS KBARAGE NYERERE Mwalimu Nyerere aliwahi kutamka kuwa katiba tuliyo nayo ni mbaya kwa sababu inamfanya Rais kuwa Mungu mtu. Akaonya pia kuwa siku akitokea Rais mbaya, nchi itajuta kwa...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Muda ni Matokeo kwa Mwenendo wa boss lady kuna kura ya kutokuwa na imani itafuata muda si rafiki labda aweke kinga zake vizuri... na kimbunga jobu ataonekana Shujaa haswa... japo anaukichaa time...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Wandugu kwa kuwa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ameonyesha uungwana kwa kukubali kukutana na vyama vya upinzani kwa maslahi mapana ya nchi, tayari ameshakutana na wazee wa Dar es Salaam...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wadau Tanzania ni nchi tajiri sn na usije ukajidanganya kuwa setikal haina hela serikal hela inazo sema ziko chemba kwa matumiz ya watu fulani fulan na maelekezo kutoka juu. Mwinyi kapewa...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, amesema kuwa jana walizuia mkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kwa lengo la kumlinda yeye pamoja na waandishi, kutopata maambukizi ya...
5 Reactions
22 Replies
5K Views
Mheshimiwa juma awesso waziri wa maji nakuomba fuatilia miradi ya maji iliyojengwa awamu za nyuma na kukabithiwa bodi za Kijiji inachezewa Sana na Hawa viongozi. Miradi ambayo Ni mizuri Ni hii...
1 Reactions
0 Replies
648 Views
Leo imenibidi niliongee hili ili niae huru kwa maana moyo unauma kuona uongo uzushi chuki na fitna kwa Mama Samia. Ninaona ni kama watu wamejipa ajira ya kudumu ya kukosoa maraisi. Kukosoa sio...
6 Reactions
79 Replies
5K Views
Askofu mkuu wa Kanisa la KKKT nchini Dr Shoo ameiomba serikali ya Rais Samia kuwapunguzia kodi katika shule na hospitali za taasisi za kidini kwani mxigo wa kodi ni mkubwa na umewaelemea. Askofu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Taarifa zaidi zitawajia hivi punde ===== Hii ni baada ya Upande wa Mashitaka kushindwa kuleta mashahidi mbele ya Hakimu Huruma Shaidi kwa ajili ya usikilizaji wa kesi hiyo leo tarehe 5 May 2021...
15 Reactions
156 Replies
12K Views
Katika Hali ya kawaida na utawala Bora, matusi yale ya DC yalibidi yamwondoe ofisini. Bado yupo Kama vile hakuna "uhalifu" alioufanya. Angalau Jiwe alimwajibisha aliyetishia mtu na pistol. Sasa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Eti huyu ni injinia amebadili gari lake lililotumika kubebea spika za kampein kuwa gari la wagonjwa hii ni dharau kwa wapiga kura . Hivyo vitanda vinaweza vipi kumbebea mama mjamzito kutoka...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Muhimu : Tufuate mwongozo wa WHO wa kudhibiti Corona .
7 Reactions
44 Replies
4K Views
Ukweli ndio huo. Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa. Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA. Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF...
9 Reactions
64 Replies
7K Views
Roho ya kujitosheleza,kutotaka Makuu na kutojilimbikiza Mali. Hii roho nyerere aliitoa wapi? Zama zile nadhani Nyerere angekuwa amejilimbikizia Mali nyingi na Familia yake au Ukoo ungekuwa moja ya...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Leo kumetokea maamuzi Kama siyo ya kushangaza Basi maamuzi kichaa kabisa umma wa watanzania umeshikwa na butwaa watu wametumia rasilimali fedha,muda kufika uwanjani Halafu anatokea mtu mmoja...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Ndugu waTanzania wenzangu, Bila shaka taifa letu linapitia katika kipindi kigumu kabisa katika historia yake baada ya kumpoteza Rais wetu Mh. John Magufuli. Nimeungana na waTanzania wenzangu...
6 Reactions
50 Replies
6K Views
Hakuna mtu anayetoa kibali cha kukosolewa. Kukosoa ni ujasiri na uthubutu wa mkosoaji. Ukisubiri kibali cha kukosoa utasubiri miaka mingi sana.
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwenu Watanzania wenzangu wa vyama vyote nchini, Tunayo mengi ya kufanya lakini swala ajira linahitaji kujadiliwa kwa mapana na marefu na Watanzania wote, tusiwaachie wabunge peke yao wanao pokea...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom