Awamu hii Spika angekuwa Zungu kasi ya maendeleo ingeongezeka, Job anapenda ligi na Mbowe ambayo ni yao binafsi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,780
141,667
Kwa namna ninavyosikiliza hotuba za Rais Samia halafu tungekuwa na Spika asifungamana na siasa za kishabiki kama Zungu wa Ilala hakika uchumi ungepaa.

Mambo ya kila siku kuisema Chadema na Mbowe ambao hawako bungeni ni matumizi mabaya ya kodi zetu.

Nataka kujenga Umoja wa kitaifa by Rais Samia.

Kazi Iendelee!
 
Raha ya kupiga puli unajipimia mwenyewe anaweza kua bonge kidogo,unaweza kumuweka chuma mboga,unaweza kuipaka mate kidogo baadae ukaongeza sabuni nyinhi kidogo mkononi... yaaani
 
Job Ndugai anaweza "MIPASHO, UMBEA, VIJEMBE NA VICHAMBO" kama Juma Lokole, hafai hata kuwa Balozi wa Nyumba 10 achilia mbali uspeaker.

Yule mzee historia ya ukichaa inambeba, tena inambeba vizuri kweli, ukijumlisha na kinga ya kutokushtakiwa aliopewa ndio imekua tafrani zaidi, sawa na kichaa kukabidhiwa rungu kariakoo. Ukichaa wake umefufuka kwa kiwango cha SGR na umekua kama uchumi wa tanzania unavyokua kwa kasi.

Mara elfu hata "MSUKUMA (Na elimu yake ya darasa la saba failure)" ndio angekuwa Speaker wa bunge, badala ya Job Ndugai.
 
Kwa namna ninavyosikiliza hotuba za Rais Samia halafu tungekuwa na Spika asifungamana na siasa za kishabiki kama Zungu wa Ilala hakika uchumi ungepaa.

Mambo ya kila siku kuisema Chadema na Mbowe ambao hawako bungeni ni matumizi mabaya ya kodi zetu.

Nataka kujenga Umoja wa kitaifa by Rais Samia.

Kazi Iendelee!
We unamzungumzia Zungu gani; huyu aliyeingia shuleni na kuelekeza watoto jinsi ya kuwapigia kura wagombea wa CCM wa uchaguzi mkuu? Hafungamani na siasa za kishamba?
 
Bunge live!😄😄😄
7654320900.jpg
 
Kuna wakati unawaza kwanini wendawazimu Kama Ndugai asingezaliwa Nzi au mende ili aishi chooni. Akili zake hazina uhusiano na ustaarabu na uungwana. Yupo Kama mdudu kwenye umbo la binadamu
 
Kwa namna ninavyosikiliza hotuba za Rais Samia halafu tungekuwa na Spika asifungamana na siasa za kishabiki kama Zungu wa Ilala hakika uchumi ungepaa.

Mambo ya kila siku kuisema Chadema na Mbowe ambao hawako bungeni ni matumizi mabaya ya kodi zetu.

Nataka kujenga Umoja wa kitaifa by Rais Samia.

Kazi Iendelee!
Naona leo umeamka na akili zako
Maendelea hayana chama
 
Kwa namna ninavyosikiliza hotuba za Rais Samia halafu tungekuwa na Spika asifungamana na siasa za kishabiki kama Zungu wa Ilala hakika uchumi ungepaa.

Mambo ya kila siku kuisema Chadema na Mbowe ambao hawako bungeni ni matumizi mabaya ya kodi zetu.

Nataka kujenga Umoja wa kitaifa by Rais Samia.

Kazi Iendelee!
Mbowe hawezi kuwa na ligi na kichaa wa mirembe.

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
 
Kwa namna ninavyosikiliza hotuba za Rais Samia halafu tungekuwa na Spika asifungamana na siasa za kishabiki kama Zungu wa Ilala hakika uchumi ungepaa.

Mambo ya kila siku kuisema Chadema na Mbowe ambao hawako bungeni ni matumizi mabaya ya kodi zetu.

Nataka kujenga Umoja wa kitaifa by Rais Samia.

Kazi Iendelee!
Kuna wakati kichwa hukukaa sawa na kurudi kwenye mounting bracket zake
 
Kweli maisha yanabadilika,yaani unaweza kudhani sio wewe uliyekuwa unasifia kila kitu,lakini hongera kwa kurudiwa na ufahamu wako.
 
Kwa bunge hili ambalo eti limekosa kitu Cha muhimu cha kumuuliza Waziri Mkuu hata spika angekua Marehemu Sitta hakuna lolote ambalo lingefanyika. Mambo ni mengi Sana ambayo yanahitaji clarification ya serikali. Kukosa swali ina maana kila kitu kipo sawa.
 
Job Ndugai anaweza "MIPASHO, UMBEA, VIJEMBE NA VICHAMBO" kama Juma Lokole, hafai hata kuwa Balozi wa Nyumba 10 achilia mbali uspeaker.

Yule mzee historia ya ukichaa inambeba, tena inambeba vizuri kweli, ukijumlisha na kinga ya kutokushtakiwa aliopewa ndio imekua tafrani zaidi, sawa na kichaa kukabidhiwa rungu kariakoo. Ukichaa wake umefufuka kwa kiwango cha SGR na umekua kama uchumi wa tanzania unavyokua kwa kasi.

Mara elfu hata "MSUKUMA (Na elimu yake ya darasa la saba failure)" ndio angekuwa Speaker wa bunge, badala ya Job Ndugai.
Kwa namna ninavyosikiliza hotuba za Rais Samia halafu tungekuwa na Spika asifungamana na siasa za kishabiki kama Zungu wa Ilala hakika uchumi ungepaa.

Mambo ya kila siku kuisema Chadema na Mbowe ambao hawako bungeni ni matumizi mabaya ya kodi zetu.

Nataka kujenga Umoja wa kitaifa by Rais Samia.

Kazi Iendelee!
Anaitwa Job Lokole
 
Back
Top Bottom