Ajali ya moto TRA Headquarters: Mifumo yatoweka hewani, waomba radhi

inchaji

JF-Expert Member
Jul 5, 2019
1,988
2,000
Enzi za JK ilikuwa hivi hivi umeme unakatwa makusudi, watu wanafanya yao manually wanapiga pesa.

Ipo siku mtanikumbuka in JPM voice.

TRA.jpg


20210508_114104.jpg
 

nygax

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,292
2,000
Hivi hadhira inayolengwa kutokana na hili tangazo ni ipi hasa? Kama ni watanzania kwa nini lisiandikwe kwa lugha yao?
 

Pac the Don

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
888
1,000
Ni vigezo gan hutumika mpaka mtu atajwe kua shujaa hasa wa bara la Africa? Majibu tafadhali maan naona jina hili kama linatumika ndivyo sivyo
"Nawaambieni mtanikumbuka, Si kwa mabaya bali kwa mema!"


Alipata kusema shujaa mmoja wa Afrika.
Endelea kupumzika kwa amani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom